@StanoDj After kujiita kamkutano nimeona nipitie katikati ya hawa wanakamati ni kama wanasuasua, hesabu kura ya Trumpet Riddim hapo aisee
#Reggaevibeskbc
@StanoDj greetings @StanoDj kibirichia Meru massive onboard!!
shout out to Binghi Mwenda , Empress Rawzzie, Oscar camarada, Hildah Mshilla and all Reggae vibes fans...
Together by bunny wailler ikam through!!
#Reggaevibeskbc
Umeme hauna kiuno lakini waongoza kwa kukatika 😂😂.
Hata hivyo, jo tukatike na riddims kuanzia 2pm - 4pm.
Na leo kwenye mizani kinarudiwo, Caribbean Soul Riddim Vs Jamaica Rock Riddim.
#ReggaeVibesKbc mpango tosha.
#ReggaeMusicSoNice
@StanoDj Yees Rasta, Representing Kibirichia meru massive!
kamati imeketi chini na zote tumeamua kura zote ni kwa Down by the river Riddim @StanoDj#Reggaevibeskbc
Maskini hula vibes, tajiri hula soft life 🤔🤔..
Hata hivyo, njo tule soft life kwenye #ReggaeVibesKbc 2pm - 4pm.
Down By The River Riddim Vs Grab Yuh Lass Riddim kwenye mizani leo.
#ReggaeMusicSoNice
Kila mwanaume ni mjinga kwa angalau dakika Tano kila siku, Hekima ni kutovuka kikomo hiki.. Wueeh 🙆🏾♂️🙆🏾♂️.
Hata hivyo, tuna shughli hapa.
#ReggaeVibesKbc 2pm - 4pm. Kwenye mizani leo, Outcry Riddim Vs Sweet Yuh Riddim. Hapo vipi wakuu??
#ReggaeMusicSoNice
Sura nzuri si tiketi ya heshima 🤔🤔.
Hata hivyo, ni Furahiday njo na sura zako nzuri kwenye #ReggaeVibesKbc 2pm - 4pm. Hapa raha na burudani tosha.
#ReggaeMusicSoNice
Mzoea kunyonga kuchinja hawezi 🤔🤔🙆🏾♂️🙆🏾♂️.
Hata hivyo,
#ReggaeVibesKbc Tuesday edition we havuuu wakuu..
Hapa raha na burudani tosha aisee.
#ReggaeMusicSoNice
#ReggaeVibesKbc 2pm - 4pm.
Mkisema tunawekelea..
Fair Ground Riddim Vs Bubble Gum Riddim. Shughli ya leo ndio hio.
Twende nalo basi wakuu..
#ReggaeMusicSoNice