Pius_Fanuel🇹🇿
6.4K posts

Pius_Fanuel🇹🇿
@gondeka_
UDSM Alumni📗 Cultural Heritage Expert🏛 Tour Guide with License | Professional in Cultural & Historical Tours | Translator |
Katılım Nisan 2017
2.1K Takip Edilen3.1K Takipçiler

@DAMIADENUGA @kilepi_tweve You're caption 😂 demanded us to see what will happen at the End. OMG i was about to break my Phone 😪
English

@nyuki_malkia Swala sio pesa swala hapo ni usiri wa shemela
Indonesia


@HopeQuotes__ @HashirAbui Jamaa wako vizuri sana kwenye mambo ya Ufatilia, wana kamera kila kona, anza kujiuliza namna walivyo tumia zile footprints za juu. Jamaa akikimbia.
Filipino

@Adventure_36 @mchiziMonie Namuwazia hapa nacheka lakini namuonea huruma wakati huo huo. Yani anawakati mgumu ambao hauwezi kuelezewa.
Filipino

@JumaAlliMwiguru @online48hrs Hii kubwa sana, jambo kubwa sana, tunajiaminisha sana na tukiamini kwamba haliwezi kutokea. Ila kwa uhalisia hili jambo sio la kubeza. Hii ni sawa na kuazima gheto hafu mtu afariki na uliye muazima akimbie. Kuna mambo ukiwaza kwa kina unaona bora utulie.
Filipino

@Cheka___tz Miaka ya nyuma Kigoma tulikuwa tukiona hili tukio babu zetu walikuwa wanatumbia tupige Kinu na mchi wake, mnakuwa mmekusanyika wengi wakifanya hivyo huku tukisema "bhangwe! Bhangwe! Bhangwe! . Ikiwa na maana ya viachane. Ila kumbe ni jambo ambalo hutokea kwa kipindi.
Indonesia

@BillyTronix1 @mchiziMonie Umeweza kuitambua hii siri. Wengi hawafahamu
Indonesia

@mpambazi Hongera sana Kaka, karibu kwenye Chama. Nyumbani ni nyumbani
Indonesia




















