hermes joe
889 posts

hermes joe
@hermesjoe2
Gentleman|Planning officer|Community developer|Economist
Bukoba, Tanzania Katılım Kasım 2020
130 Takip Edilen27 Takipçiler

@MarekaMalili 😅😅😅😅😅😅Ila hatupo serious kwa hii nchi ni bora tutumie ule msemo wa "ignorance is bliss" la sivyo tutaisha
Filipino

@LocalFundi_ Chonka sijawahi ona radi kama za bk aisee zile ni next level
Indonesia

@hermesjoe2 @MarekaMalili Halafu wanahubiri nidhamu kwa watumishi wa chini
Indonesia


@MsigwaGerson As a nation we are doomed,huyu ni public servant aiseee🤔
English

Kuna nguchiro wamechapisha namba yangu binafsi ya simu mitandaoni na kuanza kuhamasisha watu wanishambulie. Nataka kuwaambia huo ni upuuzi na ni uvunjaji wa Sheria.
Ukiondoa watu wachache sana wanatuma meseji za hovyo, asilimia 99 wananitumia meseji za kunitia moyo na kueleza utayari wao wa kuilinda nchi yao dhidi wenye nia ovu. Wale wanaoeleza changamoto za ajira na mitaji ninawapa majibu na nafikisha kwa wahusika zifanyiwe kazi.
Nguchiro na chawa wa nguchiro acheni kupoteza muda na rasilimali mkiporomosha matusi, tulieni na tuungane kujenga na kulinda nchi yetu.
Indonesia

@MRashid41544 @joeselasini Una ushahidi? Bhasi citations au references?
Indonesia

@LocalFundi_ Aiseeee inatia hasira,Sawa time will tell! Ukweli utabaki tu ukweli
Filipino

@MarekaMalili Kwa kihaya tunasema" akati kakusiga amazi onya okalibasile".
Filipino

@MsigwaGerson Aiseee kibri kibri,your downfall ain't far tutakuwepo
Indonesia

YALIPANGWA
YALIRATIBIWA
YALIFADHILIWA na
YALITEKELEZWA.
Eee Mwenyezi Mungu tusadie, tufumbue macho na tuongoze kutambua na kuwakataa wenye nia ovu dhidi ya Tanzania.
#NeverAgain
Indonesia

Na kwenye ajali uwa wanakufa vizuri sana
Muuza viatu🌹@Agnesskanje
Kuna watu wanapenda seat za durishani bn😂 na unakuta seat yake sio hata durishani ila anang’ang’ania😁
Indonesia





