Geoffrey Godfrey

5.2K posts

Geoffrey Godfrey

Geoffrey Godfrey

@hereisgeoffrey

because am black

Kagera, Tanzania Katılım Nisan 2020
515 Takip Edilen340 Takipçiler
Geoffrey Godfrey retweetledi
Sheila Mchamba
Sheila Mchamba@SheilaMchamba·
Last born wa chama kikuu cha siasa Tanzania😌
Sheila Mchamba tweet media
Eesti
34
120
1.3K
9.7K
Geoffrey Godfrey retweetledi
Anna Tibaijuka
Anna Tibaijuka@AnnaTibaijuka·
NAMSHUKURU BONGO ZOZO KWA MAONI NA USHAURI WAKE MZURI WA KIZALENDO NA UPENDO NA MAARIFA. TUNGEMSIKILIZA TUNGEPIGA HATUA KATIKA MENGI IKIWEMO KUMUACHIA TUNDU LISSU ILI KULILETA TAIFA PAMOJA. WE NEED TO MOVE ON.
Indonesia
113
591
2.2K
41.7K
Geoffrey Godfrey retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
‼️TUNDU LISSU HATARINI !! ‼️ Leo kumetokea tukio ambalo limeshitua watu wengi namna lilivyotokea. Tundu Lissu amepelekwa mahakamani bila taarifa kwa CHADEMA, mawakili wake na familia yake. Mwanzo, ilichukuliwa kama tabia mbaya na ukatili tu wa hawa CCM, hasa serikali ya Samia, imetenda matendo mengi sana yenye utata na ukatili. Lakini wazungu wanasema 'The devil is in the details.' Kuna mambo mawili yaliyovuja na yanahusiana na tukio la leo. - Moja, siku usiku uliopita na jana, Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dar es Salaam (RPO) jana usiku amekuwa na shughuli nyingi sana kuhusu Lissu, kutoka kwenye ofisi yake wanasema alikuwa na kikao kirefu sana na mkuu wa magereza wa Ukonga, kikao kirefu sana. Kutokana na kikao hiki, mambo mengi yamebadilika hapo magerezani kwa mazingira yanayomzunguka Lissu. - Kutoka kwa Ofisi ya RPO ime leak kwamba yeye na maafisa wengine, hasa yeye, ndiyo link yake na watu wanaompangia mabaya Lissu akiwa gerezani. Maagizo mengi yanapigwa kwake kwa utekelezaji, kwenda kwa maafisa wengine wa magereza. Japokuwa kuna mengine yanakwenda moja kwa moja pale gerezani kwa mkuu wa magereza - Mbili, Hii ni hatari na mpango mchafu. Kutoka Zanzibar, kile kikosi alichosema @HildaNewton21 ambacho kilipangwa kuja kumfanyia uovu Lissu, wanasema kiko Dar tayari kwa hiyo shughuli waliyo panga. Na ndiyo maana baada ya @HildaNewton21 kuandika, polisi walipaniki. Malengo wanataka hao wahuni wakishafanya uchafu wao wapotee huko Zanzibar, hata askari magereza wa huko hawatatoa taarifa walikuwa ni kina nani. Kikosi hicho cha Zanzibar si wote ni askari. Hili suala alilosea Hilda sasa liko kwenye utekelezaji la leo ni moja ya hizo siku wamefanya vitu vinashangaza watumishi wa umma wazalendo - Leo, tukirudi kwenye tukio la leo, jana usiku RPO Dar ameangaika kufanya mambo mengi sana. Moja ya mambo ni kwamba tumethibitisha na baadhi ya wazalendo mahakamani kuwa KIKOSI KICHOMPELEKA LISSU MAHAKAMANI leo ni kipya kabisa. Hapo mahakamani hakuna anayewajua waliokwenda na Lissu, haijulikani walitoka wapi, na kuna hofu sana kuhusu kinachoweza kutokea na hawa wasiojulikana. - Sasa Mafwele na Makonda huu mpango wenu mnaouyafanya mnaona una baraka zozote za Mungu ndani yake? Mnafikiria kwamba mnayotaka kumfanyia Lissu Umma utakubali? Lissu akitoka magereza au akiendelea kuwa gerezani dhamana ya afya/uhai wako huku juu yenu kwa muda mrefu msije mkajichanganya. Hizi kazi za Abdul mnazofanya na siasa chafu za Makonda kwa kufikiria anaweza kuondoa wanasiasa imara wote nchini , sababu ya ndoto za kisiasa ni kupoteza muda tu. Acheni na hii mipango yenu mibaya na kama leo mmefanya kitu chochote kupitia hiki kikosi mlichokitumia kumpeleka mahakamani kisichojulika, ni bora mkarekebisha mapema maana hakuna namna mtaweza kujificha na huu uchafu mnaopanga. - Wewe RPO wa Dar, hizo tamaa na ujinga unaokusumbua utakuponza, hauna kinga zozote za kufanya upuuzi huu unaoendelea utafungwa sababu ya huu upuuzi . Lissu anafuatiliwa na jumuiya za kimataifa na wananchi wote wa Tanzania hawatokubali huu upuuzi mnafanya au kupanga kufanya, hata Ndugai na Lukuvi walikuwa na kiburi kuliko wewe. Na walifanya kazi mbaya nyingi sana wako wapi leo? Wamefanya nini? - Kwa maafisa wa magereza, msikubali kufanya kitu chochote bila proper document au Taratibu, msikubali hicho kikosi kipya kuwapa amri kufanya mambo ya kihuni, hao ni wasiojulikana wakishafanya mambo yao wewe uliyepozamu ndiye utajibu dunia yote hii, Chande alionywa akakaza shingo lakini leo anajutia huko analia kama mtoto mdogo, pesa alizopewa wala hazina tena thamani, Msikubali kufanyishwa kazi chafu, kwanza pesa wanakula wahuni wengine msikubali kabisa kushiriki fuateni taratibu na aangalieni kwa makini sana vitambulisho mnavyopewa na hao wahuni wanapokuja, pia jifunzeni kufanya upelelezi mtu yeyote mpya anayekuja kwa issue ya Lissu anakuambia ameamia sijui kutoka wapi jua anakudanganya, kama kuna mtu ameongozana naye ambaye ni boss wake mfano Mafwele mwambie asinishwe yeye , jiwekeeni kinga mifumo inawahuni watafanya tukio mtafungwa nyie - Kumbukeni. Juzi hapa Chande amesema waliouawa watawajibika wao kama maaskari waliobeba bunduki, hakuna askari atakingiwa kifua na hawa watu. Fanyeni kazi zao ili wakianza, pelekewa moto kimataifa mtajikuta mmeingizwa. Kumbukeni mkifanya ujinga, vipimo vyovyote kuhusu Lissu, wananchi tutachanga hela, yaje mashirika kutoka Marekani kufanya vipimo. Hakuna namna kutakuwa na siri yoyote hapo na itajulikana mpaka nini kilifanyika na lini. Makonda na Mafwele hawana akili ya kufanya tukio la maana, ni wahuni tu. Mambo yao wanayofanya yanavuja kila siku na ndio maana leo, hivyo kikosi kimejulikana tena kutoka kwa ofisi ya RPO na hakuna namna atajua habari zimetoka vipi, maana ni mjinga tu, naye asiwapelekeshe. Hizo ofisi za umma zina wazalendo wengi, tena toka mmeshindwa, watu wazalendo wameongezeka kila kona. x.com/HildaNewton21/… -- Makonda , Mafwele na Abdul na huyo iddi Amini Mama eleweni kitu kimoja, Wananchi wamechoka umwagaji Damu, wamechoka sana -- Watumishi wa Umma kwenye vyombo na mahakama wameshashituka kuna mambo mnafanya nje ya utaratibu na wanajua mnataka fanya nini , Watumishi wa umma wanajua wakiona sura za wahuni hata kama watavaa soski mwili mzima, watu sio wajinga wanajua na wanajua nini kinaendelea, Watumishi wa mahakama wanasema kikosi chote leo ni kipya kabisa choteeeeeeeeee na mmewatia hofu, -- Kila mtu ameshashituka tunaelekea kwenye msimu wa mauaji makubwa ya wanasiasa na wanaharakati hili kuiteka nchi , hapo ndipo mtachemsha vibaya sana
Indonesia
32
149
501
34.5K
Geoffrey Godfrey retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
NDULI IDD AMIN MAMA NI KILAZA SANA Mwandishi wa Report ya Chande ambae ndo mwandishi wa Hotuba ya jana ya Idd Amin Mama ni alijua kumbululisha Idd Amin Mama. Wakati Anaandika Hotuba ya Idd Amin Mama aliweka jibu la swali ambao alisahau kuliweka kwenye Report ya Chande. Nduli Idd Amin Mama kama kawaida alivokilaza akasoma sentensi yote kama ilivoandikwa eti “Nimemskikia Jaji Chande wakat anasoma report kasema huko walikopita, watu wanasema wamemmiss Samia ambae wanamfahamu..” Wakati kwenye Report Chande mwanzo mwisho hakuna mahali alitamka haya maneno kwahiyo Nduli Idd Amin Mama alikuwepo mle ukumbini lakin alikuwa hasikilizi chochote maana kama angekuwa anasikiliza ulipofika muda wa kusoma Hotuba yake hata kama Mwandishi kaweka kitu ambacho hajasikia Jaji Chande akikiongelea asingekijibia. Lakin kwasababu Idd Amin Mama ubongo wake kama wakuku akasoma alichoandikiwa kama kilivo. Huu ni ushahidi mwingine kwamba Mwandishi wa hotuba na Mwandishi wa Report ya Chande ni mtu mmoja.
