Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

4.4K posts

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir banner
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

@ht_afisikuu

#TurudisheniKhilafah kwa njia ya Utume.

Katılım Ocak 2020
0 Takip Edilen1K Takipçiler
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir
Taarifa kwa Vyombo vya Habari Enyi Waislamu: Msiruhusu Ardhi Zenu Kuwa Jukwaa la Majeshi ya Wakoloni! Serikali ya Uingereza imetangaza kupelekwa kwa silaha ya gharama nafuu ya kupambana na droni katika operesheni zake za kijeshi Mashariki ya Kati. #TurudisheniKhilafah
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir tweet media
Indonesia
0
0
1
13
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir
Zimwi Lililo Lala: Hijja Yatoa Wito wa Umoja (Imetafsiriwa) Kila mwaka, zaidi ya Waislamu milioni mbili kutoka kote ulimwenguni hukusanyika katika eneo takatifu la ardhi kufanya moja ya matendo matukufu zaidi ya ibada ya pamoja: Hijja. #TurudisheniKhilafah
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir tweet media
Indonesia
0
1
4
26
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Kampeni “Katika Kumbukumbu ya Miaka 14 ya Kutekwa Nyara Kwake… Mwachilieni Huru Naveed Butt!” #أطلقوا_سراح_نفيد_بوت #أطلقوا_سراح_نفيد_بوت_الداعي_للخلافة #FreeNaveedButt_AdvocateOfKhilafah #خلافت_کے_داعی_نویدبٹ_کو_رہا_کرو
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir tweet media
Indonesia
0
0
3
33
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir
Hizb ut Tahrir / Malaysia: Kongamano la Khilafah — “Kurudisha Nguvu ya Kilimwengu ya Ummah” Mnamo Jumapili, 10 Mei 2026, Hizb ut-Tahrir / Malaysia ilifanya kongamano la Khilafah katika Ukumbi wa Mikutano wa Shah Alam, Malaysia,
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir tweet media
Indonesia
0
0
3
44
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir
Fursa ya Dhahabu Imo Mikononi Mwenu Simamisheni Khilafah! Enyi Majeshi ya Pakistan! Fursa ya dhahabu iko mikononi mwenu. Simamisheni Khilafah, unganisheni Mashariki ya Kati chini ya uongozi wenu, na ifukuzeni Amerika kutoka katika Ardhi za Waislamu. #Make_America_Retreat_Again
Indonesia
0
0
2
37