Nice Gisunte

3.6K posts

Nice Gisunte banner
Nice Gisunte

Nice Gisunte

@Nice_Gisunte

Mwenyekiti wa Bawacha Mkoa wa Ilala I Mweka Hazina Bavicha Taifa 2019 - 2024 | Diwani Kata ya Kitunda 2015 - 2020.

Ilala - DSM Katılım Ağustos 2018
224 Takip Edilen10.2K Takipçiler
Nice Gisunte
Nice Gisunte@Nice_Gisunte·
“Dada uliyevaa nguo ya Chadema nakuita toka kule huitiki… nyinyi mliopo Chadema ndio mnasimama na @TunduALissu hebu njoo uchukue maji ya kunywa hapa nakununulia” - dereva wa bodaboda baada ya kuniona mtaani. @ChademaTZ2 inapendwa na wananchi mpaka viongozi wake wanapendwa ✌️✌️
Nice Gisunte tweet media
Indonesia
9
51
283
3.2K
Nice Gisunte
Nice Gisunte@Nice_Gisunte·
Jioni ya leo, tarehe 15 Mei 2025, Makamu Mwenyekiti Chadema Zanzibar, Mhe. Said Mzee Said, amefanya zoezi la kupandisha bendera katika vijiwe mbalimbali katika mji mdogo wa Katoro na Buseresere Chato, Mkoa wa Geita.
Nice Gisunte tweet mediaNice Gisunte tweet mediaNice Gisunte tweet mediaNice Gisunte tweet media
HT
0
12
101
1.2K
Nice Gisunte
Nice Gisunte@Nice_Gisunte·
Mchana wa leo, Kamati ya Uratibu ya BAWACHA Mkoa wa Ilala imekutana katika kikao chake cha kawaida kwa ajili ya kujadili na kupanga mikakati ya Baraza, pamoja na kutathimini utekelezaji wa maagizo ya Chama kwa lengo la kuimarisha ustawi na maendeleo ya Chama pamoja na Baraza letu
Nice Gisunte tweet mediaNice Gisunte tweet mediaNice Gisunte tweet mediaNice Gisunte tweet media
Indonesia
2
24
159
1.8K
Nice Gisunte
Nice Gisunte@Nice_Gisunte·
A very Happy Mother’s Day to all the strong women doing their best in their important role of taking care of their children. May God bless you abundantly 🙏
Nice Gisunte tweet media
English
1
4
49
493
Nice Gisunte
Nice Gisunte@Nice_Gisunte·
TAARIFA KWA UMMA TOKA @ChademaTZ2 JUU YA KUZUIWA KWA KAMATI YA HAKI ZA BINADAMU YA BUNGE LA ULAYA KUTEMBELEA TANZANIA.
Nice Gisunte tweet mediaNice Gisunte tweet media
Indonesia
4
32
137
1.5K
Nice Gisunte
Nice Gisunte@Nice_Gisunte·
Happiest birthday to my dear friend in struggle kamanda @mambosholizzy age with grace & keep the fire burning baby girl ❤️😘😘
Nice Gisunte tweet media
English
4
17
148
1.6K
Nice Gisunte
Nice Gisunte@Nice_Gisunte·
Siku ya jana viongozi wa Kamati ya uratibu ya Bawacha Kanda ya Pwani tukiongozwa na Katibu wa Bawacha Taifa Mhe. @PamelaMaassay tulipata nafasi ya kushauriana na Katibu Mkuu wa Chama Mhe. @jjmnyika juu ya mipango ya Baraza ndani ya Kanda yetu ya Pwani.
Nice Gisunte tweet mediaNice Gisunte tweet mediaNice Gisunte tweet mediaNice Gisunte tweet media
Indonesia
0
29
135
2.6K
Nice Gisunte
Nice Gisunte@Nice_Gisunte·
Stay tuned ✌️
Nice Gisunte tweet media
English
1
9
26
608
Nice Gisunte
Nice Gisunte@Nice_Gisunte·
"Bawacha walihsi wanatafutwa na kufuatiliwa, hawakuingia na mavazi ya Chadema kwenye eneo la kanisa, walipoingia walienda sehemu wakavaa nguo za Chadema na baadae wakaingia kanisani." Askofu Michael Msonganzila
Indonesia
0
18
101
4.9K
Nice Gisunte
Nice Gisunte@Nice_Gisunte·
