G’love

410 posts

G’love banner
G’love

G’love

@fevushka_

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Aralık 2023
35 Takip Edilen78 Takipçiler
G’love
G’love@fevushka_·
@ahmedsalimasas @ahmedsalimasas am sorry brother am looking for any job opportunities iam suffering know nimekuwa mtu wa kujifungia ndani maisha magumu familia nayo inategemea upate mia uwape amsini sasa sielewe adi simu nazizima mana sielewi pia nimebahatika kusoma degree ya logistics
Indonesia
0
0
2
710
Ahmed Asas
Ahmed Asas@ahmedsalimasas·
Strong Genetics, Profitable Farming! Breeding the Best Goats & Sheep at Asas Farm.
English
48
209
1.1K
349.5K
G’love
G’love@fevushka_·
Mimi naitwa Jackline najihushika na uuzaji wa mashuka na mapazia huwa naenda kuchukua kariakoo na kwenda kuwasambazia wateja wangu wa apa Dar na wamikoani nnao wapata kutumia mitandao ya kijamii pia nimekuwa nikifanya nao biashara kwa uaminifu Nakuwa inspired na wanawake kama
Filipino
1
0
0
59
G’love retweetledi
BenBlack02𝕏
BenBlack02𝕏@BenBlack02·
Nkiona hii pc inanikumbisha wote tutakufa tu ni suala la muda
BenBlack02𝕏 tweet media
Indonesia
1
2
3
366
G’love
G’love@fevushka_·
The smile 😊😍
G’love tweet media
English
1
1
2
107
Ms Bee🌹
Ms Bee🌹@asiliasali·
Alitumiwa nauli akatoka yombo au?😭😭
Ms Bee🌹 tweet media
Filipino
31
21
445
43.2K
G’love retweetledi
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
#HABARI Kijana aliyefahamika kwa jina la Shalom Tarimo (21) amefariki dunia leo Agosti 9, 2024, wakati akifanya usafi katika kituo cha mafuta cha Uhuru Peak mjini Moshi mkoani Kilimanjaro Tarimo ambaye alikuwa kijana wa kazi amefariki dunia kwa kutumbukia kwenye kisima cha mafuta wakati akijaribu kuokota simu iliyomponyoka mfukoni. Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lilifika na kuchukua takribani saa moja kutoa mwili wa marehemu katika kisima hicho kilichopo katika kituo cha mafuta cha Total Energies cha Uhuru Peak. #EastAfricaTV
EastAfricaTV tweet media
Indonesia
39
31
707
80.1K