L O W K E Y

2.4K posts

L O W K E Y banner
L O W K E Y

L O W K E Y

@gpea_

Simply a person trying to make the world a better place for himself and others.

DASLAM Katılım Mayıs 2020
229 Takip Edilen95 Takipçiler
L O W K E Y retweetledi
Arcfunmi
Arcfunmi@Arcfunmi·
This is how you screed a wall to finishing perfection
English
14
197
3.2K
527.6K
L O W K E Y retweetledi
Genious✍️
Genious✍️@chibelube·
Hakikisha unachagua mwanamke ambaye, Anaweza kuwa anasema "Subiri kwanza nimuulize Mume wangu" Hiyo ni heshima kubwa sana sio uoga.
Filipino
6
81
481
10.5K
L O W K E Y
L O W K E Y@gpea_·
@mananajr_ Nadhani huku X pako poa kwa sababu conversation zinaresonate tofauti na platforms zingine
0
0
1
11
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽@mananajr_·
Mtu ambaye hajawahi kutumia X ukimwambia huu mtandao una addiction mbaya kuliko mtandao mwingine hawezi elewa. Yani unaweka simu chini dakika 2 tu, kidogo umeshika tena unarudi X😡
Indonesia
58
47
388
13.4K
L O W K E Y
L O W K E Y@gpea_·
@miracleboytz Chatgpt huwa anachoka muda mwingine, ngoja nishushe Qwen niitumie offline nione kama itamzidi Claude kwa utendaji kazi
Filipino
0
0
0
57
The brand wiz
The brand wiz@miracleboytz·
Nimekuja kugundua bongo watu wengi hawaitumii ChatGPT to it’s fullest potential. Wengi wanaichezea chezea tu— hii kitu inaweza fanya wonders mazee.
Indonesia
29
28
412
27.6K
L O W K E Y
L O W K E Y@gpea_·
@Narrowbeeflying Hata ukisema usiwe na demu bado pesa itatumika kwa namna nyingine tu. Hiyo ni excuse kama zingine
Filipino
0
0
0
19
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
Kuna mda unakaa unawaza "Labda nisingekuwa na Girlfriend ningekuwa mbali sana" 😁
Narrowbeefly tweet media
Filipino
24
35
252
5.9K
L O W K E Y
L O W K E Y@gpea_·
@assengajrr Mo alikuta assets zipo akaja kuendeleza, kimbembe kipo kwa wanaoanza maisha na aggregate ya 3-0
Filipino
0
0
2
78
Assenga Jr
Assenga Jr@assengajrr·
Mo alikopa Milion 800 benki ili awekeze. Ila wewe ukikaa huko vijiweni unseema Mo aliridhi mali. Sasa na ww si itengeneze mali wanao waje waridhi.
Indonesia
25
9
164
8.7K
L O W K E Y retweetledi
Sunday Victor
Sunday Victor@sundey_fx·
Bro! Nakukumbusha, Hakuna mwanaume handsome mwenye umri wa miaka 30, Ni either uwe tajiri au masikini, Full stop.
Indonesia
9
16
201
5.9K
METRO🎭
METRO🎭@kishoka_·
Nimekosea muamala wa 17k jamaa nampigia mara ya kwanza kakata simu, sahivi hapatikani kabisa. kweli bongo sio sehemu salama kabisa💔🚮
Indonesia
24
20
93
18.4K
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
Diamond platnumz now nikama kaishiwa aiseee, anatoa song za Hovyo sana.
Filipino
16
5
143
8.5K
L O W K E Y
L O W K E Y@gpea_·
@Balyx_ Media house zinazokua zimeextend biashara na kupanua wigo wa vyanzo vya mapato yao; digital media, events, marketing na government outreachs. Wengine watasubiri vifo vya asili kwa sababu wameshindwa kukua.
Filipino
0
0
0
636
Balyx
Balyx@Balyx_·
Maishani mwangu sikuwahi kutegemea kama media house especially ya Tz ambayo 80% ya content zake ni Uchawa na Ushoga inaweza firisika. Kwani hizo promos za kila siku Walikua wanafanya bure? Alafu mdau kwenye toys zake akipush toy moja pale si ashaclear? Au hausiki?
Indonesia
15
20
415
27.4K
L O W K E Y retweetledi
DIGGALLER💯
DIGGALLER💯@Danford_tz·
Ndoa ni sehemu pekee ambayo unaacha Pesa ya chakula, hatakama mmegombana na mke wako😂😂…Adui yako anapaswa kushiba!😂😂
Indonesia
26
58
554
21K
AM💡
AM💡@TonnyUnfiltered·
Inauma sana pale unapoanzisha biashara mpya ile wiki ya kwanza yote hupati wateja ata mmoja wa kuulizia tu. 💔
हिन्दी
23
33
191
9.1K
L O W K E Y
L O W K E Y@gpea_·
@mTusiOriginal Nadhani kipindi hicho walitumika kama distraction kupotezea jambo fulani
Filipino
1
1
1
40
mTusi original 👦
mTusi original 👦@mTusiOriginal·
Mwaka 2008 Wasabato (Masalia) walitinga Airport Dar wakitaka kwenda ng'ambo (Ulaya) wakaeneze injili bila kuwa na nyaraka zozote muhimu kama hati za kusafiria (passport 🛂), visa, ama tiketi ! Hawa jamaa walitutia aibu sana mazee😢😢🙌🙌
mTusi original 👦 tweet media
Indonesia
50
47
512
28.3K
L O W K E Y
L O W K E Y@gpea_·
@Adventure_36 Kwa hiyo hadi huku Bongo maisha ya kijamaa ndio hamna tena au ndio tumeshakuwa kama ulaya kila mtu na time zake
Filipino
1
0
1
92
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Uko Morogoro kuna mwanafunzi wa chuo cha MUM ambaye alikuwa mwaka wa tatu amekutwa amefariki chumbani kwake uku mwili wake umeharibika. Marehemu alikuwa anasomea Ualimu na alianza kuugua toka tarehe 17.03.2026. Aisee 💔
Filipino
25
40
504
29.7K
L O W K E Y retweetledi
Dear Self.
Dear Self.@Dearme2_·
BUY A CAR. It will increase your confidence. You will get more connections. People will respect you more.
English
225
1K
8.9K
308.9K
Myunani
Myunani@MaxTz255_·
Hii code nifungulieni Kwanini Haishauriwi kwenda Kulala Kwa Demu wako?
Filipino
40
20
207
26.7K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Kampuni gani ya Bus toka upo Chekechea ulikuwa unaiona ikifanya Kazi na hadi leo bado inaendelea kufanya Kazi..? 🤔
kasesco☆ tweet media
Indonesia
80
21
266
17.3K