Siku ya leo Bawacha tulijipanga kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani kwa kusanyiko Musoma, mkoa wa Mara, kama sehemu ya Wanawake tunaoamini katika mlengo mmoja wa Kisiasa kuungana na wanawake wenzetu Dunia nzima kuadhimisha siku hii muhimu iliyorasimishwa na Umoja wa Mataifa 1977 na kama ilivyo dhima yake kusherehekea mafanikio na mchago mkubwa wa wanawake kisiasa, kiuchumi na kijamii. Kusisitiza juu ya umuhimu wa haki za wanawake katika jamii yetu na kuendeleza harakati na vuguvugu la kuendelea kudai na kupigania usawa wa kijinsia. Kitendo cha Jeshi la Polisi kutoa katazo, kukamata wanawake wa Bawacha na kutumia siraha kutukabili sio tu vita ya kisiasa dhidi ya Bawacha na Chadema kwa ujumla bali ni vita dhidi ya haki za wanawake, ustawi, mchango wetu, harakati zetu na hatua zetu za kujikwamua na kupiga hatu dhidi ya ukandamizaji na ubaguzi wa kijinsia sababu jamii yoyote iliyostaharibika na yenye kufuata misingi ya utawala wa sheria inaamini katika haki, usawa, ustawi na mchango mathubuti wa mwanamke katika Taifa kwa nyanja zote. Kwa niaba ya Bawacha Mkoa wa Ilala tunalaani vikali vitendo hivi na kuungana na msimamo wa Baraza wa kuhakikisha walioshiriki wanawajibishwa vikali. Viongozi wetu wa Baraza wanaoshikiliwa na Jeshi la Polisi wakiongozwa na Katibu wetu Mhe. Eng. Pamella Maassay waachiliwe mara moja pasipo masharti yoyote. Na kwa msimamo thabiti usiyoyumbishwa na wapinzani wetu kisasa, Bawacha Mkoa wa Ilala tutaendelea na harakati za kuhakikisha haki za wanawake zinaheshimiwa na kupewa kipaumbele kwa ustawi wa jamii yetu ya Tanzania kama ilivyo malengo ya Baraza letu. Mungu ibariki Bawacha. Mungu ibariki Chadema. Mungu ibariki Tanzania. #IWD2026 #HakiNaUsawaUkitoaUmepataChukuaHatua Nice Gisunte, Mwenyekiti wa Bawacha Mkoa wa Kichama Ilala, 08/03/2026.
Nice Gisunte tweet mediaNice Gisunte tweet mediaNice Gisunte tweet mediaNice Gisunte tweet media
Indonesia
11
62
385
11.6K
Just Talk Jr
Just Talk Jr@JustTalkJr1·
@Nice_Gisunte What an exceptionally beautiful woman I see here! Concrats Nice and the rest of BAWACHA women out there❤❤💪🏻
English
1
0
1
797
Nice Gisunte
Nice Gisunte@Nice_Gisunte·
Mh. Sharifa Suleimani - Mwenyekiti Bawacha Taifa
Indonesia
4
53
242
3.8K
Nice Gisunte
Nice Gisunte@Nice_Gisunte·
"Wanawake wa Chadema tumeamua kusimama katika haki, katika kusema kweli, ninyi mkaonyesha mfano mkafika katika eneo hili (Musoma). Baada ya kufanya hili tumeona tumezingirwa na Jeshi la Polisi." Mhe. Pamela Maassay, Katibu Mkuu Bawacha akizungumza kabla ya kukamatwa na Jeshi la Polisi
Indonesia
4
29
123
2.4K
Nice Gisunte
Nice Gisunte@Nice_Gisunte·
You’ve said it all my dear sister in struggle Neema Rweyemamu that “We’ve come so far to stop, our strength is something they can never cope with.” You nailed it baby girl 🔥✌️ #IWD2026
English
9
43
150
3.8K
Nice Gisunte
Nice Gisunte@Nice_Gisunte·
Tamko la BAWACHA juu ya kitendo cha Jeshi la Polisi kuwakamata wanawake waliokuwa wakisafiri kuelekea mkoani Mara kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.
Nice Gisunte tweet mediaNice Gisunte tweet mediaNice Gisunte tweet mediaNice Gisunte tweet media
Indonesia
1
17
66
778