Mori Sawa
12K posts

Mori Sawa
@hammy_uncle
#Reason, Judge, Think critically.




107+🔥 ODDS ✅ BOOM✅🔥 BOOM✅🔥 BOOM✅🔥 Back to Back 🔥🔥🔥





John Marwa wa @Jambotv_ leo alibeba hoja ya Yeriko na kwenda nayo kwa Mnyika kama swali. Moja ya hoja za Yeriko na CHAUMMA kwa ujumla ni kwamba CHADEMA inaendeshwa na wanaharakati. Kwenye maswali na majibu, John akamuuliza KATIBA MKUU WA CHADEMA kwamba mtaani kwa wananchi wanalalamika kwamba CHADEMA inaendeshwa na wanaharakati. Mnyika katika kumjibu alimwambia, CHADEMA ni chama cha umma, kinasikiliza hoja za wananchi na kutafsiri na kuzifanyia kazi. Iwe ni hoja ya mwanaharakati, wananchi, au mtu yeyote yule, CHADEMA inasikiliza na ndio maana ina nguvu sana. CCM imefikia hatua ya kuzuia na kufunga CHAMA na kumfunga Mwenyekiti wa CHAMA; hii ni kutokana na kufanyia kazi PEOPLE POWER, hiyo ndiyo hasili ya CHADEMA. Kwa hivyo, mtu atakayeita wananchi hao kuwa ni wanaharakati au CHOCHOTE kile, Haitobadilisha msimamo na msingi wa CHADEMA kufanyia kazi hoja za wananchi. Mnyika alifafanua zaidi kwa kusema, kama ingekuwa ni hoja za wananchi wachache tu ndiyo CHADEMA inafanyia kazi, CCM ingeogopa namna hii CHADEMA, na CHADEMA ingekuwa na ushawishi mkubwa hivi kwa UMMA. Hivyo, hiyo hoja aliyoleta John au swali aliolielekeza haina ushahidi, isipokuwa hao wanaitwa majina, ndio wananchi wenyewe wanaotakiwa kusikilizwa na CHAMA. Hii ndiyo msingi wa CHADEMA na nguvu ya CHAMA kusikiliza wananchi. MY TAKE Kumekuwa na juhudi kubwa sana za CCM na Mfumo kuitenganisha CHADEMA na wananchi, kwa kujaribu kuonyesha kama vile kuwa karibu na wananchi ni udhaifu, kwamba wanapelekeshwa na kuongozwa na watu wasio na vyeo ndani ya CHAMA. Kwanza, hoja hii ni dhaifu na ndiyo imepelekea wanasiasa wengi nchini kuonekana MACHAWA, kwa sababu wameshindwa kuelewa kabisa kwamba kazi ya SIASA au VYAMA ni kusimama na wananchi. Hata kama wewe binafsi una msimamo binafsi au maoni yako binafsi, unachotakiwa kufanya kwenye maoni ya wananchi kama mwanasiasa bora au chama bora ni kuboresha kile wanachokitaka. Vyama vya SIASA vinakazi ya kuchakata maoni na malengo ya wananchi. Kuna upotoshaji kwamba Vyama vinapaswa kusimamia maoni ya viongozi wake tu bila maoni ya wananchi, yasiyo na mwelekeo wa wananchi au yasiyokubalika na wananchi, haya ni makosa kisiasa. Matokeo yake tumekuwa na vyama ambavyo vinatafuta kila aina ya visingizio kufanya kazi za watawala na kukwepa wajibu wa kusimama na UMMA, kisha kugeuzwa dekio la Watawala hii imeshindikana kwa CHADEMA. Kwa sababu CHADEMA, kisimama na wananchi hivyo mawakala wa mafumo na taasisi zake umeshindwa kukimaliza hiki chama, wanancho fanya sasa ni kutumia vibaka wao kuchochea utengano kati ya CHADEMA na Wananchi kwa kuwapatika majina kwamba ni wanaharakati, Kutunga hoja kwamba Wananchi hawapendi CHADEMA kuwa karibu na wanaharakati. sasa wanajaribu kuwachezea akili viongozi wa CHADEMA hili kuleta utengano na UMMA. Bahati nzuri, CHADEMA ina watu wanaojitambua na wanaelewa maslahi ya Taifa yakoje. Wakati John anauliza haya maswali alijitambulisha Kamba ametoka Royal Television @Royal_Tv_Tz (Hii ni account ya CHADEMA, ambao John ameuziwa na walioamia CHAUMMA chini ya John Mrema) , Kwa maana hiyo hii John ameichukua kutoka CHADEMA kupitia wahuni waliokuwa CHADEMA na dhamana ya kuendesha media za CHADEMA Ndio maana nasema John alipeleka Hoja za Yeriko, alitumwa maana hawa ni watu wanamuuzia mpaka vitu walivyoiba CHADEMA , sasa ameanza kumpa maswali yao ambayo wanapigania sana hapa online OGOPA SANA KUNDI LA WAJINGA, WANA UJASIRI WA AJABU Unaiba ukurasa wa CHAMA kisha unakwenda waelekeza namna ya kuongoza CHAMA? kama vile una mapenzi na CHAMA HUSIKA wakati unapambana sana kukibomoa chini kwa chini Maswali ya John yako kwenye hii link youtube.com/live/88GFHR_ot… Kama hauna muda unaweza sikiliza dakika 5 za mwisho, Japo Hotuba hii ya Mnyika ina taarifa nyingi muhimu kuhusu mwelekeo wa Tanzania hapo baadaye

JIWE GIZANI (SGR)🙋🏻♂️ (under 0.5 First 5 Minutes) 100+🔥 ODDS Kickoff 👉21:30 EAT Sportybet👉5XP3SZ (Hapa ndo utajua Dakika 5 ni Nyingi😂)






POSSIBLE 10+🔥 ODDS Kickoff 👉17:00 EAT Sportybet 👉6G35BW


POSSIBLE 10+🔥 ODDS Kickoff 👉17:00 EAT Sportybet 👉6G35BW


JIWE GIZANI (SGR)🙋🏻♂️ (under 0.5 First 5 Minutes) 100+🔥 ODDS Kickoff 👉21:30 EAT Sportybet👉5XP3SZ (Hapa ndo utajua Dakika 5 ni Nyingi😂)



JIWE GIZANI (SGR)🙋🏻♂️ (under 0.5 First 5 Minutes) 100+🔥 ODDS Kickoff 👉21:30 EAT Sportybet👉5XP3SZ (Hapa ndo utajua Dakika 5 ni Nyingi😂)


















