
Hey @mangekimambi I love you but Please kindly block me, I don’t want to see you on my timeline anymore, and stop writing propaganda against IRAN.
Digital Psychology 🇹🇿🇮🇱
101.2K posts

@DNdagala
Entrepreneur and Political analyst, ICT, Software Engineer. College of City and Guild, UK, Former IPP and Vodacom I.T.D Sayona drinks ltd, King lion ltd. DBA

Hey @mangekimambi I love you but Please kindly block me, I don’t want to see you on my timeline anymore, and stop writing propaganda against IRAN.


Trump anacho kifanya ni Kusitisha Vita then aende kujipanga ndani ya siku tano au sita, mpka hapa Marekan walikuwa Hawana mlango wa kutokea Kwenye Hii vita. Ndani ya hizo Siku tano wanaenda kuchora mchoro upya wa vita na wanakuja na mbinu mbadala..!! Marekani ni wajanja mnoo, baada ya siku 5 watakuja na mbinu Kali sana against IRAN.



@kigogo2014 @Sisimizi3 Tunasubiri kwa hamu. Matarajio ya wengi ni kuona mzizi wa matatizo haya @ChademaTZ2 ikifutiliwa mbali

@kigogo2014 @Sisimizi3 Tunasubiri kwa hamu. Matarajio ya wengi ni kuona mzizi wa matatizo haya @ChademaTZ2 ikifutiliwa mbali




Iran’s Fars news agency, citing a source, denies any contact with US President Donald Trump, “not even through an intermediary”, and claims he “backed down” after warnings Iran would target power plants. The claims could not be verified. Al Jazeera’s Mohamed Vall reports.



TIBAIJUKA, UMEKOSA HAYA? MAHAKAMA NI CHOMBO HURU NA MUHIMU, OMBA KADI YA CHADEMA LAKINI SIO KUHAMASISHA VURUGU Katika hali isiyo ya kawaida, Kwa kauli na mienendo yake ya hivi karibuni, Anna Tibaijuka ameonesha wazi kukosa haya kwa kiwango cha kutisha, anafanya mambo ambayo hata mtoto mdogo hawezi kufanya. Ni jambo la kusikitisha na la hatari kuona kiongozi wa umma mstaafu akitoa matamshi yanayochochea dharau dhidi ya mhimili wa mahakama. Kauli zake, zinazo hamasisha vurugu, fujo na uasi kama njia ya kufikia malengo ya kisiasa, si tu zinapotosha historia ya harakati za uhuru, bali pia zinahatarisha amani na mshikamano wa taifa. Kauli za namna hii si za kubezwa, ni mbegu za machafuko. Ni fikra hatarishi zinazoweza kuligharimu taifa kwa damu, mali na mustakabali wa vizazi vijavyo. Hakuna kiongozi mwenye akili timamu anayeweza kusimama hadharani na kuhalalisha vurugu kisha ajione yuko sahihi. Cha kushangaza zaidi, inaonekana Tibaijuka anaamini kuwa athari za vurugu hazitamgusa, kwa fedha zake anaweza kukimbilia nje ya nchi na kuyaacha madhara kwa wananchi wa kawaida. Huu si tu mtazamo mufilisi, bali ni dharau ya wazi kwa Watanzania na uhai wao. Na si mara ya kwanza kwake kuonyesha dharau na kauli za hovyo. Historia yake imewahi kugubikwa na tuhuma nzito za ufisadi, ambazo alizipuuza kwa kauli nyepesi akidai fedha hizo zilikuwa “hela ya mboga.” mtu huyu anapaswa kutazamwa kwa jicho la kipekee. Tangu alivyoshindwa katika harakati zake za kisiasa amegeuka mbogo na yuko tayari kwa lolote, ikiwemo kuhamasisha vurugu. Aina hii ya siasa za jazba na kejeli kwa taasisi kama Mahakama haina nafasi katika taifa linalojenga misingi ya utawala wa sheria na maendeleo endelevu.




