MJANJA🦁

4.9K posts

MJANJA🦁 banner
MJANJA🦁

MJANJA🦁

@hereisjames98_

#NATOKEAMWANZAJIJILAINCHES

Katılım Ocak 2024
182 Takip Edilen228 Takipçiler
OSAMA BIN LADEN
OSAMA BIN LADEN@AllyAssed13070·
Huyu jamaa ni balaaa aisee mami yake 🙌🙌🙌🙌. Balaa zitto mjini kumamake. @Sativa255 🙌🙌🙌
OSAMA BIN LADEN tweet media
हिन्दी
14
18
123
10.7K
MJANJA🦁
MJANJA🦁@hereisjames98_·
@Samalentips Sasa hapo shida iko wapi? Au clout chaser?? Kumanyoko
Filipino
0
0
0
235
MJANJA🦁 retweetledi
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
Mwisho: Maumivu haya yanaweza kupunguzwa kama tukiamua kuwa na utashi wa kisiasa na sio kukumbatia matajili wenye biashara ya mafuta.Kiongozi jasiri anapimwa kwa jinsi anavyowalinda wanyonge wake kwenye dhoruba.
Indonesia
0
1
1
127
MJANJA🦁 retweetledi
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
Tano: Kuhimiza Nishati mbadala.Huu ni mwito wa kuamka tufanye tafiti tugundue vyanzo mbadala na Lazima tuhimize matumizi ya gesi asilia (CNG) na umeme kwenye magari na viwanda.Tukiwa na nishati mbadala, tutapunguza utegemezi wa mafuta ya nje na kulinda fedha zetu za kigeni.
Indonesia
1
2
2
198
MJANJA🦁 retweetledi
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
Nne: Kutumia Akiba ya Taifa (Strategic Reserves).Kazi ya akiba ni kutumika wakati wa dharura.Japo hatujui vita itaisha lini kutumia akiba sasa kutasaidia kupunguza mshtuko wakati tukitafuta suluhu ya kudumu. Huwezi kuwa na akiba huku watu wako wanaumia njaa kila kitu kitapanda
Indonesia
1
1
0
113
MJANJA🦁 retweetledi
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
Yule mshua sasa aache kuzunguka na kusafisha ya mo29 au kutafuta madolali ya mkopo sasa atumie diplomasia ili nchi zitupatie wese tulainishe vyuma
Indonesia
1
1
0
107
MJANJA🦁 retweetledi
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
Tatu:Kutafuta Vyanzo Mbadala. Badala ya kutegemea soko moja la Arab gulf ni wakati wa kuangalia nchi rafiki barani Afrika kama Algeria, Nigeria na Angola.Diplomasia ya uchumi itumike kupata mikataba ya moja kwa moja G2G ili kupata mafuta kwa bei nafuu zaidi.
Indonesia
2
3
4
189
MJANJA🦁 retweetledi
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
Pili:Kupunguza kodi na tozo.Bei ya lita moja ya mafuta inajumuisha tozo na kodi nyingi za ndani. Katika kipindi hiki cha mpito jamhuri ipunguze baadhi ya tozo hizi ili kushusha bei ya pampu.Huwezi kukusanya kodi kubwa huku uchumi wa mwananchi unaporomoka.
Indonesia
1
1
0
110
MJANJA🦁 retweetledi
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
Mosi:Kubana Matumizi ya Serikali. Wazee wa v8 hawapenda ila huu si wakati wa matumizi ya anasa au safari zisizo na tija.Kila tshs inayookolewa kwenye shughuli zisizo za lazima za serikali ipelekwe kwenye ruzuku ya mafuta ili kumlinda mwananchi wa kawaida.Tuanze na sisi wenyewe
Indonesia
1
1
0
152
MJANJA🦁 retweetledi
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
Japo bei ya mafuta ni janga la dunia kutokana na mizozo ya kimataifa (Iran, Israel & Russia), hatuwezi kukaa kujifichana kulalamika tu huku wananchi wengi wakiumia kwa gharama kubwa za maisha. Serikali ina vyombo na mamlaka ya kupunguza makali haya.Hapa kuna njia mbadala
Indonesia
1
2
1
190
MJANJA🦁 retweetledi
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
Hatua 5 Serikali Sikivu Inazoweza Kuchukua Kukabiliana na Kupaa kwa Bei ya Mafuta nchini ⛽️🇹🇿 🧵
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI tweet media
Indonesia
4
13
28
1.4K
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Diamond inasemekana alikataa dili la Dollar Million 50 la kuigiza Na kuhusu kutoka na Demu wa Kiredio, na kumlipia kodi... Sikiliza jibu lake... Video kwa Comments 👇
Latto 𝕏 tweet media
Indonesia
12
2
81
27.1K
Celsius Ulanda
Celsius Ulanda@Celsius015·
Hizi bei zinavyopandishwa duh alieniambia nisafiri kaniponza sasa narudije kijijin kwetu mimi
Celsius Ulanda tweet media
Indonesia
3
8
20
367
Certified Pundit
Certified Pundit@nana_dominick·
Bilionea naye miyeyusho sana.
Türkçe
3
0
37
1.3K