Valley tz

621 posts

Valley tz banner
Valley tz

Valley tz

@fulgencevalley

IT Technian, Graphics Designer, Videographer & Photographer

Katılım Kasım 2012
492 Takip Edilen366 Takipçiler
Valley tz
Valley tz@fulgencevalley·
@SportsarenatzTz Amna cha uelewa wala nini, ni swala la maslah binafsi hivi mna kumbuka kwenye wimbo maalumu kwa ajili ya Afcon ( tuliona watu wakiwa wamevalishwa jez ya yanga mimi mpaka leo najiuliza what happene je jezi ya taifa ilikosekana ? 🤔 ) hapo ndio ujue safari ya uzalendo bado ndefu
Indonesia
1
0
0
212
SportsArenaTz
SportsArenaTz@SportsarenatzTz·
🇹🇿 | Wakati Tanzania ikiendelea na maandalizi ya Afcon 2027, ni wazi kuwa kuna watu wachache sana wenye uelewa wa kina wa soka la kisasa kama Injinia Hersi Said. 🧠 Huu ni wakati sahihi wa kutumia utaalamu na fikra za watu wa aina hii kwa manufaa ya taifa, ili kuhakikisha maandalizi yanaenda kwa kiwango kinachostahili. Tusipofanya hivyo, hatari ya kushindwa kufikia matarajio ipo wazi. Lakini tukitumia rasilimali watu vizuri, Tanzania inaweza kuandika historia mpya.
SportsArenaTz tweet media
Indonesia
11
8
166
12.3K
Valley tz
Valley tz@fulgencevalley·
@John_Pambalu Matusi yameisha, tunaitajikuvumbua matusi mapya sasa unafikil huyu tusi gani linamfaha😶
Indonesia
0
0
2
120
John Pambalu
John Pambalu@John_Pambalu·
CCM inasema imepandisha BEI ya Petroli kidogo sana. Hivyo acheni MIHEMKO.
Indonesia
18
37
191
6.9K
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
AFCON 2027 Itumike kudai haki Tanzania kwa kufanya maandamano ya kihistoria. Siku ya ufunguzi wa Afcon Tanzania iwe ni siku ya maandamano makubwa zaidi ya yale ya Oktoba 28. Hawatoweza kujaza wanajeshi na Askari barabarani au kupiga wananchi risasi huku attention ya dunia iko Tanzania sababu ya AFCON. Mipango ianze sasa ya kupush maandamano makubwa kwenye AFCON ya 2027 Kwanza hiyo kampeni tu ya kufanya maandamo siku ya ufunguzi wa AFCON tayari tutapata attention ya dunia nzima……..
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet media
Indonesia
219
560
2.5K
104.9K
Valley tz retweetledi
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
My fear is that the illegitimate president, Samia Suluhu may attempt to leverage Tanzania’s natural resources to secure the support of powerful nations, rather than allow them to stand with the Tanzanian people in their push for freedom and a new constitution. Tanzanians are calling on the United States and the international community to support their pursuit of democracy, a new constitution, free speech, an end to threats to Christian leaders and churches, human rights. Tanzanians want partnerships only with nations that respect their rights and their lives . For this reason, we urge the international community—to refrain from engaging in business that legitimizes the current government. Many Tanzanians are living in fear, and they hope the U.S. and its allies will support efforts that will remove the current president who issued shoot to kill orders from power. We refused to be ruled by a government that murdered us for demanding free and fair elections. During past protests, thousands of Tanzanians were murdered, highlighting the severity of the situation. The world has a responsibility to support Tanzanians as they seek justice, accountability, and a government that truly represents them.
