Hussein M Bashe

5.5K posts

Hussein M Bashe banner
Hussein M Bashe

Hussein M Bashe

@HusseinBashe

Former Minister of Agriculture 🇹🇿 | MP - Nzega Urban Constituency | Farmer | Politician #TanzaniaKwanza

Nzega/Dar es salaam Katılım Kasım 2011
360 Takip Edilen563.3K Takipçiler
Hussein M Bashe
Hussein M Bashe@HusseinBashe·
@kigogo2014 Screen shot utume bcs najua allowance ulikua hujapokea Lowassa hajaangukia pua still alive ,ushajitafutia mradi wa 2030 tutakutana sitting room ambayo huwa tunakutana , mzee lazima tuwepo ili uishi huwa unanisaidia kujua Script writer wako toka March 2021 huwa nihifadhi kila
Indonesia
0
7
92
24.6K
Kigogo Media
Kigogo Media@kigogo2014·
1.Ya kukung'oa kwenye baraza iliisha kwa mafanikio makubwa sana! 2. Ya kung'oa hawara yenu Spika Tulia ilikuwa safi sanaaaa na nyepesi kweli 3. Ya kung'oa mtandao wa wabunge uliokuwa unaujenga na god father wenu ilipitiliza mafanikio. Sasa tunangoja ya 2030 ya kuwanyoa tena na kutoweka Rais wenu kama mlivyoangukia pua kwa Lowassa!. Una swali lingine labda?
Hussein M Bashe@HusseinBashe

