kato_14

10.2K posts

kato_14 banner
kato_14

kato_14

@g_ki02

Seek the Kingdom of God above all else, and live righteously, and he will give you everything you need. — Matthew 6:33

Tanzania Katılım Ocak 2018
475 Takip Edilen318 Takipçiler
MK 7BEAT
MK 7BEAT@kabaisa_jr·
Bahati aiji mara mbili jamaa alipata bahati lakini akaichezea cheki sasaivi kapigwa umeme na wachawi wa Tz kila akishika mpira anaumwa mpaka watu wameamza kumsahau kabisa club itakuwa na wewe kwa muda mfupi sana usidhani itakushika bega kila siku heti bora nirudi zangu Iringa 😂
MK 7BEAT tweet media
Indonesia
2
1
8
186
kato_14
kato_14@g_ki02·
@NelsonNgemela @mshambuliaji Hata MAKOLO ile misimu minne anabeba ubingwa kulikuwa na malalamiko kama haya so ifike wakati watu wapeleke ushahidi
Filipino
0
0
0
101
Dclan
Dclan@NelsonNgemela·
@mshambuliaji Sawa lakini Club hiyo inabidi ijitafakari, kwanini kelele za wengi yanahusu yenyewe tu? sio kujificha kwenye kichaka cha mikwala kwa wanaosema. Na huyo ni mmoja tu ila ni wengi wanalalamikia timu hiyo..
Indonesia
6
0
2
1.2K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Klabu ya Yanga SC, kupitia kampuni ya Uwakili ya ‘M/S Nassoro & Co. Advocates’ imewasilisha barua ya malalamiko mazito ya kisheria dhidi ya kampuni ya EFM/TVE ikilalamikia kashfa zinazotolewa na mfanyakazi wa Kampuni hiyo, Wilson John Oruma katika uchambuzi wake wa michezo ambao unachafua taswira ya klabu hiyo. Katika barua hiyo Yanga SC imesema mchambuzi huyo amekuwa akitumia studio za EFM/TVE kutoa taarifa zinazodai klabu hiyo inashinda kwa njia za rushwa na kupanga matokeo hatua ambayo imedai inapunguza heshima, inavuruga mikataba ya udhamini, na kuchochea chuki. Ikiainisha mambo kadhaa kama msingi wa malalamiko yake yakiwemo madai ya kampeni endelevu kwenye vipindi vya EFM/TVE ambao imedai watangazaji wake wamekuwa na utaratibu wa muda mrefu kuichafua klabu hiyo ikitolea mfano uchambuzi uliofanywa na watangazaji baada ya ushindi wa 6-0 dhidi ya Mbeya City, ambapo kauli zilizotolewa ziliashiria mchezo huo haukuwa wa haki. Young Africans SC imedai uchambuzi huo umeonesha kutokuwa na imani na uhalali wa ushindi huo huku ikitaka mamlaka husika kuingilia kati ikitafsiri hatua hiyo kama kuivunjia heshima kwani kitendo hicho kinaharibu jina, hadhi, na heshima ya klabu kwa wanachama, mashabiki, na wadhamini. #KitengeSports
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
20
9
227
14.9K
Conc.H2SO4
Conc.H2SO4@Sulphuric_aci17·
Orumaa nasonya tuu saaizi😅😅
Conc.H2SO4 tweet media
Indonesia
1
0
4
67
kato_14
kato_14@g_ki02·
@MaroMwikwa30907 @meamswahili @massanzajr Hapa ndipo mnapotuonesha umbumbumbu wetu,MAKOLO kwani akili zenu zipo wapi?hivi kweli kuna mtu anaweza akaongea uongo kuhusu mashilikisho?shake well before use(tikisa kichwa hicho mjomba)
Filipino
0
1
1
37
MeaMswahili
MeaMswahili@meamswahili·
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 “Sisi ni mabingwa wa CECAFA lakini hadi leo hatujapata pesa yetu ($30K sawa na Tshs 78m) na tumefanya jitihada bila mafanikio. Mwanzoni walikuwa wanatoa ushirikiano lakini kwasasa hawajibu chochote.” - @massanzajr Afisa Habari wa Singida Black Stars #MeaMswahiliUPDATES
MeaMswahili tweet media
Indonesia
5
1
77
1.9K
K.M
K.M@SaulnierNalomba·
@g_ki02 @Elsukay0 @Karawa102010 Awa ndo wale mshahara 40ml lakini MCHEZAJI anapata 20ml zilobaki wanagawana wajanja waliomleta hapo klabuni
Indonesia
1
0
0
19
EL SUKAYO🇹🇿
EL SUKAYO🇹🇿@Elsukay0·
🚨 LIST YA WACHEZAJI KUTOKA YANGA WANAOLIPWA PESA 💰 NDEFU 1. Clement mzize Tsh 45M 💰 2. Pacome zouzoua Tsh 35M 💰 3. Depu Tshs 30M 💰 4. Maxi nzengeli Tshs 30M💰 5. Djigui Diarra Tshs 28 M 💰 6. Chadrack boka Tsh 25 M💰 7. Allan Okello Tshs 23 M💰 8. Zimbe jr Tshs 20M 💰
EL SUKAYO🇹🇿 tweet media
Indonesia
16
14
279
12.7K
kato_14
kato_14@g_ki02·
@SaulnierNalomba @Elsukay0 @Karawa102010 Kwasasa Mzize ndie mchezaji anaelipwa pesa nyingi kuliko mchezaji yoyote kwenye nchi hii,golikipa wa Azam alikuwa anachukua 50m,sijui kama bado yupo. Hakunaga propaganda kwenye issue zakimshahara labda uzianzishe wewe
Indonesia
0
0
0
6
K.M
K.M@SaulnierNalomba·