Senate Foreign Relations Committee Chairman@SenateForeign

Even before its handpicked “independent” commission began work, Tanzania’s government rushed to blame vague “foreign” actors for the bloodshed. It has offered no credible explanation for its own election-related crackdown, including why Christian leaders were singled out for deadly attacks and abductions. Those responsible for persecuting these Christians must be held to account. breitbart.com/africa/2025/12…

English
109
518
2.6K
233.7K
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Tarehe 12/12 ni Birthday Yangu!! Tarehe 9/12 ni Birthday Ya Nchi!! Mungu atusimamie tukazile hizi KEKI!! In The Mighty Name Of Jesus Tunaomba Na Kushukuru….Ameen 🤲
#NIPENI_MAUA_YANGU💐 tweet media
Filipino
77
411
3.5K
66.2K
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Huu mwezi December umekuwa mchungu sana kwangu!! Especially this week! Juzi tunamaliza kumzika bibi saa 12 jioni!! Usiku saa 4 rafiki yangu anapata ajali anafariki!! 💔
Indonesia
95
159
2.1K
47.9K
Valley tz
Valley tz@fulgencevalley·
@AFTVMedia The December games never been good for us, but this season, it's time for us 🔥
English
0
0
0
28
AFTV
AFTV@AFTVMedia·
Our first game in December 🔥 Let's win and maintain our lead on the table today! 💪
AFTV tweet media
English
12
76
1.9K
17.7K
John Pambalu
John Pambalu@John_Pambalu·
KATIKATI YA MACHOZI, MAUMIVU NA HOFU. MAMBO GANI 7 YAMEJIFICHA KATIKA HOTUBA YA SAMIA?. Mwl, John Pambalu Nimemsikiliza Samia akizungumza na wazee wa Dar es Salaam. Nimefanya uchambuzi wa hotuba yake katika mambo muhimu. Nimejiuliza juu ya washauri wake wa kisiasa kuwa wanawezaje kumruhusu kutangaza vita nyingi kwa wakati mmoja, unatangazaje vita dhidi ya TEC, Wapinzani, Gen Z, Jumuia ya kimataifa nk katika hotuba moja, ambayo unaamini ni hotuba ya uponyaji?. Wacha tuyaone mambo 7 niliyoyaona. 1. Majibu ya tume ya uchunguzi (Tume ya Jaji Othman Chande) aliyoiunda kuchunguza anachokiita vurugu za Oktoba 29,2025 yameshapatikana, hakuna haja ya kuharibu fedha, jambo moja analiamini na kulirudia mara nyingi yeye na wasaidizi wake ni kwamba waandamanaji walilipwa na watu wa nje ili kuvuruga amani ya nchi. Hayo ndiyo yatakayokuwa majibu ya tume ya Othman Chande (Muda ni mwalimu mzuri). 2. Waliuawa katika maandamano ya tarehe 29.10.2025 anaamini walistahili kifo, anadai wauaji walitumia nguvu inayolingana na vitendo vilivyofanyika. Kwake ukichoma kituo cha mwendo kasi unasthili kile kilichowapata waandamanaji. Mnaosubiri wauaji kuchukuliwa hatua mtasubiri mpaka Yesu atakaporudi. 3. Imetangazwa rasmi vita dhidi ya Kanisa Katoliki. Yale maneno ya wale masheikh waliosema watawakata vichwa waandamanaji hayakuwa ya bahati mbaya ndiyo maana wako uraiani wanakunywa Alkasusi na Urojo wa Posta Dar. Nafikiri iko chuki kubwa dhidi ya kanisa Katoliki. Tuliombee hili kanisa lililoamua kusimama upande wa haki. 4. Chadema tumesimangwa vilivyo. Tumeitwa kwenye meza ya mazungmzo tukiwa tumefinywa vilivyo. Twende tukazungumze tukiomba kuokoa Roho zetu sio kutendewa haki kwa yale tuliyokosewa. Hazungumzii juu ya msajiri Mutungi na Shost kuisimamisha Chadema kufanya kazi zake. Hazungumzii juu ya hukumu za Jaji Mwanga kusimamisha shughuli za Chadema. Hazungumzii uonevu wowote juu ya Chadema. Yeye anasema tuliukacha uchaguzi kukwepa kipigo huku mshibdani wake anayemuogopa Lissu alishamuweka kwenye kuta za gereza. 