hashir retweetledi
hashir
44.3K posts

hashir retweetledi
hashir retweetledi

Watanzania watakomesha huu ujinga very soon..
Wote mnaofanya haya mtakosa pakukimbilia, haiwezekani mtekaji akajichunguza mwenyewe..
Kitendo walichofanya polisi kimeondoa mashaka yote, kwa mtu yeyote aliyekua haamini namna hii dola dhalimu imeoza na inavyofanya vitendo vya kijambazi dhidi ya raia wema.
Nasuburi Chande aseme mpenzi mwenye pingu, au mshirikina anaeteka raia kwa pingu.




Indonesia
hashir retweetledi

I GET WHAT MANGE KIMAMBI IS SAYING
Niliona ujumbe wa MANGE kupitia page ya DADA MARIA, kutoridhishwa na alichokiona kwenye mkutano wa CHADEMA. She is questioning their CONDUCT; kwa kuona wanafuraha na wanapiga nyimbo na kucheza. Kwa upande wa Mange, hii inaashiria kuwa hamna STATE OF URGENCY wala PRIORITIES. SHE IS RIGHT!
Kwenye Hip Hop tunasema “SHOW & PROVE” na “VITENDO DHIDI YA MANENO”. Unaweza ongea yote ila dhamira, lengo na msimamo wako unapimwa kwa vitendo na hatua unazochukua; actions speak louder than words. Mange ametoa mfano kuwa wakati yeye anahamasisha Maandamano hata muonekano wake ulikuwa CONSERVATIVE; hiyo picha hapo juu asingeweza kuipost enzi zile anaongelea ufisadi na kutaka “Watanzania watoke”.
Ila Chadema ni CHAMA CHA SIASA; a Political Party and not “Liberation Party”! Lengo lao ni kuchukua MADARAKA na kuleta MBADALA, ambao unaweza kutukomboa. Ila hata kama kingekuwa ni cha Ukombozi, MUZIKI NI TOOL MUHIMU SANA KUFIKISHA UJUMBE, KULETA HAMASA, nk. Lucky Dube, Bob Marley, Miriam Makeba, Brenda Fassie, Hugh Masekela, etc wote wameimba music wa Ukombozi wa watu weusi.
“Wananiita Sugu” ni wimbo wa Kiongozi wao na ni REBELLIOUS SONG. Ni kweli Kiongozi wao LISSU bado yupo jela ila walikuwa na sababu ya kufurahia kurudi kwenye majukwaa. Wimbo wa “MAKOMBOLELO” was a rebellious song na mpaka leo, you can play it mbele ya watesi wetu kuwajulisha kuwa HATUJASAHAU!
Nina muelewa Mange sababu yeye na mimi ni EXTREMISTS au DHAMIRA ZETU hazituruhusu kufurahia ushindi mdogo. Desperate times call for desperate measures na Tanzania we are in desperate times, so hatupaswi ku-operate normally au kimazoea. Mimi nina Album (BEBERU Pt. 2) karibia mwaka sasa nashindwa kuitoa. Naona kama nikirudi kupost music kama ninakuwa nawasaliti Watanzania hasa waliofiwa, waliopotelewa na ndugu zao, waliofungwa na walioumizwa. Kila nikijaribu kurudi kuwa normal nashindwa.
Tunatofautina Extremity Levels na Tactics za engagement ila muhimu kuwa makini kwenye conducts ili watu wa mbali wasije tafsiri vibaya. We can find a middle ground somewhere, but what Mange is saying is VALID.
The Leader

Filipino
hashir retweetledi
hashir retweetledi
hashir retweetledi
hashir retweetledi

hashir retweetledi
hashir retweetledi
hashir retweetledi
hashir retweetledi

Ahsante kaka for all you do. Tunasubiria good news.
Liberatus Mwang'ombe@Liberatus80
Watanzania, dunia haijachoka na wala haijalala, haiwezi kuvumilia unyama na ukiukwaji wa haki za binadamu uliotokea Tanzania. Muda sio mrefu mtasikia kishindo kutoka USA. Hizi ni rasharasha tu. Mambo makubwa yapo kwenye pipeline. Nipo na begi la maamuzi magumu. Yajayo yanafurashisha #TanzaniaMassacre #FreeTunduLissu
English
hashir retweetledi

#TajiriLaKihaya
Leo Content ni ARSENAL tu!
#Repost za Kutosha…
#Quotes za kutosha…
Kila mtu mashuhuri duniani ni Mshabiki wa Arsenal…
Arsenal inapendwa saana ….
ARSENAL ni Familia kubwa mno,Duniani kote 🙌🏾🙌🏽
Indonesia
hashir retweetledi
hashir retweetledi
hashir retweetledi
hashir retweetledi
hashir retweetledi
hashir retweetledi

Congratulations to @Arsenal, our #VisitRwanda partner, on being the Premier League champions after a hard fought season!
A well-deserved title!
English
hashir retweetledi
























