Dozen Selection
12 posts

Dozen Selection
@dozenselection_
Get Your Daily Dose Of Entertainment & Pop Culture News, Technology, Celebrity Scoop + Gossip!!
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Eylül 2019
8 Takip Edilen140 Takipçiler

#GetToKnow Jarida la Complex limemtaja Tyler The Creator kuwa ndiye Rapa Bora aliye hai kwa mwaka 2021. Nini maoni yako?

Filipino

#GetToKnow Rap Nas na kampuni ya Google wamewekeza zaidi ya TSh. Bilioni 46 kwenye kampuni ya nchini Nigeria ‘Carry1st’ ambayo inahusika na kutengeneza Mobile Games. Kiasi hicho cha fedha kitakwenda kusaidia kampuni hiyo kutanua wigo wa maudhui na pia kusaidia timu ya Wahandisi.

Indonesia

#GetToKnow Tuzo za Grammy zitafanyika April 3, 2022 katika ukumbi wa MGM Grand Jijini Las Vegas nchini Marekani. Awali Tuzo hizo za 64 zilipangwa kufanyika January 31 mwaka huu lakini ziliahirishwa kufuatia tishio la kirusi cha Omicron.

Indonesia

#GetToKnow Machine Gun Kelly amemvisha Pete yenye miiba mchumba wake, Megan Fox. Kwenye mahojiano na Jarida la Vogue, rapa MGK amesema pete hiyo imetengenezwa kwa miiba na pindi tu mpenzi wake akijaribu kuivua basi atapata maumivu makali sana. Pete hiyo ina thamani ya TSh. 785M

Indonesia

#GetToKnow Mtangazaji wa SNL na mpenzi mpya wa Kim Kardashian, Pete Davidson ameongeza ulinzi kufuatia vitisho toka kwa Kanye West kwenye wimbo wake mpya ‘Eazy’ alioshirikiana The Game
-
“God saved me from that crash / Just so I can beat Pete Davidson’s a*s,” alichana YE.

HT

#GetToKnow Jay-Z, Meek Mill pamoja na wasanii wengine wa Rap wameungana kushinikiza kutungwa kwa sheria ambayo itakataza matumizi ya mistari (lyrics) kutumika mahakamani wakati wa kutoa hukumu kwa wasanii wa muziki wa Rap ambao hushtakiwa kwa makosa mbali mbali.

Indonesia

#GetToKnow Chris Brown ameweka wazi kuwa Kesho ataachia mikwaju mingine ambayo itaongezeka kwenye album yake "INDIGO" ya mwaka 2019. Kupitia IG stories Breezy ametuweka wazi. Tayari album hiyo ina jumla ya nyimbo 32 zinazokamilisha masaa 2 na dakika 4 za kuisikiliza yote.

Indonesia

#GetToKnow Rapper Desiigner azidi kuomba msaada wa kuondolewa kwenye Label ya Kanye West G.O.O.D Music. Kupitia ukurasa wake wa twitter jana ameandika.
Desiigner alisainiwa na Kanye mwaka 2016, akiwa ndani ya Label hiyo pia Def Jam aliachia Hits 2 tu 'Panda' na 'Timmy Turner'.


Filipino

#GetToKnow Hatimaye Kanye West ametuonjesha utamu wa album yake 'Yandhi' ambayo ilitakiwa kuachiwa mwaka 2018. Usiku wa kuamkia leo album hiyo ilitokea kwenye iTunes upande wa 'Ringtones' na kuwashangaza wengi. Hate hivyo haikuchukua muda ikaondolewa kwenye mtandao huo.


Filipino

#GetToKnow Travis Scott na Kylie Jenner wameachana! Umeripoti mtandao wa TMZ.
Watu wa karibu wameueleza mtandao huo kwamba Wawili hao wamejaribu sana kuwekana sawa lakini imeshindikana, uamuzi uliofuata ni kuachana! Tayari wana mtoto mmoja Stormi Webster mwenye umri wa mwaka 1.
Indonesia