5. Kesi ya Lissu imeshatolewa maelekezo. Kama alivyokamatwa kwa shinikizo la kisiasa basi hataachiliwa kwa shinikizo la kisiasa. Kama mnataka kuja kwenye meza ya mazungumzo njooni lakini Lissu atayasikia kwenye bomba hawezi kuwa sehemu ya mazungumzo hayo. Anasema kama Chadema inashinikiza wataingia kwenye mazungumzo Lissu akiachiwa huru, hilo wasahau. 6. Jumuia ya kimataifa inaulizwa swali moja tu, "who are you by the way". Tunaweza kwenda bila nyinyi msitupangie cha kufanya, hatuwahitaji katika hatua ya sasa tuacheni tufanye mambo yetu. Jumuia ya kimataifa inaambiwa sisi tuko huru kufanya chochote tunacho taka. Hotuba hii inanikumbusha swali langu nilipokuwa mtoto, nilikuwa nikijiuliza, nikimzaa mtoto halafu nikamuua kwa nini nikamatwe na nifungwe?. Ni ajabu Mzee akijiuliza maswali niliyokuwa nikijiuliza nilipokuwa mtoto. 7. Gen Z, ⁠Diaspora, wanaharakati na wapinzani jiandaeni kupanda mlima. Hakuna atakaye wahurumia ni ntiti kwa kwenda mbele. Hotuba haijakanusha juu ya mauaji ya makusudi, uwepo wa kaburi la pamoja, majeruhi kupelekwa mortuary kwa makusudi, raia kuuawa wakiwa majumbani mwao nk. Hajaamua kukemea utekaji, uonevu na kitu chochote kilichopandisha hasira ya umma juu ya utawala wake, chama chake au serikali wake ile iliyomaliza muda wake October 29. Ninaamini kuna watu wa karibu na Samia wameamua kumuharibia kwa nguvu zao zote. Kwa hotuba hii ninaamini watu wema walio upande wake kama wana hofu ya Mungu watarudi nyuma kwa hakika. Kilichonishangaza ni makofi ya wazee wa Dar, Gen Z mmoja alipoyaona yale Makofi akasema, "Ukimuona Mzee wa Dar amesimama kwenye gari marufuku kumpisha kiti😄" ma Gen Z bwanaaaaa. Ninataradadi Wasalaam John Pambalu jpambalu@gmail.com
John Pambalu tweet media
Indonesia
25
110
446
25.9K
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Wanangu HILO GOMA LA MAKOMBOLELO NDIO Tumekubaliana la kufungia mwaka. Na Baada ya Ukombozi Disemba 9 tutawaleta Wale jamaa waje kupiga Show BURE KWA MKAPA. TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SATIVA tweet media
Indonesia
32
188
2.1K
30.8K
Allan Lucky (Host: Klub A-Z Podcast)
Ndani ya nchi yangu juzi niliambiwa nisalimie kwa kilugha chetu ku-confirm kama kitambulisho changu na jina ni legit. Tumefikia huku wazee. Kama movie vile.
Indonesia
15
83
870
34.4K
Valley tz retweetledi
Mudryk Jr
Mudryk Jr@mudryk_jr·
Nimeshudia mengi kuhusu kifo lakini kifo hakija thibitisha mengi kuhusu yeye. Ni kama hakisikii mengi kama ulivyo uhai tu unavyo jaribu kuthibitisha mengi tu kuwa wenyewe ni bahati hata si juhudi"
Mudryk Jr tweet media
Indonesia
13
43
122
23K
Valley tz
Valley tz@fulgencevalley·
Unsuspend this account @elonmusk we need justice
Valley tz tweet media
English
0
0
0
10
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Kwasasa CHADEMA wamekuwa wakipata presha kubwa kubwa kutoka kwa baadhi ya watu kuhusu NO ELECTION. Na wengi wamekuwa wakitaka CHAMA kiunge mkono maandamano ya WANANCHI ya oktoba 29. Mimi nina maoni yangu pia. Kwanza CHAMA kisikubali kuingia kwenye huu mtego wa kuunga mkono maandamano ya wananchi kwasasa. Naamini moja ya mtego wa serikali kwenye haya maandamano ni ushiriki wa CHADEMA kwenye kuhamasisha haya maandamano. Mtego kwa maana gani? Sote tunajua mpaka sasa chanzo cha watu kuukataa huu uchaguzi ni “NO REFORMS