de son
10.5K posts


@Joshwydd_ @dhaboy01 " the greatest swordsman lost to merryn f*cking trant?"😂
English

Kaka usikasirike hata mimi kwenye dating life nimewahi kupata mwanamke hajui nauli ya daladala.
Ukimpandisha Daladala ni kama yupo adventure anaenda kusimulia kabisa wazazi wake 🤣
Shababi a true leader@blazadadee1
Kwamba wewe huwa haupandi daladala, kwamba its a new experience? Huh
Filipino

Countries with the Highest Belief in Witchcraft / Evil Eye
1. 🇹🇳 Tunisia — 90%
2. 🇹🇿 Tanzania — 83–92%
3. 🇲🇦 Morocco — 80%
4. 🇸🇳 Senegal — 75%
5. 🇨🇲 Cameroon — 74%
6. 🇲🇱 Mali — 73%
7. 🇬🇭 Ghana — 71%
8. 🇮🇩 Indonesia — 69%
9. 🇹🇷 Turkey — 69%
10. 🇰🇿 Kazakhstan — 66%
11. 🇬🇷 Greece — 66%
12. 🇱🇻 Latvia — 66%
13. 🇪🇹 Ethiopia — 65%
14. 🇵🇰 Pakistan — 61%
15. 🇺🇦 Ukraine — 60%
16. 🇷🇺 Russia — 59%
17. 🇦🇲 Armenia — 59%
18. 🇰🇪 Kenya — 57%
19. 🇨🇬 Republic of the Congo — 57%
20. 🇧🇯 Benin — 55%
Source: Gershman (2022) PLOS ONE / Pew Research

English

Hata mwaka jana kuondoka kwa KDB city kulitrend kuliko ubingwa wa liver 😃😃
Manaen Ochuodho@ManaenOchuodho
Salaah Kuondoka liver ime trend zaidi ya kombe la city 😁🙌
Filipino

@iamFallacy Nakumbuka enz za kumreplace suares,walikuja kina lambert,borin, balotel,markovic lakin wapi
Indonesia

Mara nyingi sana idea ya replacement huwa haifanyi kazi na ni pure imagination. Tengeneza wachezaji wengine wapya na system ya kuwafanya waoneshe ubora wao wa juu zaidi
Anfield Sector@AnfieldSector
Steven Gerrard on how Liverpool should go about replacing Mohamed Salah: “You have to buy someone who is box office, or you are not replacing him. “They have to be top-end, top three (or) four wingers in the world to replace Mo Salah because that’s what Mo has been.”
Indonesia

Hivi mshawahi kujiuliza Dunia ingekuaje kma watu wote tungefata vile ambavyo dini zinatuelekea yani watu wote tungetekeleza Amri 10 za mungu na Nguzo 5 za Uislamu.??🤔
Ray Asel@rayasel94
Yesu mwenyewe hajui when the day of Judgment is... Only God knows
Indonesia

@gray_swai @YourFrenchFry Kama sasa hivi mnavyolipishwa kupewa odds 2 Kifupi kila jambo na wakati wake.
Indonesia

Sasa mkijua vocha tulikua tunaita dola je?
Shifu.👤@alekkin254
Millennials mjue hatujasahau mlikua mnaita smartphone "touchscreen "
Indonesia

Do you know which team Mo Salah has scored the most FPL points against in his @LFC career? 🤔

English

Bigger premier league legend? Hata Hazard hapo anamchagua Mo Salah.
TheEuropeanLad@ThaEuropeanLad
Settle this once and for all who's the bigger premier league legend Eden Hazard or Mo Salah?
Indonesia





