@kigogo2014 Nawaona wazee wa project hamjapewa ingine

Filipino
3
4
57
32.5K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Shirikisho ya Somalia wamesaini Hati ya Makubaliano kuhusu masuala ya kiuhamiaji. Hati hiyo ya Makubaliano imelenga kuondoleana hitaji la visa kwa Pasipoti za kidiplomasia na za kiutumishi pamoja na mashirikiano katika masuala ya uhamiaji baina ya nchi hizo mbili. Hati hiyo ya Makubaliano imesainiwa leo jijini Dar es Salaam na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi wa Serikali ya Somalia,Jenerali Abdullahi Sheikh Ismail Fartaag. Akizungumza baada ya kusaini Hati ya Makubaliano , Waziri Katambi ametambua ushirikiano uliopo kati ya nchi hizo pamoja na mashirikiano yaliyopo katika masuala ya usalama wa raia na kuhamisha wafungwa. Vilevile, Waziri Katambi ameeleza kuwa Tanzania itaendeleza ushirikiano na nchi zilizopo katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kuhakikisha usalama na Amani vinatawala katika ukanda wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Tukio hilo pia limehudhuriwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Ayoub Mohamed Mahmoud na Katibu Mkuu,Ally Senga Gugu. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet mediaMaulid Kitenge tweet mediaMaulid Kitenge tweet mediaMaulid Kitenge tweet media
Indonesia
10
2
32
12.3K
Hussein M Bashe
Hussein M Bashe@HusseinBashe·
Ndoto kila mmoja ana yake ,Kila mmoja anahitaji mkono wa kumshika ,kila mmoja wetu alishikwa mkono.
Indonesia
8
7
39
6K
Hussein M Bashe
Hussein M Bashe@HusseinBashe·
Safari hii ilianza 2016
Italiano
19
12
117
26.1K
Hussein M Bashe
Hussein M Bashe@HusseinBashe·
📍Tazengwa - Nzega Kila nikiwa Nzega hapa ndio sehemu ambayo hunipa tumaini langu la kesho. Niliwahi kuwapa story humu kuwa Mwaka 1993 nikiwa kidato cha 3 Marehemu Mzee MWANIKOLONGO aliniuzia ekari 6 na ndipo nililima shamba langu la kwanza la mpunga kwa mbegu nilizopewa na Marehemu Mzee Nduju na hapa ndipo nilijenga zizi langu la kwanza la MASANZU na kuweka Ng’ombe za kwanza 6 za kufuga nilizonunua Mnada wa Ushirika nikiwa na kaka yangu Marehem Vumilia Ng’hwani. Huyu ni MIMI na haya ni Maisha yangu ya kila siku nikiwa Nzega hapa lazima nifyeke nikiwa sipo Nzega lazima nipige simu kujua wameamka vipi. Allah kamuelezea Ng’ombe katika Qur-aan kaelezea ardhi na manufaa yake. Jumaa Mubaraak Surah An-Nahl (16:5-7) “And the cattle He has created for you; in them is warmth and [numerous] benefits, and from them you eat.” (Surah An-Nahl 16:5) Surah Al-Mu’minun (23:21) “And indeed, for you in grazing livestock is a lesson. We give you drink from what is in their bellies…” Ya Allah Barik 🙏🏾
Filipino
112
46
312
35K
Joe boy
Joe boy@MartineMasalu·
@HusseinBashe Umefanya makubwa sanaa ,always napita hapo tazengwa kwenye ranch yako kununua maziwa halisi ambayo hayajachakachuliwa pia kama kijana pale ni motivation corner, scheme ya idudumo pia inafanya vyema sanaa coz na mimi nimelima mpunga pale kwa maji ya scheme 😄 karibu iduddumo mkuu
Filipino
2
0
11
2.4K
Hussein M Bashe retweetledi
Dira Ya Samia
Dira Ya Samia@DiraYaSamia·
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. @SuluhuSamia , leo tarehe 21/09/2025 ameendelea na mikutano ya kampeni mkoani Ruvuma. Akihutubia wananchi katika mkutano uliofanyika Mbinga Mjini, Dkt. Samia amesisitiza kuwa Mbinga imebeba historia kubwa , akibainisha kuwa Rais wa Awamu ya Nne, Hayati Benjamin William Mkapa, alipata elimu yake ya sekondari katika eneo hilo kati ya mwaka 1952–1955. Dkt Samia pia amemuombea kwa Mwenyezi Mungu aendelee kuilaza roho yake mahali pema peponi. 🙏 Aidha, Dkt Samia ameeleza kuwa Mbinga ni kitovu muhimu cha uzalishaji wa mazao ya kilimo, jambo linalochangia ustawi wa Taifa. Akiwa amerejea Mbinga baada ya ziara yake ya Septemba mwaka jana iliyolenga kuzindua miradi ya maendeleo, safari hii amesema amekuja kwa lengo la kuomba kura ili kuendeleza kazi kubwa iliyoanza katika miaka mitano iliyopita. Kwa kujiamini na ujasiri mkubwa, Dkt. Samia amesema kuwa Miaka mitano iliyopita tumeweza, na miaka mitano ijayo, kwa uwezo wa Mungu, tutaweza zaidi. #HaijapataKutokea #DiraYaSamia #KaziNaUtu2025 #SamiaHadi2030
Indonesia
17
21
22
5.7K
Hussein M Bashe retweetledi
Dira Ya Samia
Dira Ya Samia@DiraYaSamia·