NO ELECTION”. Serikali wamegoma kutoa REFORMS inamaanisha wanasubiri hatua hiyo ya “NO ELECTION” ambayo wanachadema wataichukua. Kama Chama kinatangaza leo kinaunga mkono maandamano ya WANANCHI 29.10 basi wanakuwa wamejitwalia nguvu zote zilizotumika na wananchi kuhamasisha maandamano 29.10 na sasa kuwa Maandamano ya CHADEMA. Yakishakuwa maandamano ya CHADEMA tayari kuna mvuto yanapoteza, kuna watu hawana Vyama tayari tunawakosa, kuna watu wa dini tunawapoteza, kuna watu wa vyama mbali mbali tunawapoteza. Na hata kwenye kuyaponda maandamano watasema ni maandamano ya CHADEMA sio ya wananchi. Mpaka sasa maandamano ya 29.10 yanaonekana yana nguvu na serikali inashindwa kuyashambulia kwasababu ni ya wananchi. Leo hii wakiitisha CHADEMA ni rahisi sana kudhibitiwa kama tulivyoona nyakati za nyuma. Maandamano ya NEPAL ambayo leo tunayatumia kama pilot study yetu hayakuwa ya CHAMA. Yalikuwa maandamano ya WANANCHI. Tunahitaji kuhamasishana kama wananchi na sio kuhamasishwa na CHAMA. Kama chama kitaamua kutuunga mkono basi ni siku ya tukio (29.10) maana tutakuwa FIELD na wao waingie kutekeleza msimamo wao wa NO ELECTION. Ukimya uliopo sasa kwenye chama uendelee hivyo hivyo maana ndio tunazidi kuwavuruga WAKOLONI WEUSI. NB: HAYA NI MAANDAMANO YA WANANCHI SIO CHAMA. Haya maoni yangu sio sheria. Wewe unaonaje? TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SATIVA tweet media
Filipino
174
288
1.5K
52.3K
Valley tz retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 20 Anaendelea Mhe. Lissu Section 52(2) ya Media Act Katiba yetu kwa zaidi ya miaka 30 tumekuwa tukisema haifai kwenye mambo mengi TUBADILISHE. Sasa inakuwaje ni kosa la uhaini kwa kifungu hichi? Haya maneno ya tutavuruga uchaguzi. Tuzuie uchaguzi, Tutakinukisha yanakuaje Uhaini? Hata Katiba yetu ibara 18(A) inaonesha sasa maoni ya mtu mmoja yanakuwaje Uhaini? Ibara ya 20(1) inatoa uhuru wa kila mtu kukutana na watu wengine na kutoa maoni yake hadharani. Na mimi nilizungumza hadharani kwenye mkutano uliorushwa live. Maneno yangu unaweza usiyapenda ila yanakuwaje Uhaini? Watu wanacheka 😂😂😂😂 Ibara 29 (1) ya Katiba kila mtu ana Haki ya kufaidi Haki za msingi za binadamu kama kutoa mawazo yake hadharani. Kutoa mawazo yangu ni uhaini? Waheshimiwa Majaji, niwarudishe tena kwenye hayo maneno ambayo nashitakiwa nayo. Anasoma tena hayo maneno ambayo yanadaiwa kuwa ni Uhaini Anamwambia Mhe. Jaji katika maneno haya wapi nimetaja Serikali? Wapi nimeataja Raisi? Wapi nimetaja Waziri Mkuu au Majeshi? Wapi nimetaja Serikali na vyombo vyake? Ndo maana nikasema shahidi wangu wa kwanza ni ni Samia Suluhu Hassan na wengine. Nina list ndefu kidogo watakuja wote watuambie ni wapi nimetaja Serikali au vyombo vyake na inakuwaje iwe Uhaini? Hakuna mahali nimetaja bunge, kwamba msipofanya hivi tutawapiga mawe au tutawapindua. Hawajatajwa Serikali wala vyombo vyake inakuwaje Treason ya kunifanya nikae gerezani na watu waliohukumiwa kunywangwa kwa siku zaidi ya 160? Anazungumza Jaji kwamba kama Mhe. Lissu anakaribia kumaliza au bado maana muda umeenda sana. Anasema Mhe. Lissu kwamba Mheshimiwa Jaji hapa ndo kwanza nipo katikati kama unataka kuahirisha ni sawa tuendelee kesho. Upande wa Serikali nao wameafiki kwamba kesi ihairishwe. Mheshimiwa Jaji amehairisha kesi mpaka kesho saa tatu asubuhi. Naomba repost yako kwenye tweet hii.
