Sabitlenmiş Tweet
NEW GENERATION
4.5K posts

NEW GENERATION
@fadhili_john17
We bring to you the best odds from over deh globe
Arusha, Tanzania Katılım Şubat 2022
1.2K Takip Edilen8.3K Takipçiler
NEW GENERATION retweetledi

Bei ya soda ya coca-cola dukani ni Sh 700, Katika restaurant Sh 2000, airport Sh 5,000 ndani ya ndege Sh 7,000. Soda ileile, ujazo ule ule, utamu ule ule thamani tofauti. Nini nakimaanisha ? Iko hivi Kuna mtu ana digrii moja ya kozi ile, chuo kile kile lakini mmoja anapata mshara laki 3, mwingine laki 7, mwingine milioni 2 mwingine milioni 20.
Thamani ya mtu inatokana na mahali alipo, ukiona unakanyagwa pandisha thamani yako kwa kubadilisha location.Mshumaa hauna thamani mchana kweupe, lakini ni mfalme giza linapoingia. Jua "timing" yako na mahali ambapo "mwanga" wako unahitajika zaidi.
My friend Ukiona sehemu huthaminiwi, usikasirike. Hiyo ni ishara kwamba muda wako wa kuhama umefika. Nenda pale ambapo watu watasema tulichelewa kukujua.Wakati mwingine "location" mpya inahitaji uende peke yako. "Tai haruki na njiwa. Ili upae juu, lazima uachane na kundi linalopenda kubaki chini"
Pambana✍️
Indonesia
NEW GENERATION retweetledi

NEW GENERATION retweetledi

#TANZIA: Mzee Thomas Filipi Silayo (75), mkazi wa Kijiji cha Mbomai Juu, Tarakea wilayani Rombo, amefariki dunia baada ya kushambuliwa kwa mapanga wakati wa kikao cha kifamilia (Ukoo) kilichokuwa kikijadili mgogoro wa ardhi kati yake na ndugu zake.
Tukio hilo lilitokea katika Kijiji cha Wama, Kata ya Ubetu Kahe, ambapo marehemu alijeruhiwa vibaya sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo tumboni, mguuni na mkononi hali iliyosababisha kupoteza damu nyingi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa, amesema marehemu alipelekwa kwanza katika Hospitali ya Karume Wilaya ya Rombo kwa matibabu ya dharura kabla ya kuhamishiwa Hospital ya rufaa ya Kanda KCMC ambako alifariki dunia akiwa anaendelea na matibabu.
Kamanda Maigwa anasema mtuhumiwa mkuu wa tukio hilo ni John Anselim Silayo, ambaye ni mtoto wa mdogo wa marehemu na alitoroka baada ya kutekeleza tukio hilo.
"Tunamtafuta mtuhumiwa ili akamatwe na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria," amesema Kamanda Maigwa.

Indonesia
NEW GENERATION retweetledi

Saturday & Sunday
Top 30🥶
✅1. Man city - Over 0.5
✅2. Bayern - Over 0.5
✅3. Inter - Over 0.5
✅4. Bodo Glimt - Over 0.5
✅5. Galatasaray - Over 0.5
✅6. Cryvena Zvezda - Over 0.5
✅7. Fenerbahce - Over 0.5
✅8. Arsenal - Over 0.5
✅9. Barcelona - Over 0.5
✅10. Roma - Over 0.5
✅11. PSG - Over 0.5
✅12. Marseille - Over 0.5
✅13. PSV - Over 0.5
✅14. Ajax - Over 0.5
✅15. Porto - Over 0.5
✅16. Celtic - Over 0.5
✅17. Zenit - Over 0.5
✅18. Shakhtar Donetsk - Over 0.5
✅19. Borac - Over 0.5
✅20. Paide - Over 0.5
✅21. FK Kauno Zalgiris - Over 0.5
✅22. Viking FK - Over 0.5
✅23. Buriram Utd - Over 0.5
✅24. Simba - Over 0.5
✅25. Yanga - Over 0.5
✅26. Atl Madrid - Over 0.5
✅27. RB Leipzig - Over 0.5
✅28. Hoffenheim - Over 0.5
✅29. Bayer 04 - Over 0.5
✅30. Juventus - Over 0.5
Bookmark🫡
Nederlands
NEW GENERATION retweetledi
NEW GENERATION retweetledi
NEW GENERATION retweetledi
NEW GENERATION retweetledi
NEW GENERATION retweetledi
NEW GENERATION retweetledi
NEW GENERATION retweetledi
NEW GENERATION retweetledi
NEW GENERATION retweetledi

Goal of the season? This one is right up there. 🎯
A pure Puskás contender from Clatous Chama.
The technique, vision, confidence and the finish all in one moment.
Take a bow! 🇿🇲👑
#NguvuMoja
#AfricanFootball
English
NEW GENERATION retweetledi
NEW GENERATION retweetledi
NEW GENERATION retweetledi
NEW GENERATION retweetledi
NEW GENERATION retweetledi
NEW GENERATION retweetledi



















