leon

123 posts

leon

leon

@herrymadraft

beter

Katılım Nisan 2020
695 Takip Edilen137 Takipçiler
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Angellah Kizigha kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.✍️ #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
156
20
442
53.4K
leon
leon@herrymadraft·
@MakomboJuma Kitoto kilifilwa vibaya hiki
Filipino
1
0
0
5.7K
juma
juma@MakomboJuma·
ZXX
4
92
622
138.6K
𝗭𝗘𝗗
𝗭𝗘𝗗@zed_officially·
Hii technologia inaenda kuua soko la architecture wengi no way
𝗭𝗘𝗗 tweet media
Eesti
50
65
615
37.6K
Mhando Man
Mhando Man@manmhando·
Kidume kinalalamika mamameee
Filipino
7
106
424
48.5K
Baro
Baro@Barodoni1984·
@uswazi51350 Mtoto ana matako mazuri kinoma
Lietuvių
1
0
2
2.7K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Aliyevujisha mahala alipokuwepo El Mencho ni Mwanamke mwenye uhusiano wa Mapenzi na El Mencho. Taarifa za Jeshi la Mexico zinasema mwanamke huyo alienda na mtu mmoja mpaka eneo alilokuwepo El Mencho, kisha mtu huyo akafuatiliwa wakagundua eneo alipo El Mencho, wakatuma Jeshi.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
47
51
1.2K
45.8K
leon
leon@herrymadraft·
@nyuki_malkia Pakistan Pana pathan boy wazuri hatar
Indonesia
1
0
0
1.5K
Malkia Nyuki 👑
Malkia Nyuki 👑@nyuki_malkia·
Countries with the Highest Estimated Transgender Population 🌎 1. 🇺🇸 USA – ~1,000,000 2. 🇧🇷 Brazil – ~1,000,000 3. 🇵🇭 Philippines – ~317,000 4. 🇲🇽 Mexico – ~123,000 5. 🇿🇦 South Africa – ~102,300 6. 🇨🇦 Canada – ~101,000 7. 🇮🇳 India – ~96,200 transgender people 8. 🇻🇳 Vietnam – ~81,600 9. 🇳🇬 Nigeria – ~64,200 10. 🇹🇭 Thailand – ~62,000 11 🇵🇰 Pakistan (~52,000) 12.🇮🇩 Indonesia (~43,000) 13.🇲🇾 Malaysia (~24,000) 14.🇳🇵 Nepal (~21,000) Source~ World Population Review
Malkia Nyuki 👑 tweet mediaMalkia Nyuki 👑 tweet media
English
7
6
79
24.8K
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Huyu Salama Jabir atakuwa amefikisha miaka mingapi sahivi ?
PàChâ#1738 💫 tweet media
Indonesia
93
16
200
26.2K
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
Hili ni swali zito la kihistoria, na ni sawa kabisa kuliuliza au kulifikiria mwenyewe. ⚠️Katika uchambuzi wangu wa Leo Hakuna ubaguzi Wala hakuna chuki Bali ni kujifunza ukweli. ⚠️Nitachambua kwa uwazi, bila kuficha wala kuchochea chuki yoyote ili unielewe vizuri,fahamu Kuwa Kuna vitu viwili tofauti : WARABU NI KITU KIMOJA NA UISLAMU NI KITU KINGINE, hivyo: ⚠️Usichanganye maada hii na Uislamu Twende Kwa pamoja: 1. Waarabu walipeleka wapi Waafrika (weusi)? Waafrika (hasa kutoka Afrika magharibi na Mashariki na Kati) walipelekwa kuuzwa: 👇 🔹 Mashariki ya Kati ya Asia: Arabia (Saudi, Yemen, Oman) Iraq, Syria, Jordan Iran 🔹 Asia: India Pakistan Persia (Iran ya kale) 👉 Hii ilijulikana kama Arab/Indian Ocean Slave Trade. Swali muhimu wanahistoria wametofautiana kwalo? 2. Je, waliwaua? 👉 Wanahistoria wengi wanasema hapana ila wanaume wengi waliuawa. (Sasa tunajiuliza waarabu waje Africa wachukue watumwa alafu waende kuwauwa? Hapa Kuna Siri nyingi katk historia zimefichwa) NGOJA NIKUPE UKWELI MCHUNGU KUSKIA! 👉 ukweli mchungu: Watumwa hasa Wanaume wote waliotoka Africa walihasiwa (castration)🫢😓 Wanaume wengi walihasiwa Walifanywa: .Walinzi wa majumba (eunuchs) .Watumishi wa kifalme .Wengi walikufa wakati wa kuhasiwa (hakukuwa na tiba) Hii ndiyo sababu: 👉 Hakukuwa na kizazi cha wanaume weusi kuendelea kuishi Uarabuni 3. Walikuwa wanawauza wapi hasa? Wanawake: Wake wa ziada (concubines) Watumishi wa ndani Baadhi waliingizwa kwenye ndoa Watoto nao walifanywa: Watumishi Askari Wengine walichukuliwa mapema wakapoteza kabisa utambulisho Wanaume wao walifanyishwa: Kazi ngumu Jeshi Walinzi (baada ya kuhasiwa) 4. Kwa nini Uarabuni hakuna weusi hadi leo? Hili ndilo swali muhimu zaidi 👇 Sababu kuu 4: (1) Hakukuwa na kizazi Wanaume wengi walihasiwa → hakuna kuzaa Tofauti na Amerika ambako watumwa waliweza kuzaa (2) Kuchanganywa na kufutwa utambulisho Wanawake weusi: Walizaa na Waarabu Watoto walihesabika kama Waarabu, si Waafrika Hivyo Rangi ikapotea kizazi baada ya kizazi Kwa miongo mingi, ndio maana Hadi Leo rangi ya chotara haipo kabisa uarabuni (3) Hakukuwa na jamii huru ya weusi Marekani kulikuwa na: Jamii za weusi Mapambano ya haki Uarabuni: Hakukuwa na uhuru wa kujenga jamii za kujitambua (4) Historia ilifichwa: Nchi nyingi za Kiarabu: Hazifundishi historia hii Hakuna makumbusho makubwa ya utumwa wa Kiafrika Maana wakifundisha waarabu wengi wataanza kufatilia nasabu zao na Koo zao mwisho wakute Wana damu za kiafrika Ndiyo maana watu hujiuliza: “walienda wapi?” 5. Lakini je, hakuna weusi kabisa Uarabuni? Jibu ni ndio lakini: Wako wachache sana Mara nyingi wame: Changanyika kikabila Kupoteza lugha na asili Mfano: Afro-Arabs (Oman, Saudi, Iraq) Zanzibar (historia ya kipekee) ⚠️Nakuonya ewe msomaji hii maada haihusiani na Uislamu maana najua naposema WARABU wengi mnaelewa Uislamu. Maada ijayo tutachambua utumwa wa wazungu na mateso yao Kwa Babu zetu: vile vile maada hii usije ukaichanganya na Ukristo.
Tanzania Abroad TV tweet media
Indonesia
66
95
626
45.7K