FredY

2.7K posts

FredY banner
FredY

FredY

@iam_FredY_

CEO FREE TRIP ADVISOR || HR || SIMBA sports club & CHELSEA || BET AT YOUR OWN RISK 🤑

Arusha, Tanzania Katılım Ekim 2021
541 Takip Edilen740 Takipçiler
FredY retweetledi
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Kama uwanja wao kibendera kitakuwa hapo, chama atawafunga sana magoli ya kona😂🐸🚮..
The champ👑 tweet media
Indonesia
14
15
65
1.3K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Moja ya nchi yenye wanasiasa wanafiki kupita zote duniani ni Tanzania
Indonesia
291
832
2.4K
0
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Kuna mwana anaitwa Mulla Obo, Instagram huko ana trend yeye tu leo, hadi Babu Tale amemuhaidi kumfadhili gharama ya video, pia Azma atamuweka kwenye ngoma zake zijazo! Boomplay mwana leo yupo top3 ya ngoma zinazosikilizaa zaidi Boomplay🙌 Ngoma kali🔥
Indonesia
58
105
966
42.5K
OluayeMansyBoom
OluayeMansyBoom@mansyboom·
Favorite team to score ⚽️ Be a millionaire with under 1k stake 🏆 Are you with me???
OluayeMansyBoom tweet media
English
6
5
29
47.6K
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Mambo 10 Muhimu Kutoka Ziara ya Rais William Ruto!
MR BEN tweet mediaMR BEN tweet mediaMR BEN tweet mediaMR BEN tweet media
Indonesia
3
4
8
868
FredY
FredY@iam_FredY_·
@gabyconscious billnas sijui genre gani anafanya ila sio hip-hop
Indonesia
1
0
0
6
KRC Genk
KRC Genk@KRCGenkofficial·
FROM GENK TO THE CHAMPIONS LEAGUE FINAL 🏆💙 #riseabove
KRC Genk tweet media
English
272
4.2K
41.4K
300.7K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Licha ya kuongoza kura za Maoni katika Mchakato wa Uchaguzi wa Ubunge, Jimbo la Isimani (Mkoa wa Iringa), Kamati Kuu ya CCM, imemuweka kando Mfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu kama @fred_vunjabei na kumteua Emmanuela Kaganda Mtafikolo kuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Isimani Mkoani Iringa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Katibu Wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo Kenani Laban Kihongosi, imesema kuwa kwa kuzingatia mamlaka iliyopewa chini ya Ibara ya 105 (7)(f) ya Katiba ya CCM ya Mwaka 1977 Toleo la Julai 2025, Kamati Kuu imefanya uteuzi wa mgombea waCCM kwa ajili ya Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Isimani, lililopo wilaya ya Iringa Vijijini ambapo Mgombea aliyeteuliwa ni Emmanuela Kaganda MTAFIKOLO. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
64
19
596
74.3K
FredY
FredY@iam_FredY_·
@SuluhuSamia X nasikia mlifungia au umewasha VPN
Indonesia
0
0
3
705
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Ninaipongeza Klabu ya Simba kwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Muungano mwaka 2026. Mbali na burudani, michezo imeendelea kuwa daraja imara linalotuunganisha. Pia, ninazipongeza klabu zote nane zilizoshiriki mashindano hayo kwa kuonesha ushindani wa kirafiki na hamasa inayozidi kuimarisha tunu ya Muungano wetu.
Samia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet media
Filipino
63
114
562
26.7K
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Ukitaka kujua CCM ni majambazi ni project kama hizi za kutuibia pesa kupitia miradi ya kijinga kijinga kama hii Serikali imeamia Dodoma Kuna majengo mengi tu ndani ya jiji yalikuwa ya wizara, mfano wizara ya Elimu Jengo la Maji hapo Ubungo Wizara ya Mambo ya ndani Hilipo Ofisi ya Waziri Mkuu Mirambo Makao makuu ya Magereza Pale IFM pembeni Lakini hawa wahuni wanataka choma 10bn kujenga Ofisi wakati Jiji lina uhitaji na mambo mengi tu kwenye mashule Hayo majengo yaliachwa na wizara kwenda Dodoma yanakazi gani mpaka jiji la Dar kuwe na jengo lolote jipya kwa fedha za umma
Think Different tweet media
Indonesia
9
39
222
13.2K
FredY
FredY@iam_FredY_·
@MsigwaGerson naona nguchiro hujui hata asilimia 74% ikoje 😂
Indonesia
0
0
0
2
Gerson Msigwa
Gerson Msigwa@MsigwaGerson·
Kujali, Dhamira Njema, Ujasiri, Utu, Matumaini. NI UONGOZI. #NeverAgain
Indonesia
53
8
26
3.8K
FredY
FredY@iam_FredY_·
@lifeofmshaba umri kama huu ni muda wakuomba msamaha kwa Mungu wake amrudie Mungu ila ndo anaizidi kuahribu duniani na mbinguni
Indonesia
0
0
1
39
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Wasira ana laana Hii sio akili ya kawaida Mtu kama huyu anayeshabikia vifo vya watu wakifa wananchi wanashindwa vipi kufanya sherehe?
Think Different tweet media
Indonesia
13
13
81
3K
FredY
FredY@iam_FredY_·
@Dominicksalamb1 huwezi kua na amani simba kuingia Final 😂😂
Indonesia
0
0
2
320
Dominicksalamba
Dominicksalamba@Dominicksalamb1·
Mnapochambua kumbuken ilikuwa kati ya Mlandege Vs Simba narudia Mlandege sasa msipitilize kutoa Sifa kwan mlitegemea kitu gani zaidi ya hiki? Simba ni kubwa sana kwa Mlandege sifa zingine bakizeni mje kuzitoa J5 kama watafanikiwa kwa wakubwa wenzao hapa mnavuka mstari wa Offside
Indonesia
21
5
159
6.5K
FredY
FredY@iam_FredY_·
@Dominicksalamb1 vipi kama simba angefungwa?? ungesifia au kuponda simba ni mbaya
Indonesia
0
0
1
334
Gerson Msigwa
Gerson Msigwa@MsigwaGerson·
Kuna nguchiro wamechapisha namba yangu binafsi ya simu mitandaoni na kuanza kuhamasisha watu wanishambulie. Nataka kuwaambia huo ni upuuzi na ni uvunjaji wa Sheria. Ukiondoa watu wachache sana wanatuma meseji za hovyo, asilimia 99 wananitumia meseji za kunitia moyo na kueleza utayari wao wa kuilinda nchi yao dhidi wenye nia ovu. Wale wanaoeleza changamoto za ajira na mitaji ninawapa majibu na nafikisha kwa wahusika zifanyiwe kazi. Nguchiro na chawa wa nguchiro acheni kupoteza muda na rasilimali mkiporomosha matusi, tulieni na tuungane kujenga na kulinda nchi yetu.
Indonesia
775
51
464
166.1K