Pancras Flahisha

37.2K posts

Pancras Flahisha banner
Pancras Flahisha

Pancras Flahisha

@flahisha

✨ Health | Love | Business | Growth 📌 Lab Scientist 🥼 IMARA 💡 Deep Psychological Wisdom ❤️ Real Love & Relationship Tips 🚀 Fresh Business Ideas & Strategie.

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Mart 2022
7K Takip Edilen6.6K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Pancras Flahisha
Pancras Flahisha@flahisha·
Kama unamtoto wako hasa binti yupo Diploma au Degree na hana Bumu Mpigie bajeti ya mwezi, mshauri awe mtu wa biashara Ndogo ndogo, Ajihusishe na Positive Activities za chuo (like ushering na Uongozi ,etc) Pata wasaa wakuketi nae uongee nae kama mtu mzima, mwambie yote usibakishe, asijihusishe kwa mahusiano kama muda kwake Bado, Mpe na ushauri kuwa Angalau muda flani unaweza kuwa kwa mahusiano, Mshauri aache tamaa, hakuna vya bure, ajipambanie future yake ipo mikononi mwake....... Vijana wengi wana haribikiwa wakiwa wametoka Advance wanakuja chuo, pale wanapoanza first year, Aiseeeh watoto wanafungua saana tupu zao waone Dunia na utamu wake , uchungu wake wana usahau, unakuja kushtuka, your too late........ Oyaaah SIO POA
Indonesia
6
9
42
4.5K
Pancras Flahisha
Pancras Flahisha@flahisha·
Ukitoka Nyumbani Muombe MUNGU NA UMSHUKURU kuwa jana ulilejea salama, na unaomba Na Leo awe Pamoja na wewe wakati wote wa maisha yako.... (Nakuhusia wewe na kuhiusia nafsi yangu)
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr

T485DXE 😭💔💔..,Ajali zimekuwa nyingi sana saivi..,Hili la Busses kusafiri 24hrs ni kama hatukujiandaa nalo na Miundo mbinu ni kama haikidhi huu Utaratibu.Nadhani kunahaja ya kufanya review mwenye maamuzi yale ya Busses kusafiri muda wote.

Indonesia
0
0
0
11
Pancras Flahisha retweetledi
chrisostom
chrisostom@Chr74292Senator·
@flahisha wachambuzi awajawahi fika hata iran ila wanachambua vita hivyo
Indonesia
1
0
2
157
Pancras Flahisha
Pancras Flahisha@flahisha·
1. Alikuwa mmoja wa wanafunzi bora darasani. Kila mtu alisema, “Huyu akimaliza chuo, maisha yake straight tu.” Miaka 5 ikapita… Akatoka na degree safi kabisa. Siku ya graduation tabasamu kubwa, picha nyingi, ahadi nyingi. Lakini hakujua… safari ndiyo ilikuwa inaanza, si kuisha. Cont... Next post...
Indonesia
1
2
20
6.2K
Pancras Flahisha retweetledi
KARIM_MENO🦷
KARIM_MENO🦷@MadegeKarim·
@flahisha Sometimes it happens Due to what I pass through.
Tanzania 🇹🇿 English
0
1
0
14
Pancras Flahisha retweetledi
Riziki Bey
Riziki Bey@RizikiBazil·
@flahisha Basi nakuhakikishia kama unaishi TZ kisima cha sonona basi utahuzunika kila wakati
Indonesia
0
1
1
11
Mohammed Dewji MO
Mohammed Dewji MO@moodewji·
Kabla ya kusema, jiulize mambo matatu: Je, ni kweli? Je, ni muhimu? Je, ni ya upole na wema?
Slovenščina
73
155
794
10.5K
Dentist Mbona
Dentist Mbona@DentistMbo76340·
@flahisha @gablenehemia @sahala1942 Kwa lab hata mimi nina kubali. Na n kwasababu lab kazi zao nyingi n kucommand machine tuu. So hata mtu wa diploma au certificate n rahisi kuelewa kufanya mambo ya mtu wa degree na kuyafanya.
Indonesia
1
0
0
73
Pancras Flahisha
Pancras Flahisha@flahisha·
Kama Unajua kabisa Hii kozi haina Mgawanyo wa Majukumu, Certificate anafanya cha Diploma , cha Diploma anafanya certificate, cha Degree Anafanya Diploma. USIJE UKAMSHAURI MTOTO WA MTU ASOME HIO KOZI, NI KOZI YA KIDWANZI, NA KUPOTEZA MUDA.
Indonesia
8
5
76
9.2K
Pancras Flahisha
Pancras Flahisha@flahisha·
Kama unamtoto wako hasa binti yupo Diploma au Degree na hana Bumu Mpigie bajeti ya mwezi, mshauri awe mtu wa biashara Ndogo ndogo, Ajihusishe na Positive Activities za chuo (like ushering na Uongozi ,etc) Pata wasaa wakuketi nae uongee nae kama mtu mzima, mwambie yote usibakishe, asijihusishe kwa mahusiano kama muda kwake Bado, Mpe na ushauri kuwa Angalau muda flani unaweza kuwa kwa mahusiano, Mshauri aache tamaa, hakuna vya bure, ajipambanie future yake ipo mikononi mwake....... Vijana wengi wana haribikiwa wakiwa wametoka Advance wanakuja chuo, pale wanapoanza first year, Aiseeeh watoto wanafungua saana tupu zao waone Dunia na utamu wake , uchungu wake wana usahau, unakuja kushtuka, your too late........ Oyaaah SIO POA
Indonesia
6
9
42
4.5K
Pancras Flahisha retweetledi
Mr. CEO 💰
Mr. CEO 💰@MrCEO001·
My daily routine 1. Kuamka mapema 2. Sala/kumshukuru Mungu 3. Mazoezi kidogo 4. Kusoma kitabu 5. Kuingia kitaa kupambana 6. Kushirikiana na wadau katika mapambano Wewe uwa unafanya nini ukiamka? Good morning everyone 🖐🏋️‍♂️
Indonesia
19
20
29
476
Pancras Flahisha
Pancras Flahisha@flahisha·
Padri anatoa ushauri wa ndoa na Anafungisha ndoa Yeye hana ndoa, Kaa kwa ku relax kjn
kvsnt@kVant1234

@flahisha Mtu kama weww ungetakiwa uwe mpokea ushauri ila ajabu wewe ndo unatoa ushauri.

Indonesia
0
0
3
458
kvsnt
kvsnt@kVant1234·
@flahisha Mtu kama weww ungetakiwa uwe mpokea ushauri ila ajabu wewe ndo unatoa ushauri.
Indonesia
1
0
1
1.2K