Indonesia
11
68
514
26.7K
SafariMlevi
SafariMlevi@safarimlevi·
Wale mashahidi wa Siri kwenye kesi ya Mh Tundu nadhan hata madenge alikua ni mojawapo
Indonesia
43
82
876
42.4K
Geoffrey Godfrey retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Mwenyekiti wetu alisema haya miaka 12 iliyopita, kama kawaida ya watawala dhalimu wakapuuza ushauri wa mtu mwema huyu. Ccm wanakwenda kuingiza Nchi yetu shimoni, Watanzania tunapaswa kuungana kuokoa Nchi hii.
Indonesia
53
512
1.8K
25.6K
Geoffrey Godfrey retweetledi
Sky News
Sky News@SkyNews·
@BarbaraGSerra: "You may call it rescuing the day, but I go back to my question, was the government responsible for the shooting and killing of around 500 protesters?" Ambassador Lazaro Nyalandu, senior advisor to Tanzanian president Samia Suluhu Hassa, responds to claims security forces killed hundreds of people following Tanzania's widely disputed election in 2025. 🌍 trib.al/zff6Z7W
English
294
325
676
143.6K
Geoffrey Godfrey retweetledi
Kamala Dickson
Kamala Dickson@ItsKamala·
"Mtu mzima akikwambia uongo na akijua unajua ni uongo ila ukakubali kuwa ni ukweli anakuona zezeta" ~ Nyerere
Kamala Dickson tweet media
Filipino
17
351
1.5K
21.1K
Geoffrey Godfrey retweetledi
Joseph Oleshangay
Joseph Oleshangay@Oleshangay·
Lissu alitoa tahadhari kubwa sana miaka 13 iliyopita. Wengi walijifanya viziwi. Mkiambiwa mfumo wetu wa utawala utatupeleka shimoni muwe mnasikiliza
Indonesia
34
551
1.7K
49.8K
Geoffrey Godfrey
Geoffrey Godfrey@hereisgeoffrey·
@INFLUENCERjr Polisi wa tz wajue Kuna mikusanyiko ya watu ambao haielewi Tena karibu na kituo Cha polisi wawaache dah
Indonesia
0
0
0
35
Geoffrey Godfrey retweetledi
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
Poleni sana Watanzania kwa hiyo ripoti ya kishetani mliyopewa na tume ya kishetani iliyoundwa na shetani mwenyewe Wale mnaotaka Maridhiano, hivi ndio hawa mashetani waliotoa ripoti hii mnataka kufanya nao Maridhiano???? Ripoti inafanyiwa promotion na serikali na machawa wake mmewahi kuona wapi? Kama sio uhuni na ushetani na kukosa utu?
Indonesia
199
558
3K
109.5K
Geoffrey Godfrey retweetledi
khalifa said #SUDAN 🇸🇩 ☭🌹
khalifa said #SUDAN 🇸🇩 ☭🌹@ThatBoyKhalifax·
kitu kinachonishangaza siku zote ni serikali kuokoteza watu -- waandishi, viongozi wa dini, etc -- kutakatisha vitendo na michakato yake haramu kama vile hawa watu wana ushawishi wowote kwenye jamii, au maoni yao yana umuhimu sana. they don't, and nobody cares. poteza pesa tu!
