Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan ajionea namna DIT ilivyojipanga katika kuzalisha vijana mahiri watakaoisaidia nchi.
Waziri wa Elimu,Utafiti na Ubunifu Mheshimiwa Martina Hirayama toka nchini Uswis ametembelea Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT),na kuona jinsi Taasisi hiyo imejizatiti kwenye masuala ya Teknolojia,Ufundi na Ubunifu
Naibu Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT),Taaluma,Utafiti na Ushauri wa Kitaalam Prof.Ezekiel Amri amewataka wanafunzi wapya waliochaguliwa kujiunga na masomo kufuata sheria na taratibu zilizopo ili waweze kufikia malengo yao
Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam kupitia kituo cha Umahiri cha Tehama (ITCoEICT) imefunga mafunzo ya siku 10 kwa wahandisi wanaosimamia mradi wa Kimkakati wa Taifa wa SGR yaliyofanyika kwenye Taasisi hiyo jijini Dar es salaam.
Naibu Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) Taaluma,Utafiti na Ushauri wa kitaalam Prof.Ezekiel Amri amefungua mafunzo ya ufatiliaji na ukaguzi wa matumizi Bora ya nishati yanayohusisha wataalam kutoka Taasisi mbalimbali za Serikali