Sabitlenmiş Tweet
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸
210.4K posts

MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸
@davitheempire
Generally talk a lot about #M4C #KatibaMpya #ManchesterCity #HumanRights #ChangeTanzania 🏆 A Business man- -C.E.O of Next Zone Shine Wear Group.
Nairobi Katılım Nisan 2014
1.9K Takip Edilen27.4K Takipçiler
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸 retweetledi
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸 retweetledi
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸 retweetledi

@Official_ElBike Ikulu ilijengwa ya nini kama tunaweza kuishi kwenye Ma TENTI
Indonesia

@davitheempire Hivi mnafundishwa kukosoa hata pasipo kosa kama uzuzu(Wanawake) ni nini, Siasa sio hiyo keyboard man
Indonesia

@davitheempire Futa hiiiii
Nani anataka kwenda huko kwanza
Filipino
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸 retweetledi

@athanas_pius 😂😂😂 wavaage na sidiria kama wanazovaa wana MARAZION Kote duniani waache porojo za kuvaa vitati
हिन्दी

hapa kuna ubaya gani? kwani ndugu yako huyu?
Njiwapori 10k@njiwapori_
Hii ya kuvaa vichupi na viskintight huko kwenye kukimbia ni nani aliyeanzisha, wangekuwa wanavaa tracksuit zisizo bana si ingependeza zaidi kuliko kuvaa kama wale wanawake wanaojiuza.
Filipino

@tanpol Mwambieni FIFA na CAF hawatakubali kupeleka mashindano kwenye nchi ya MAGAIDI ...nyie si mahodari wakuchafua taswira ya nchi tKILA mwananchi anaekwenda kinume na ccm anaitwa GAIDI haya tuone mtafika wapi watakatifi wa ccm
Indonesia

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Camillus Wambura, ameongoza Mkutano wa Upimaji wa Utendaji Kazi wa Jeshi la Polisi (PRM) uliofanyika Julai 27, 2026, katika Ukumbi wa Polisi Jamii, Jijini Dodoma.
instagram.com/p/DbS-jeVjFyd/…



Indonesia
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸 retweetledi

Ndiyo misimamo ya kiume hadi milele
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸@davitheempire
Huu ndio MSIMAMO wa wananchi
Filipino
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸 retweetledi
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸 retweetledi
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸 retweetledi

UPDATES KUTOKA MAHAKAMA YA WILAYA YA TEMEKE
Leo Pendo Kileo pamoja na wenzake watatu ambao ni Zack Nigula Shija na Jenfrida Petro Mtuka ambao ni Wanachama na Viongozi wa Chadema Wilaya ya Mbagala na Temeke wamesomewa Mashtaka ya UGAIDI.
Ikumbukwe kwamba Julai 1, 2026 Pendo alitoa taarifa kituo cha Polisi Chamazi kwamba kuna watu walitaka kumteka, akawambia Polisi kwamba maeneo ambako anaishi kuna CCTV so Polisi wanaweza kuanzia Uchunguzi wao hapo.
Julai 4, 2026 Polisi wa Chang’ombe walimpigia simu wakamwambia kwamba aende ili waweze kumpatia mtaalam ambae ataenda nae kuangalia na kuchukua hiyo CCTV footage
Sasa badala ya kupewa msaada ambao ameitiwa, Polisi walimkamata, wamemtesa na kumpiga sana kwa siku zote walizokaa nae, hatimaye leo ndo wameamua kumbambika kesi ya UGAIDI.

Indonesia














