KINGDANIEL

6.9K posts

KINGDANIEL banner
KINGDANIEL

KINGDANIEL

@daniel_fumbo

kuna mchongo nausikilizia ukitiki tu najenga

De Zuid Es, Hellendoorn Katılım Mayıs 2022
1.6K Takip Edilen1K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
KINGDANIEL
KINGDANIEL@daniel_fumbo·
:usipoalikwa usihudhurie waspokuambia usiwaulize ✍️
KINGDANIEL tweet media
Indonesia
1
0
5
348
KINGDANIEL
KINGDANIEL@daniel_fumbo·
hivi nikiuza figo nikawa tajiri nikanunua figo nyingine kuna shida 🤕
Indonesia
0
0
0
4
KINGDANIEL
KINGDANIEL@daniel_fumbo·
dalili nyingine ya umasikini ni kua mrefu🫥
Indonesia
0
0
0
11
KINGDANIEL retweetledi
Masterplan🇹🇿
Masterplan🇹🇿@master_plan9·
Kazi ya Bodaboda ngumu sana Unaishia Kupata hela za Kula na Kulipa Bills Tu Bado Ma Mtu Akupige Mzinga Kuchomoka Kwenye haya Maisha kazi sana.
23
42
184
4.3K
KINGDANIEL
KINGDANIEL@daniel_fumbo·
hali ya mafuta si shwari hata mwizi hachomwi tena na petrol nimepishana na mmoja hapa wanamu bembeleza anywe sumu🤕😀
KINGDANIEL tweet media
Indonesia
0
0
2
9
KINGDANIEL
KINGDANIEL@daniel_fumbo·
kuna siku utaamka ukiwa mchangamfu mzima wa afya utawakumbuka sanaa washikaji ulio soma nao na hata ku hustlle pamoja baadhi utawapigia simu kuwasabai ila usiku utafika na Mungu atakuchukua🤕
Indonesia
0
0
0
10
KINGDANIEL
KINGDANIEL@daniel_fumbo·
Ukianza kujilisha, kutafuta chakula chako, kujilipia kodi mwenyewe ndio utaelewa kwanini Mwana mpotevu alirudi nyumbani✍️
Indonesia
0
0
1
17
Maverick 🇸🇴
Maverick 🇸🇴@Enemy_19·
Kuna maeneo ni ngumu sana mtu kuamini kwamba nako ni dar 😂😂
Maverick 🇸🇴 tweet media
Filipino
35
33
440
22.6K
KINGDANIEL
KINGDANIEL@daniel_fumbo·
Mke anajua mume lazima awe na hela, mtoto anajua baba lazima awe na hela, baba anajua hana hela. Siku za furaha kwa mwanaume ni chache nazo zimejaa taabu.
KINGDANIEL tweet media
0
0
2
172
KINGDANIEL
KINGDANIEL@daniel_fumbo·
usimwamini sanaa mtu mwenye njaa huwa wanabadirika wakishiba✍️
Indonesia
0
0
2
15
KINGDANIEL retweetledi
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Haijalishi unapitia nini kwenye maisha usije ukanywa zile pombe za kwenys plastiki(maushenzi). Utapoteza zaidi na zaidi tutakukosa.
48
67
686
60.3K
KINGDANIEL
KINGDANIEL@daniel_fumbo·
Kunapo kucha asubuhi nenda kazini haijarishi unakazi au huna ww amka nenda kazini...Mtembea bure si sawa na mkaa bure...Unaweza kupata mchongo wa chap ukapiga...kushinda ndani umelala kama umekua kuku mwenye mayai hapo unakosea..kwa ufupi tu ww ni Mat*k0.
Indonesia
0
0
1
18
KINGDANIEL
KINGDANIEL@daniel_fumbo·
hizi story za mtu ukifa unaenda peponi sijui motoni ni hadithi za kufikirika tu ila hazina ukweli wowote na hazina ushahidi ni trash🤌
Indonesia
0
0
0
17
KINGDANIEL retweetledi
𝗦𝗲𝗻𝗶𝗼𝗿 𝗠𝗼𝗻𝗲𝘁
Eminem aliwahi kusema ukikubali kuuza roho yako kwa shetani, utashinda GRAMMY. Kwa maelezo yake, wasanii wanaoshinda GRAMMY mara nyingi kuna shade deals wanaingia. Maybe waliuza roho zao au walifanya jambo lisilo la kawaida kama malipo ya tuzo. — Thread:🧵
𝗦𝗲𝗻𝗶𝗼𝗿 𝗠𝗼𝗻𝗲𝘁 tweet media
Filipino
18
17
177
21K
KINGDANIEL retweetledi
Heis_
Heis_@son_noeli·
“Tumemuona binti uliekuja nae jana amevaa jezi yako amebeba na tv yupo kwenye boda boda tukajua mmeongea wenyewe”
Heis_ tweet media
Indonesia
17
23
127
2.9K
Real Nigger
Real Nigger@MrDepalitto9·
ukifungua duka la hivi hakikisha hela ya kubadilishia mboga unafanya vibarua au kaibe🙄🙄 hapa Kwa pote faida ni 29000,sasa jiulize zitaisha lini
Real Nigger tweet media
Indonesia
31
13
298
24.6K
KINGDANIEL retweetledi
Heis_
Heis_@son_noeli·
Braza wa 30+ akipata siti kwenye dala dalaa.
Heis_ tweet media
Filipino
48
53
342
11.8K
Neypaul🤎
Neypaul🤎@Neypaul01·
Kila nikinyoa mdomo unakuwa mkubwa shida nini
Filipino
209
30
765
66K
KINGDANIEL
KINGDANIEL@daniel_fumbo·
Umri Wetu Hauruhusu Tena sisi Kulia kwa Sababu Ya Mapenzi, Kwahiyo Mkituona Tuna Huzuni Basi Jua Shida Ni Hela tu😎
Indonesia
0
0
0
14
KINGDANIEL
KINGDANIEL@daniel_fumbo·
ibada ya kweli ni ya kuwasaidia walio na uhitaji nawakumbusha hata wachawi wamo kwenye nyumba za ibada✍️
Filipino
0
0
0
12