Sobo🇹🇿

48.1K posts

Sobo🇹🇿 banner
Sobo🇹🇿

Sobo🇹🇿

@iam_sobo

Journalist ll gymholic ll Arsenal & Simba blood ll Footballtrolls *abroad football update* free odds*

Tanzania Katılım Temmuz 2016
9K Takip Edilen9.6K Takipçiler
Sobo🇹🇿 retweetledi
Silver Fox 🦊
Silver Fox 🦊@livin_omanga·
Haters wanaona attacking football but wajanja tunaona two teams with poor defending. Arsenal will win the Champions League!!
Kabete, Kenya 🇰🇪 English
126
260
1.4K
29.8K
Sobo🇹🇿
Sobo🇹🇿@iam_sobo·
Ndio maana timu kama Atletico Madrid na Arsenal huwa zinaonekana “boring” lakini zinajua kushinda. Football sio show tu… ni control.
Sobo🇹🇿 tweet media
Filipino
0
0
0
17
Sobo🇹🇿
Sobo🇹🇿@iam_sobo·
Game ya Paris Saint-Germain vs Bayern Munich haina balance kabisa. Huwezi kufunga 5 halafu unafungwa 4… hiyo si dominance, hiyo ni chaos. Tunapenda end-to-end football, sawa… lakini bila defensive structure ni gambling tu, siyo tactical control.. 👇
Sobo🇹🇿 tweet media
Filipino
1
0
0
34
Sobo🇹🇿 retweetledi
Arsenal
Arsenal@Arsenal·
Rise to the occasion.
English
249
873
7.6K
121.9K
Sobo🇹🇿
Sobo🇹🇿@iam_sobo·
Tayari mmeenjoy beautiful football… sasa Arsenal na Atlético Madrid hakuna showoff, hakuna kelele ni kazi tu!
Sobo🇹🇿 tweet media
Filipino
1
0
10
106
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Ukiangalia mpira unapigwa leo ubaki na mshangao Arsenal na Atletico wamefikaje nusu fainali???
Filipino
20
11
123
4K
George Ambangile
George Ambangile@George_Ambangil·
Haya ndio mambo ambayo Arteta hapendi , bora umuue lakini hakupi hii end to end game ... abadani asilani 😀😀.! Ndio maana ngumu kuona anapigwa nyingi nyingi sana.! Hataki huu upuuzi .!
Indonesia
55
45
979
23.7K
Sobo🇹🇿
Sobo🇹🇿@iam_sobo·
Kama unataka entertainment, angalia mechi ya leo… maana kesho ni haramball za vita ya tatu ya dunia! Leo ni burudani, kesho ni mapambano. Chagua mechi yako vizuri.. 😂😂😂
Indonesia
0
0
5
114
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Hii nchi iliaminika wazee ndio watatuvusha coz wana busara na hekima…… Lakini wazee ndio wamekuja kuwa takataka kabisa. Ikaja kuaminika vijana ndio wawareplace wazee, coz damu changa italeta positive changes… Lakini vijana hao ndio wakatusaliti kabisa na kuanza kutuua vijana wenzao. Ikaaminika wanawake wapewe nafasi na wao, hawa ni mama zetu na always mama ana huruma….. Lakini wanawake ndio wamekuwa makatili kumzidi shetani. Kimbilio la mwisho likawa kwa wasomi, coz wana vision na knowledge watasaidia kutuvusha… Lakini ndio kama muonavyo wanaoitwa wasomi maprofesa ndio daily wanaturudisha nyuma, wamejaa kwenye mfumo na ndio wamekuwa maandazi kabisa!! Ni kama kila approach inakataa
Filipino
59
133
816
17K
millardayo
millardayo@millardayo·
Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Oktoba 29, Jaji Othman Chande, amewasihi Watanzania kufahamu na kutofautisha kwa usahihi matumizi ya maneno ‘kupotea’, ‘kupotezwa’ na ‘kujipoteza’ akieleza kuwa licha ya maneno hayo kutumika mara kwa mara katika mijadala ya Kijamii bado yana tafsiri tofauti zenye uzito wa kisheria na Kijamii Jaji Chande ameeleza hayo leo April 28, 2026, wakati akizungumza na Waandishi wa Habari, katika Kituo cha Mikutano Cha kimataifa cha Mwalimu Nyerere (JNICC), ambapo ameongeza kuwa neno kupotea linahusu Mtu ambaye hajulikani alipo, huku Familia au Ndugu zake wakiwa wamewasilisha taarifa rasmi kuhusu kutoweka kwake akibainisha kuwa kupotea kunaweza kuwa kwa hiari au bila hiari kulingana na mazingira ya tukio husika. Aidha amesisitiza kuwa neno kupotezwa lina tafsiri maalum katika Sheria za Kimataifa ambapo linahusishwa na Mtu kukamatwa au kunyimwa uhuru wake na Vyombo vya Dola au Watu wanaofanya kwa niaba au kwa ridhaa ya Serikali na baadaye mahali alipo kutofahamika hali inayotambulika rasmi katika Mikataba ya Kimataifa ya Haki za Binadamu. Akizungumza Jaji Chande amesema, “na ninyi Waandishi wa Habari msichanganye maneno, neno kupotea lina maana yake, kupotezwa lina maana yake, na kujipoteza lina maana yake, kupotea ni Mtu ambaye hajulikani