HODI HODI RUVUMA! 🌟 Wananchi wa Ruvuma, leo ni siku ya kihistoria! Karibuni kwa wingi kumpokea na kumsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia @ccm_tanzania , Mhe. Dkt. @SuluhuSamia 💚💛 Usikose kufuatilia hotuba yenye dira ya maendeleo, sera madhubuti na mipango thabiti itakayoendeleza ustawi, mafanikio na maisha bora kwa kila Mtanzania. #HaijapataKutokea #DiraYaSamia #KaziNaUtu2025 #SamiaHadi2030
Dira Ya Samia tweet media
Indonesia
20
29
31
5K
Hussein M Bashe retweetledi
Dira Ya Samia
Dira Ya Samia@DiraYaSamia·
Makala Maalum ya Jiji la Dar es Salaam🔥
Indonesia
28
27
30
12.2K
Hussein M Bashe retweetledi
Dira Ya Samia
Dira Ya Samia@DiraYaSamia·
SAFARI YA USHINDI WA KISHINDO IMEFIKA TABORA MJINI! 🎉 Leo ni zamu yetu wana Tabora Mjini kumpokea kwa shangwe na hamasa, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia @ccm_tanzania, Mhe. Dkt. @SuluhuSamia. 💚💛 Wananchi wote mnakaribishwa kujitokeza kwa wingi kushuhudia na kumsikiliza moja kwa moja akieleza sera, dira na mipango madhubuti ya maendeleo ya taifa letu. #HaijapataKutokea #DiraYaSamia #KaziNaUtu2025 #SamiaHadi2030
Dira Ya Samia tweet media
Indonesia
37
29
28
4.2K
Hussein M Bashe retweetledi
tanzanialeotz
tanzanialeotz@tanzanialeotz·
TMA: MVUA ZA VULI 2025 KUISHA JANUARI 2026 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema Mvua za vuli zinatarajiwa kuwa za Wastani hadi Chini ya Wastani katika maeneo mengi na kutawaliwa na vipindi virefu vya ukavu. @WizaraKilimo @UvuviNa @HusseinBashe
tanzanialeotz tweet mediatanzanialeotz tweet media
Indonesia
0
3
4
2.3K
Hussein M Bashe retweetledi
Hussein M Bashe retweetledi
Dr.Anthony KABEHO
Dr.Anthony KABEHO@DrKabehoMD·
Nimpongeze kaka yangu @HusseinBashe katenda haki sana kwa kuomba tuwe na Campus ya chuo kikuu cha Dar Es Salaam pale Lusu. Hii itafungua uchumi wa ukanda wetu na pia kusogeza huduma za elimu ya juu karibu na watu wetu. Hongera sana @HusseinBashe kwa uwakilishi huo
Indonesia
0
2
4
2.9K
Hussein M Bashe retweetledi
Dira Ya Samia
Dira Ya Samia@DiraYaSamia·
Katika mkutano wa hadhara wa wananchi wa Nzega Mjini, mgombea wa jimbo la Nzega, @HusseinBashe , ameeleza maendeleo makubwa yaliyopatikana katika sekta ya maji katika miaka minne ya Dkt Samia akiwa madarani. Ameeleza kwamba miaka mitano iliyopita, dumu moja la maji katika mji huo lilikuwa likinunuliwa kwa bei ya kati ya Tsh 500 hadi 1,000. Ili kupata maji ya kunywa, familia nyingi zililazimika kufuata vyanzo vya maji vilivyokuwa mbali, wakipanda zaidi ya kilomita 4 hadi 5. Leo, shukrani kwa jitihada za serikali ya Dkt. @SuluhuSamia , kata zote 10, vijiji vyote 21, na vitongoji vyote 176 vina huduma ya maji safi na salama. Hii ni baraka kubwa kwa wananchi, hasa wale wanaoishi vijijini, kwani sasa wanaweza kupata maji kwa urahisi na bila gharama kubwa. #HaijapataKutokea #DiraYaSamia #SamiaHadi2030 #KaziNaUtu2025 #NzegaYetuKeshoYetu
Indonesia
29
16
16
2.8K
Hussein M Bashe retweetledi
Dira Ya Samia
Dira Ya Samia@DiraYaSamia·
Chama Cha Mapinduzi kimejengwa juu ya imani ya watu wake. Wanachama na wapenzi wapo tayari kukipigania, kukisemea na kukitangaza pasipo kuchoka. 🙌 Safari ya ushindi wa kishindo kuelekea Oktoba 29, 2025 imejaa nguvu na mshikamanisho wa kweli. ✊ @ccm_tanzania @SuluhuSamia
Filipino
36
23
23
4.1K
Hussein M Bashe retweetledi
Dira Ya Samia
Dira Ya Samia@DiraYaSamia·
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. @SuluhuSamia, akiendelea na mikutano yake ya kampeni mkoani Singida, amewahutubia wananchi wa Wilaya ya Manyoni. Katika hotuba yake, Mhe. Dkt. Samia amewakumbusha wananchi wa Manyoni kuhusu ziara yake ya Oktoba 2025 ambapo aliweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa barabara ya Mkiwa–Itigi–Noranga yenye urefu wa kilomita 25. Ameeleza kuwa ujenzi huo kwa sasa umefikia hatua nzuri na upo katika asilimia 75 ya utekelezaji. Aidha, amewapa wananchi habari njema kwamba tayari mkandarasi amepatikana kwa ajili ya ujenzi wa kipande cha barabara kinachoelekea Bukiwa chenye urefu wa kilomita 31. Ameongeza kuwa serikali imedhamiria kuendeleza barabara hiyo kuelekea Makongorosi, hatua ambayo itaongeza fursa za biashara na kuimarisha uhusiano wa kiuchumi kati ya Singida na Mbeya. Mhe. Dkt. Samia amesisitiza kuwa ahadi hiyo ni sehemu ya dhamira ya serikali ya kuhakikisha miundombinu bora inafungua njia za maendeleo na ustawi wa wananchi wote. #HaijapataKutokea #DiraYaSamia #KaziNaUtu2025 #SamiaHadi2030
Indonesia
35
30
35
5.6K