Wanasema dirisha la usajili bado halijafungwa… 👀⚽ Tumlete Nani? 🤔
//
Looks like the transfer window is still open… 👀⚽ Who should we bring in? 🤔
#Simba#NguvuMoja#Weekend#Mo
@SimbaSCTanzania We fail because of lack of many options of quality ,experienced player who can make decisions on matches. We need to invest more money if we want to compete in CAF , and win trophy 🏆. Let's raise to Egyptians and S.Africa levels of budgets. It business
@SimbaSCTanzania@moodewji tunahitaji kusaji quality prayer , tolerance on Joshua Mutale inatosha. Si mchezaj wa quality ya simba. We need strike quality of Jonathan Sowah . We need more playmaker ahoua, mpanzu hawatoshi, tunahitaji experienced player not juniors.
87’ | Young Africans 2-0 Simba SC.
Jiunge na Simba Bando kwa kupiga *149*01# > 8> 1 ili upate dakika za kupiga, sms, data na taarifa za kila punde wakati wa mchezo. #NBCPremierLeague#NguvuMoja
@SimbaSCTanzania Simba hatuna on targets wala off targets kwasababu ya poor attacking selection. Mutale lose mipira mingi , slow decision and ball procession mguu ndogo. Tunahitaj energetic and speed kama kibu. Mpanzu hand wa kumsaidia mbele . Tumeshambuliwa sana.
38’ | Young Africans 0-0 Simba SC.
Jiunge na Simba Bando kwa kupiga *149*01# > 8> 1 ili upate dakika za kupiga, sms, data na taarifa za kila punde wakati wa mchezo. #NBCPremierLeague#NguvuMoja
@madeinmusoma Dah nakumbuka niikariri kabisa, yaani kuna kipindi nilipita katika vita ,kiasi cha kwamba Biblia ilikuwa ni kitabu cha vita , Kila NENO la Mungu nililisoma na kuelewa kama silaha ya kutumia vitani. Imani yangu ilijengwa katika vita tu. Nimeitumia sana 109 kama silaha .
Fanya kila kitu, lakini usithubutu kumsalia adui yako ZABURI 109, ni sala ya laana nzito 🥺. Inaweza kumwangamiza kabisa. Samehe, uokoe nafsi yako 😘
Mimi nilishindwa kuimaliza nikaishia kusema hata mimi sio mtakatifu adui zangu nimewasamehe 🥺🥺