Iamchristrader
1.7K posts

Iamchristrader
@iamchristrader
Financial Markets Analyst 📈📉📊






Sema wabongo tunakuwaga wajuaji sana. Mtu hujaenda kusikiliza podcast UNAKUWAJE NA MAONI NEGATIVE YA KUTOA?? Maana leo humu kumejaa Kejeli na Ujuaji, ila ukisoma coments unagundua kuwa hawajaenda kusikiliza. Utaona tu wanaandika "Hapo wanatafutwa watu wapigwe hela", "Matapeli hawa", "Hiyo hela ningetengeneza nisingekaa Bongo". Ndio maana Sirjeff alikuwa anatweet kuanzia morning mpaka night kuwa watu wana IQ za Mende... Shule aliyotoa mwana kwenye zile 2Hrs podcast huwezi ipata Chuo kikuu, ila watu wameigeuza kuwa Mradi wa Lawama kwa kusikiliza clips. MIYEYUSHO!

“An underrated sign of intelligence is your ability to learn from people you may dislike or disagree with, and to hold two truths in your head at the same time: that someone can be flawed and still have done something worth studying”

Binance imeenda na maisha yangu. I don't know if i will ever recover from this mess.




Monday GFT will release something VERY BIG.. And a few days ago I said I would give away 2x50k Goat Challenges to two people who would guess No one has guessed yet The contest is still valid 🎁



















