Watu wenye Ulemavu watakiwa kutumia fursa za Mikopo kubadili maisha yao Wilayani Misungwi Mkoani Mwanza.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Misungwi na Diwani wa Kata ya Usagara Mhe,Kashinje Machibya amewataka Watu wenye Ulemavu kutumia fursa za Mikopo ya asilimia 10.
Kituo cha Uchunguzi na Upimaji wa kubaini mahitaji Maalumu ya Ujifunzaji kwa watoto wenye Ulemavu chazinduliwa katika Shule ya Msingi Maalumu ya Mitindo Wilayani Misungwi,Mkoani Mwanza.