Sabitlenmiş Tweet
FRANCE
78.7K posts


@iamthatfemale @AM_NIC3 Ume glow siku nyingi si kama akina Mpoki walivyokuwa wana evolve.
Filipino

@DAMASDAMIANKAWO @TriciaAbou Brother Tanga pameguswa umekuwa mkali.😅😅hajataja Wilaya Yako lakini.😅
Indonesia

@TriciaAbou Tanga hiyo ni sehemu gani? Umewahi kusikia matukio ya Njombe na Geita lakini huko?
Indonesia

Oya @kigogo2014 & @itv001, nasikia mama yake Nelly amefariki leo!
FRANCE@itv001
@kigogo2014 Kigogo nenda Iringa kamzike mwanetu Nelly nyama choma. uwepo wake uonekane pia.🙏
Filipino

Nilienda bank moja hapa mtoni kuulizia mkopo. Wakaniambia riba ni 10% kwa personal loan. Mfano ukichukua million 10 utalipa milion 11 ndani ya miaka mitano. (Mikopo ya biashara mpaka 3%) Bank za bongo unaambiwa riba 16% kwa mwaka. Mtumishi anaweza kopa milion 10 akalipa million 25 ndani ya miaka mitano. Yaani riba ni kubwa kuliko mtaji uliochukua.
Ndio maana kila mwaka wanatangaza faida ya mabilioni.😃
Indonesia

@iamthatfemale @modernhistory Best quote yake " it's not personal Sonny, it's strictly business."
English

@modernhistory Ofcoz The godfather but i Loved him in John Q too
English


@CarynKhan7 Au mtoto wa umri huo kuitwa Magnus, Marcus, Tabitha, Anunsiata. Majina ya ukubwani.
Filipino

@LocalFundi_ Da'slam au wapi..maana kama ni Da'slam utakuwa unatembea huku unafuka moshi.
Indonesia





