Indonesia
11
109
440
8.9K
Geoffrey Godfrey retweetledi
Masoud Kipanya
Masoud Kipanya@masoudkipanya·
Katuni
Masoud Kipanya tweet media
Indonesia
223
659
4.4K
112.3K
The Touchline | 𝐓
The Touchline | 𝐓@TouchlineX·
🌟 FC BARCELONA XI: Joan Garcia; Koundé, Gerard Martín, Cubarsí, Cancelo; Pedri, Eric García, Gavi; Lamine Yamal, Ferran Torres, Dani Olmo, 🌟 CELTA DE VIGO: Radu; Javi Rodríguez, Yoel Lago, Marcos Alonso; Carreira, Moriba, Fer López, Javi Rueda; Pablo Durán, Jutglà, Álvarez.
Català
61
27
326
32.3K
Dëén
Dëén@Utd_Deen·
@TouchlineX Hmm no Rashford let's see gonna be an interesting match tho
English
1
0
0
162
Geoffrey Godfrey retweetledi
GASTON SHUNDO GARUBINDI
GASTON SHUNDO GARUBINDI@ShundoGaston·
MAHAKAMA YA WILAYA BUNDA IMEACHIA WANACHAMA 14 WA CHADEMA, 7 WATAJITETEA Nawafahamisha kwamba Mahakama ya wilaya Bunda imewaachia wanachama 14 baada ya kukuta hawanakesi ya kujibu. Katika uamuzi wake wa leo mahakama imesema upande wa Jamhuri umeshindwa kuonesha uhusika wa watuhumiwa na hivyo imewaachia huru. Ikumbukwe kwamba, watuhumiwa wote walikaa ndani kwa kosa la armed robbery na leo mahakama imesema ushahidi haukugusa makosa yao na hivyo ikawaachia huru watuhumiwa wote kwa makosa hayo. Watuhumiwa 7 waliobaki tu nakamilisha dhamana zao, Mungu akipenda soon tutakuwa nao mtaani leo au asubuhi sana kesho.
Indonesia
22
88
412
17K
Geoffrey Godfrey retweetledi
Rugemeleza Nshala
Rugemeleza Nshala@rugemeleza·
Napenda kuwajulisha umma na wote wenye mapenzi mema kwa Tanzania, Chadema na Mwenyekiti Tundu Lissu kuwa Jopo Mawakili la kumtetea na kumfanyia utafiti Mwenyekiti Lissu li imara kabisa. Kwa niaba ya Chadema ninapenda kuwashukuru mawakili na wanasheria wote waliojitolea muda wao, taaluma yao, rasilimali zao na mshikamano katika kumtetea Mwenyekiti Lissu. Mmeonyesha kuwa mu marafiki wa kweli katika vita dhidi ya Mamumiani na mafisadi wa demokrasia ya kweli katika nchi yetu. Katika harakati tunazoendesha tofauti lazima zijitokeze na hata kutiliana mashaka. Msikatishwe tamaa hata mara moja tusonge mbele kwa pamoja. Kama mjuavyo sasa tumepeana mwongozo wa namna ya kutoa taarifa zimuhusuzo Mwenyekiti Tundu Lissu. Taarifa hizo zitatolewa na uongozi mkuu wa chama, Mwanasheria Mkuu na Mkurugenzi wa Sheria baada kushauriana na Mwanasheria Mkuu. Jopo la Mawakili wa Mwenyekiti Tundu Lissu ni hawa wafuatao: Orodha ya mawakili: 1. Mpale Kaba Mpoki 2. Dr Rugemeleza Nshala 3. Peter kibatala 4. ⁠Jeremiah Mtobesya 5 Hekima Mwasipu 6.Gaston Garubindi 7. ⁠Jebra Kambole 8. ⁠Deogratius Mahinyila 9. ⁠Paul Kisabo 10.Sisty Aloyce 11. ⁠Nashon Nkungu 12.Catherine Michael 13. ⁠Ikoti Lissu 14. Emanuel Chengula 15. ⁠Gloria Ulomy 16. ⁠Deus Singa 17. ⁠william Maduhu 18. ⁠Fredinand Makore 19.Jacob Mogend 20. ⁠Dorice Kafuku 21. ⁠Michael Mwangasa 22. ⁠Pastory Kong’oke 23. Matojo Cosata 24. Mzee Alute Mughwai Lissu. 25.Dickson Matata 26. Edward Heche 27.Maria Mushi 27. Selemani Mohamed Matauka 28.Michael Lugina 29. Melchiory Sanga 30. Edson Kilatu. Naomba tuwatie moyo Mawakili hawa wote na tusonge mbele kwa pamoja na kwa moyo mmoja (tiyende pamodzi, ndi mtima umodzi) kama Mzee Kenneth Kaunda alivyotufundisha. Aluta continua Vitoria e certa!
Indonesia
35
312
1.4K
66.6K