Mi binafsi nina namba 314 katika hao wote naombeni tujitokeze japo watu 214 tuchangie kila mmoja 1000/= tutapata Tsh.214,000/=.Ninaamini itakuwa mchango mkubwa sana kwa mtoto Mayran.!Ukiguswa basi tuma mchango wako kupitia 0763272443.Jina ni Saada William !Mungu Awabariki.