@Elsukay0 @Karawa102010 Hakuna Ni propaganda tu Yaani MZINZE apewe 45 Kwa kipi cha maana.
Indonesia
1
0
0
11
Bugali
Bugali@bugali44·
@g_ki02 @meamswahili @Mzeewajambia Kwa hii nchi bora unyamaze tu dogo hujui lolote waachie wenye mpira wewe mpiga kelele wa makunduchi nani anakujua😂😂
Indonesia
1
0
1
25
MeaMswahili
MeaMswahili@meamswahili·
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 “Kama Viongozi wanataka kuwapeleka wachambuzi mahakamani nadhani na sisi wachambuzi tujiandae kuwafungulia mashtaka ya Upangaji wa matokeo,Betting nk. Hakuna aliyesalama sana kwenye mpira Wetu Kama vipi funikeni kombe mwanaharamu apite. Tena sasa hivi Ndio balaa,tunajuana guys.” - Juma Ayo, Mtangazaji na Mchambuzi wa CrownFM. #MeaMswahiliUPDATES
MeaMswahili tweet media
Indonesia
18
10
249
26.9K
kato_14
kato_14@g_ki02·
@vistovic17 Usitoke kwenye reli janja,kama unaweza kumtomba mama yako sawa. Mimi babaako bwege wewe
Filipino
2
0
3
213
BIGV 🎩
BIGV 🎩@vistovic17·
@g_ki02 Unaandika pumba ujui maana ya football bantering ni unfollow ujaitwa hapa hapo amesemwa Pacome unaumia hvy wakikutombea mke wako au demu ziutajiuua
Indonesia
1
0
1
1.1K
BIGV 🎩
BIGV 🎩@vistovic17·
🚨 Jacob Massawe baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Simba leo: “Sio kwa ubaya, ila nikiri Simba wana wachezaji wenye quality kubwa sana. Mfano huyu Anciet Oura — sidhani kama nimewahi kukutana na ball carrier kama huyu. Wengine watasema Pacome, lakini Oura ni daraja tofauti kabisa. Kwa sasa, yeye ni namba moja.”
BIGV 🎩 tweet mediaBIGV 🎩 tweet media
Indonesia
12
29
829
36.6K
kato_14
kato_14@g_ki02·
@vistovic17 Mtoto wa kiume unamtishia MWANAUME kumblock😂😂,yes!hauchambui mama ang bali tunachambua mama yako wewe,c ndivyo janja.
Indonesia
0
0
2
59
BIGV 🎩
BIGV 🎩@vistovic17·
@g_ki02 Leo mara ya mwisho kunitag tag siku nyingine unaenda kabatini elewa maana ya football bantering uje hapa na majibu atumchambui mama yako
Indonesia
1
0
0
73
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽@mananajr_·
Kamwe ukitoa haya mambo ya Kariakoo jamaa ni smart sana Kama kweli watafungua kesi kuhusu baadhi ya wachambuzi, wajiandae kutafuta wachambuzi wa timu yao Kitakachotokea ni kwamba wachambuzi wataachana na timu yao, kwa kusema hawataki kushitakiwa
Indonesia
19
8
93
3.3K
Futbal Planet ✴️
Futbal Planet ✴️@PlanetFutbal·
🚨 JUSTIN: Uongozi wa Klabu ya Yanga SC kupitia Mwanasheria umewafungulia mashtaka kesi wachambuzi watatu (majina kapuni) wa mpira wa miguu kutokana na kutoa taarifa za kuichafua Taasisi hiyo. Tayari wachambuzi hao wameshapewa taarifa kuhusiana na kesi hiyo.
Futbal Planet ✴️ tweet media
Indonesia
8
9
274
7.2K
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
Nyie endeleeni tu kumfanisha na huyo mbumbumbu wenu ambaye anakutana na mechi za mihamara huku mwenzenu anaforce kwenye visiki huku🔥🔥🫵
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
13
3
50
1.5K
kato_14
kato_14@g_ki02·
Mara ya mwisho Arsenal kushinda kombe la ligi marefa walikuwa wanavaa suti
kato_14 tweet media
Indonesia
0
0
0
18
kato_14
kato_14@g_ki02·
@Elsukay0 @Elsukay0 yale ni maoni au ni TUHUMA? hebu na wewe ifike mahali utingishe kichwa chako walao fues zikae sawa hata kwa dakika 5 ili ujue kutofautisha maoni na tuhuma. Sisi huyu @Mzeewajambia tunae yaan afe kipa afe beki nilazima atupe usibitisho wa zile tuhuma zake. stupid
Indonesia
0
0
1
42
EL SUKAYO🇹🇿
EL SUKAYO🇹🇿@Elsukay0·
Wachambuzi hatuna uhuru wa kutoa maoni kabisa dah yanga ukiwasema vibaya tu wana ku attack Yanga inawanyima wachambuzi freedom of speech mpira haupo hivyo
EL SUKAYO🇹🇿 tweet media
Indonesia
11
5
34
1.3K
kato_14
kato_14@g_ki02·
@Sulphuric_aci17 Tumwambie tu huyu @Mzeewajambia katika hili hatutamuacha mpaka asibitishe juu ya zile tuhuma zake. Simba alishinda 6 dhidi ya Meck Mexime akasifia uwezo wa wachezaji wa simba lkn akishinda Yanga mechi imeuzwa,sasa wacha tuishi nae
Indonesia
1
0
0
64
Conc.H2SO4
Conc.H2SO4@Sulphuric_aci17·
Naona wachambuzi wanatoka na mabandiko huko🤣🤣🤣huyu mwenzetu lazima atueleze kwa mujibu wa sheria
Conc.H2SO4 tweet media
Indonesia
8
3
57
1.2K