Felix Mallya retweetledi

@MariaSTsehai Nyerere hakuwa malaika na alikiri hivyo. Lakini Nyerere alifanya vetting nzuri. Mawaziri wake (including baba yako Maria) walikuwa intelligent, logical, na wenye class. Leo hii waziri hana tofauti na mhuni wa mitaani, na ni wajinga kupindukia. I miss Nyerere.
Zionsville, IN 🇺🇸 Filipino












































