DarMpya

12 posts

DarMpya

DarMpya

@darmpya_

Bora kusimamia Haki kuliko kuwa mtumwa wa mvunja haki!!!

Katılım Kasım 2021
22 Takip Edilen150 Takipçiler
Mdude Nyagali
Mdude Nyagali@mdudenyagali·
Nilizaliwa tarehe kama ya Leo zamani kidogo. Namshukuru Mungu kwa kuoniongezea mwaka mwingine.
Mdude Nyagali tweet media
Filipino
285
173
2.7K
0
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Barnaba Ft Mario - Marry Me vs Barnaba Ft Diamond - Hadithi Nimeshindwa Kuchagua ipi kali zaidi!
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
17
4
109
0
DarMpya retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
“Wananchi hatujaona faida ya Tozo, yaani Serikali ya CCM ni hatari sana, Serikali yenye mawaziri kama Mwigulu anayetuambia watanzania twende Burundi? Atangulie yeye huko Burundi sisi hatuendi Burundi” - HASHIM RUNGWE SPUNDA
Indonesia
31
159
788
0
DarMpya retweetledi
Madenge
Madenge@rollymsouth·
Hii nchi wanaofanya kazi kwa V8 ni kama asilimia 0.01%...hamtumii V8 kwa sababu za kiafya bro we ni dokta kabisa..mnatumia sababu ya ubinafsi,kuna ma afisa kilimo wako field kuliko wabunge na hawana V8 na wana afya njema..Hata Nyerere hakuwa na V8 na alizeeka yuko fiti
Dr. Hamisi Kigwangalla@HKigwangalla

Waziri akipanda pick up Hilux 2.8 Toyota kwa miaka mitano na akafanya kazi Kama mimi ya kupitia mapori yote nchini kwa Gari, miaka mitano ijayo hatokuwa Waziri tena! Maana atakuwa na vyuma utu wa mgongo mzima, na nyonga zote!

Indonesia
114
104
764
0
DarMpya retweetledi
Associate CPA Catherine Ruge (Msubhati)
Naomba kuuliza hivi unatoza tozo kwenye pesa yangu ambayo iko Bank, kwa kuwa serikali imenisaidia nini katika hiyo pesa? Maana mtoa huduma ni bank na ameshakata service fee. #Serikali ituambie why inakata tozo kwenye pesa yangu ambayo iko bank?
Indonesia
192
297
1.7K
0
DarMpya
DarMpya@darmpya_·
@HKigwangalla Imetosha nini?,Itatosha mpaka siku mtakayoacha kuwaibia wananchi!!
Filipino
0
0
0
0
Dr. Hamisi Kigwangalla
Dr. Hamisi Kigwangalla@HKigwangalla·
Haya wapwa imetosha sasa! Tuendelee na mengine…maana hasira zenu zote za tozo mmenishushia mimi dah! 🙏🏿🤛🏾😩Mnisamehe nilipowakwaza, najua mambo magumu mno site, ila magari siyo ‘unnecessary cost’, ongeleeni nyingine, zipo nyingi na kubwa kuliko hii ya magari, tujadili hizo!
Morogoro, Tanzania 🇹🇿 Filipino
535
162
2.9K
0
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
@nikkwapili Huu upuuzi unamuandikia nani? Maendeleo bila maumivu ndio nini? Tuna ubaha wa rasilimali kiasi gani hadi tuanze kupora mali na vipato vya watu kwa jina la kufanya maendeleo? Unyang'anyi mnaofanya, sadly wewe unatumika - na ninakuonya usirudie, hauna justification hata kidogo.
Indonesia
42
77
823
0
Nikkwapili
Nikkwapili@nikkwapili·
Tozo kweli ni maumivu lakini vipi matokeo yake? Tumeweza kujenga vituo vya afya 150 na kukamilisha madarasa 560 ndani ya miezi kadhaa. Tuna mkumbuka Orwell alivyo eleza kiundani maumivu waliyopitia Waingereza katika kutafuta maendeleo yao???je kuna maendeleo bila maumivu??
Nikkwapili tweet mediaNikkwapili tweet mediaNikkwapili tweet mediaNikkwapili tweet media
Indonesia
2.4K
114
1.6K
0
Nape Moses Nnauye
Nape Moses Nnauye@Nnauye_Nape·
Kwa heshima ya wale waliouliza maswali ya Data kwa nia ya kuelewa na kujadiliana kwa staha kwa lengo la kupata muafaka. Kwamba Rais Samia hajachukua hatua juu ya jambo hili si kweli. Bei ya juu Mwezi 3/2021 ilikuwa TZS 40.04 Bei ya juu Mwezi 8/2022 ni TZS 9.35. Tuanzie hapa…
Nape Moses Nnauye tweet mediaNape Moses Nnauye tweet media
Indonesia
1.1K
122
1.2K
0