Indonesia
37
589
1.3K
46.5K
Valley tz retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo September 15, 2025 Part 16. Mahakama imejaa watu kama kawaida ila sasa hivi naona watu nyuso zao zimechangamka tofauti na asubuhi maana wote ni kama tulikuwa kwenye Hali ya simanzi baada ya Polisi kutumia nguvu kuzuia watu kuingia Mahakamani. Kuna watu wengi wameumizwa wengine wamekamatwa wapo Central akiwemo Mwenyekiti wa Bavicha Taifa Wakili Mahinyila. Sasa tuendelee Tayari Mawakili wa pande zote wameingia Mahakamani. Mhe. Lissu pia na yeye ameingia. Imepigwa ile Cooooooort ya kikakamavu sana bila Shaka huyu jamaa wa leo atakuwa amepigwa Lunch inayoeleweka.😂 Waheshimiwa Majaji wote watatu wameingia na kuketi kwenye viti vyao. Sasa Mahakama imeanza rasmi Anasimama Wakili wa Serikali Katuga anasema ikupendeze mheshimiwa jaji upande wa Jamhuri Coram iko kama ilivyokuwa awali na mshitakiwa yupo tayari kizimbani. Shauri linakuja kwa ajili ya mshitakiwa kusomewa mashitaka na kwa upande wetu tuko tayari. Jaji Nduguru anamuita Mhe. Lissu Mhe. Lissu anasema Waheshimiwa majaji nina mambo mawili kabla ya kuendelea. Jambo la kwanza wiki jana wakati naomba nyaraka kama nilivyoomba leo nilipewa ikiwa imebakia dakika 8 turudi mahakamani. Leo tangu tumeahirisha kesi asubuhi nimepewa nyaraka saa nane na dakika 9 na saa hizi ni saa nane na dakika 30. Sasa waheshimiwa majaji hii kesi ni ya uhaini sio kesi ya kesi ya kuuza mbege bila kibali cha kuuza mbege. Watu wanacheka 😂😂😂😂 Jaji Nduguru anasema tuwe watulivu, tuheshimu Mahakamana. Anaendelea Mhe. Lissu Sasa sitaki tuahirishe kesi kwa sababu hiyo ila naomba wanaotoa nyaraka wapewe onyo na wajue hii ni kesi kubwa. Jambo la pili Tar 4/9/2025 niliandika barua kwa msajili nikiomba kesi hii irushwe live kwa sababu ni kesi kubwa lakini mpaka sasa sijajibiwa. Naomba kesi hii irushwe live kwa sababu ya ukubwa wake ni hayo tu waheshimiwa majaji. Kuna ukimya hapa mahakamani ni ingekuwa enzi zetu za utoto tungesema shetani kapita.😂 Naona majaji wanajadili kidogo. Jaji Nduguru anaita upande wa jamhuri? Anasimama tena Katuga anasema waheshimiwa majaji tumesikia tukianza na hilo la kupewa nyaraka saa nane na dakika 9 ambapo amesema licha ya hilo hana nia ya kuahirisha. Waheshimiwa majaji sisi tuko tayari kuendelea lakini kwa kuzingatia maelekezo yenu wakati tunatoka. Na kwa kuzingatia pia kuwa kwenye ile notice of Motion ambayo anaonyesha kuna mapingamizi mawili ikiwemo hili la kupinga hati ya mashtaka. Sasa hoja yetu ni kwamba kwa kuwa imeingia kwenye rekodi kuwa amepewa nyaraka hizo saa nane na dakika 9 na muda huu ni saa nane na dakika 40 je muda huu unatosha yeye kuwa amesoma na kujiandaa? Ni rai yangu kwa kuwa mahakama ilitaka chini ya kifungu cha 266 cha sheria ya mwenendo wa makosa. Tunaona muda huu kwa minajiri ya fair trial hivyo tunaomba apewe muda ili akasome na kuandaa utetezi wake kwa muda wa kutosha. Japo kuwa hakuna muda maalumu umewekwa na sheria wa yeye kujiandaa the law is silent lakini ni busara kuwa apewe muda wa kutosha ili akajiandae vizuri. Kwa maneno mazuri mahakama ione busara kumpa muda wa kutosha ili akajiandae vya kutosha. Huyu Katuga ni kama alifanya makusudi kuchelewa kumpa Mhe. Lissu Nyaraka ili apate sababu ya kuomba kesi ihairishwe ngoja tuone mwisho Majaji wataaamua nini? Haya tuelendelee na kesi yetu Anaendelea Katuga Waheshimiwa majaji kuhusu hili ombi la pili sisi tunakiri kupewa nakala (copy) ya kuomba live streaming lakini ni mahakama hii ndio ina mamlaka ya kuamua juu ya hili. Waheshimiwa majaji hili ni ombi linatakiwa lifanywe wakati kesi inapoanza kusikilizwa "trial" Part 17 itaendelea kwenye post inayofuata Naomba Repost yako kwenye tweet hii.
Indonesia
24
517
1.1K
96.7K
Valley tz retweetledi
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
“Nimetoka kumuona Mwenyekiti, yuko in a very high spirit. Anawasalimia Watanzania wote. Maneno yake “tuendelee kupambana, hakuna kurudi nyuma kwasababu tuko sahihi.” Kesho tukutane mahakama kuu, kusikiliza uamuzi kuhusu mapingamizi yetu. Kesho mahakama kuu tujitokeze kwa wingi.” @HecheJohn REPOST 200. #FreeTunduLissu #LissuSioMhaini #TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SATIVA tweet media
Indonesia
9
205
1.1K
23.3K
Valley tz retweetledi
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Kwanini EFM wamefuta video hii? Uchambuzi mzuri kama huu kwanini unafutwa? Haya muda wa kuisambaza hii video kwa speed umefika. REPOST 200 TUTAKUWEPO🫵😎
Indonesia
50
994
2.3K
43.7K