firstborn260

297 posts

firstborn260

firstborn260

@firstborn260

Katılım Mart 2026
51 Takip Edilen69 Takipçiler
firstborn260 retweetledi
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Kwanini upo macho hadi saivi? Sema ukweli 😁👇🏿
Filipino
21
11
27
745
firstborn260 retweetledi
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Kama bado hujalala Weka imojii yoyote hapa tukufolo muda huu chap
Indonesia
53
19
59
1.3K
firstborn260 retweetledi
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Wanangu kila mmoja apate folowazi 50+ muda huu Weka hendo yako hapa kwenye Comment 👇🏿 Kisha like hendo zote hapa chini👍🏿 Kisha wafolo wote watakao like hendo yako na wao watakufolo baki saiv. Kama haufoli baki usiweke hendo yako hapa chini
Indonesia
68
29
79
1.3K
firstborn260 retweetledi
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Hivi kati ya 1. Wasafi TV 2. ITV 3. TV E 4. CLOUDS TV 5. EATV 6. STAR TV Channel gani uliacha kabisa kuingalia na kwanini?😂 Ongeza nyingine pia
Indonesia
58
24
128
8.5K
firstborn260 retweetledi
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Account 1000 zilizo active saivi Zishushe handle tuzifolo chap hapa
Română
53
15
44
1.1K
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Sema kuna mishangazi mingine bhna ishakatika mshipa wa aibu Kuna mmama flan hapa mtaani ana age kama 40 years hivi ni jirani yetu mweupe flan hiv afu mnene kidogo afu mumewake ana mawe hivyo bado yupo fresh kabisa. Sasa toka zamani alikuaga anasema unajua wewe kijana nakupenda pia wewe ni hensam mi nikafikiria ananitaniaga aisee Sasa saiv nimekua tayar naona mazoea yanazidi mara akinikuta natembea na msichana yoyote hata barabaran ana mind bure tu hata hanisalimii Juzi kati kaniletea zawad ya saa, na simu kali afu na vipesa kidogo vya matumizi Siku mbil mbel kanitumia text kua ananipenda sana namuumiza akiniona na wasichan wengine yupo tayar kunipa chochot nachotaka lakjn baht mbay ye ni mkubwa aisee watu wa mtaan wakihis natembea nae wataniona wa hovyo sana Aisee nawaza kuhama huu mtaa 😢
Filipino
45
19
104
12.5K