
Wanafunzi kutoka Arusha Meru International School wametembelea Soko la Hisa la Dar es Salaam (@dsetanzania ) tarehe 28.03.2026, wakipata fursa ya kujifunza kwa vitendo kuhusu uwekezaji, masoko ya mitaji na nafasi ya soko la hisa katika kukuza uchumi
Ziara hii inalenga kuhamasisha kizazi kijacho kuwa na uelewa wa kifedha na kuchangamkia fursa za uwekezaji mapema.
#DSE #HisaKiganjani #ElimuYaFedha #UwezeshajiVijana




Indonesia
























