Wizara ya Kilimo

8.2K posts

Wizara ya Kilimo banner
Wizara ya Kilimo

Wizara ya Kilimo

@WizaraKilimo

Ukurasa rasmi wa Wizara ya Kilimo, Tanzania

Dodoma, Tanzania Katılım Ağustos 2014
11 Takip Edilen17.1K Takipçiler
Wizara ya Kilimo
Wizara ya Kilimo@WizaraKilimo·
Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na wataalamu kutoka Jeshi la Polisi Tanzania, Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe pamoja na Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Makundi Maalumu wamefanya mafunzo ya jinsia, afya ya uzazi pamoja na afya ya akili kwa vijana wa BBT
Indonesia
0
0
2
76
Wizara ya Kilimo
Wizara ya Kilimo@WizaraKilimo·
Matukio wakati wa Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo kilichoafanyika hivi karibuni. Kamati hiyo imepokea taarifa za utekelezaji wa bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka wa Fedha 2025/2026.
Wizara ya Kilimo tweet mediaWizara ya Kilimo tweet mediaWizara ya Kilimo tweet mediaWizara ya Kilimo tweet media
Indonesia
0
0
0
98
Wizara ya Kilimo retweetledi
Tagie Daisy
Tagie Daisy@TagieDaisy·
Tagie Daisy tweet mediaTagie Daisy tweet mediaTagie Daisy tweet mediaTagie Daisy tweet media
ZXX
1
1
2
229
Wizara ya Kilimo
Wizara ya Kilimo@WizaraKilimo·
ya nchi, huku tathmini kama hizi zikiendelea kufanyika mara kwa mara ili kufuatilia utekelezaji wake, kubaini changamoto zilizopo na kutoa mapendekezo yatakayosaidia kuboresha zaidi mpango huo kwa manufaa ya Sekta ya Kilimo nchini.
Indonesia
0
0
0
27
Wizara ya Kilimo
Wizara ya Kilimo@WizaraKilimo·
kutoka kuvuna gunia 8 za mahindi msimu wa 2020/2021 hadi kufikia gunia 30 msimu wa 2023/2024. Kwa mujibu wa taarifa ya tathmini iliyofanywa na Wizara ya Kilimo, utekelezaji wa mpango wa ruzuku ya pembejeo umeendelea kuwafikia wakulima katika maeneo mbalimbali
Indonesia
1
0
0
33
Wizara ya Kilimo
Wizara ya Kilimo@WizaraKilimo·
TATHMINI YA RUZUKU YA PEMBEJEO YAONESHA KUONGEZEKA KWA UZALISHAJI SINGIDA NA DODOMA Tathmini ya utekelezaji wa Mpango wa Ruzuku ya Pembejeo za Kilimo imefanyika katika mikoa ya Singida na Dodoma na kuonesha ongezeko la uzalishaji wa mazao mbalimbali na
Wizara ya Kilimo tweet mediaWizara ya Kilimo tweet mediaWizara ya Kilimo tweet mediaWizara ya Kilimo tweet media
Indonesia
1
1
1
171