alipo na Familia yake au Ndugu zake, na taarifa zake zimewasilishwa rasmi, kuna kupotea kwa hiari na kupotea bila hiari, kuna waliopotezwa, neno maalum la Kisheria ya Kimataifa, na kuna Mkataba wa Kimataifa kuhusu Ulinzi wa Watu wote dhidi ya kupotezwa kwa nguvu (International Convention for the Protection of All Persons from Enforced Disappearance) wa mwaka 2006, Mkataba huo umefafanua maana ya kupotezwa, ambapo Mtu anakamatwa, anawekwa Mahabusu au ananyimwa uhuru wake na Mawakala wa Serikali au Mtu binafsi au kikundi chenye kibali au ridhaa ya Serikali, kisha mahali alipo hakujulikani.” Jaji Chande. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
27
1
75
12.1K
Sobo🇹🇿
Sobo🇹🇿@iam_sobo·
Ukiweka winga Bukayo Saka na Eberechi Eze pembeni zote mbili, unalazimisha fullbacks wabaki nyuma, midfield yao inaanza kupasuka taratibu... 🔥
Sobo🇹🇿 tweet mediaSobo🇹🇿 tweet media
Indonesia
1
3
23
495
Sobo🇹🇿
Sobo🇹🇿@iam_sobo·
Wanataka Ubingwa wa EPL na FA Cup lakini wanasema mechi ni nyingi! 😂😂😂
Sobo🇹🇿 tweet media
Filipino
0
0
0
34
Sobo🇹🇿 retweetledi
Arsenal
Arsenal@Arsenal·
Arsenal tweet mediaArsenal tweet media
ZXX
27
323
3.4K
66.7K
millardayo
millardayo@millardayo·
Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Oktoba 29, Jaji Othman Chande, amesema suala la upoteaji wa Watu linaendelea kuwa miongoni mwa changamoto kubwa za Kijamii zinazolikumba Taifa pamoja na Dunia kwa ujumla akisisitiza kuwa uzito wa tatizo hilo ndiyo sababu limepewa kipaumbele maalum katika uchunguzi wa Tume hiyo. Jaji Chande ameeleza kuwa takwimu za Kimataifa zinaonesha ukubwa wa tatizo hilo ambapo mtandao wa Shirika la Msalaba Mwekundu Duniani umebainisha kuwa kati ya mwaka 2020 hadi 2024 zaidi ya Watu 284,000 wameripotiwa kupotea Duniani kote hali inayodhihirisha kuwa suala hilo si la Nchi moja pekee bali ni la Kimataifa Aidha, ameongeza kuwa hata katika Nchi zilizoendelea Barani Ulaya pamoja na Marekani bado matukio ya Watu kupotea yanaendelea kuripotiwa akitaja mifano ya Nchi kama Ubelgiji na Uholanzi, huku akibainisha kuwa sababu za upoteaji hutofautiana kulingana na mazingira ya kila Nchi jambo linalohitaji uchambuzi wa kina kabla ya kufikia hitimisho. Akizungumza Aprili 28, 2026, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere (JNICC), Jaji Chande amesema "suala la upoteaji linatukera sana, ndiyo maana tumeweka kama moja ya vyanzo vya masuala ya Kijamii, pia ni changamoto Duniani kote, Mtandao wa Shirika la Msalaba Mwekundu Duniani unasema kuwa kati ya mwaka 2020 hadi 2024, zaidi ya watu 284,000 waliripotiwa kupotea Duniani, hata Ulaya, Watu wanapotea, Ubelgiji, Marekani, Uholanzi na Nchi nyingin, sababu zinatofautiana, hivyo kila Nchi ina vyanzo vyake, kuna viashiria takribani 74 vya aina ya Watu wanaopotea Duniani, hivyo ukitaka kuelewa kwa undani lazima ubainishe chanzo cha kila tukio.” Jaji Chande. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
182
4
201
42.1K
Dear Son.
Dear Son.@DearS_o_n·
MEN ONLY!!!! Who was there for you when you were at your lowest?
English
7K
409
4.6K
790K
Sobo🇹🇿
Sobo🇹🇿@iam_sobo·
Huyu demu msimbe ndio amesababisha Partey kuondoka Arsenal kutokana na kesi ya kiwaki, ametukosesha Ubingwa kmmke.. 🚮
Arsenal Touchline@Afc_ArsenalX1

✅️GOOD NEWS Thomas Partey, former Arsenal DM who had been accused of r@pe by his Moroccan girlfriend, has reportedly had all charges dropped after authorities stated there was insufficient evidence to proceed with a conviction. According to the judge, the case may have been a setup intended to damage his reputation. 🔸️Following the decision, people close to Partey are now reportedly urging him to pursue legal action against his accuser for career damaging allegations, with suggestions that any potential damages claim could be as high as $150 million. If it was you, do you forgive or let the ladies be punished?

Filipino
0
0
0
48
Just Medic
Just Medic@jawsootz2007·
@iam_sobo Km anakuja Osimhen means yeye asilimia zinapungua. Though waje wote tu
Suomi
1
0
1
8