pamba🇹🇿

13.1K posts

pamba🇹🇿 banner
pamba🇹🇿

pamba🇹🇿

@ibrahimjuma03

fans@simbasportclub and Manchester united

Katılım Temmuz 2024
489 Takip Edilen1.3K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
pamba🇹🇿
pamba🇹🇿@ibrahimjuma03·
Vishand walioniibia cm yangu kumamae zao Kila wakihem
Indonesia
2
2
3
777
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
Aisee basi Iran hakuna jeshi ila kuna watu wenye midomo kama kimama. Iran kuna wachambaji kama ZNZ ila hakuna jeshi pale. I’m sorry ila kweli ,nchi ambayo zaidi ya wiki sasa inatamba kuwa inawasubiria wanajeshi wa Marekani watue kwenye ardhi yao. Nchi ambayo inatamba kuwa imejiandaaa kwa vita hii kwa miaka 40, kweli imeshindwa hata kumteka pilot mmoja wa Marekani aliedondokea ndani ya ardhi yao? Kweli Trump kaweza kumuokoa pilot wake deep inside Iran?? Aiseeee, inabidi hata team wauwaji wa waaandamanaji A.K.A team Islamic Republic impigie makofi the best American president EVER!!!!! @POTUS @realDonaldTrump
Axios@axios

BREAKING: U.S. special forces rescued the second crew member of the F-15 fighter jet that was shot down over Iran, three U.S. officials tell Axios. axios.com/2026/04/05/ira…

Filipino
80
63
623
80.6K
pamba🇹🇿 retweetledi
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
Msidanganywe huko na machawa wa kimama wanaojiita waandishi wa habari. Pyeeeee
Indonesia
102
211
1.6K
62.7K
pamba🇹🇿 retweetledi
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
Hakuna mtu ana pay attention at all jinsi mindset ya vijana wa Kitanzania ilivyobadilika. Napokea mamia ya message kama hizi everyday. Wanaomba kujiunga na kundi la kigaidi ndani ya TZ au nje kidogo ya Tz ili wapate mafunzo. Vijana waliopitia JKT ndio balaa, wanalia kabisa kuwa wao wanamafunzo ya kijeshi wanahitaji silaha tu, Wenyewe wauwaji ambao wamewafikisha vijana kwenye hali hii ya kifikra wako busy na propaganda za kujisafisha na mauwaji kiasi kwamba hawaoni the real danger coming to Tanzania.
cucson Muno@DicksonMwa12108

@LarryMadowo @LarryMadowo nimejaribu kuja dm kwako nimeshindwa ombi langu lilikuwa ni kama kuna uwezekano wa kupata hizo connection au kama kuna kundi lolote la kigaidi Tanzania au kenya naomba niunganishe am ready for anything! Please! 🙏

Indonesia
40
135
1.1K
114.5K
pamba🇹🇿 retweetledi
Manchester United
Manchester United@ManUtd·
BRUNOOOOOOO! 😍
Italiano
623
2.6K
30.5K
687.4K
pamba🇹🇿 retweetledi
(fan) Trey
(fan) Trey@UTDTrey·
Why I love this regime, game is done yet we still going for more and more CARRICK YOU HAVE CHANGED MY LIFE KING😭❤️
English
160
741
9.7K
100.8K
pamba🇹🇿 retweetledi
Manchester United
Manchester United@ManUtd·
Winning at OT >
Manchester United tweet media
English
213
1.5K
19.2K
206.5K
pamba🇹🇿 retweetledi
Manchester United
Manchester United@ManUtd·
Carlos Henrique Casimiro.
Manchester United tweet media
Español
1K
11K
120.6K
1M
pamba🇹🇿 retweetledi
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
Kipindi cha kampeni niliongea mnoooo na kuwataarifu kuwa baada ya kampeni za uchafuzi hali itakuwa mbaya. Mwigulu akiwa Waziri wa fedha akawa ananipinga anadai hali ya fedha ni nzuri. Haya si hiyo miezi 3 tu baadae wanauza gold reserves za nchi kinyemela. Hii ni habari nje kwa Wananchi. Pesa ikikosekana vyombo vya usalama vitamtema. Na niwaambie tu hizi pesa haziendi kufanya maendeleo yoyote zinaenda kulikuwa na kina Angela Kizigha na kina Abdul na kina Mombo.
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet media
Indonesia
111
280
2.1K
125.7K
T h a p z
T h a p z@Thapz__·
If you skip this post you're not a True Manchester United fan. #ARSMUN
T h a p z tweet media
English
22
57
1.7K
50.1K
pamba🇹🇿 retweetledi
Wayne Rooney
Wayne Rooney@WayneRooney·
Then and now. Proud of you Kai ❤️
Wayne Rooney tweet mediaWayne Rooney tweet media
English
532
5.9K
83.9K
1.8M
pamba🇹🇿 retweetledi
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
Watanzania kama viongozi wenye uwezo, busara na ujasiri mnao, ni vile tu wale mashetani wa pili wana nguvu ya bunduki na hawasiti kuua ndio maana bado wanashikilia nchi. Ukweli ni kwamba Chadema wana nguvu ya umma, CCM wana nguvu ya bunduki, mauaji na ukatili. Mwisho wa siku nguvu ya umma lazma ishinde….. Kumbukeni hili. Mungu alikuwa na plan yake ndio maana aliwabidhi Lissu na @HecheJohn chama. Haki vile kama hawa majamaa wawili wasingeshinda ule uchaguzi wa Chadema nawahakikishia Chadema ingekuwa imeshiriki uchaguzi kama ACT wazalendo na leo nchi ingekuwa isharudi kwenye business as usual maana hakuna maandamano yangetokea kama chadema ingeshiriki uchaguzi. Wengi hudhani watu waliandamana sababu ya Mange. Mimi niliwafungua macho tu kuhusu ufisadi uliopo ila Chadema kutokushiriki uchaguzi ilikuwa kama petrol imemwagwa kwenye moto.
Indonesia
37
355
2.2K
68.1K
pamba🇹🇿 retweetledi
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
Watanzania soon mtapata habari njema ambazo kidogo zitatufanya tuone dunia inajali mauaji ya kikatili tuliyoyapitia. Bookmark this tweet.
Indonesia
178
707
5.2K
162.5K
pamba🇹🇿 retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Speed kamjibu INJINIA HERSI kuwa anakuja TANZANIA “Very soon”. Hii inamaanisha MAANDAMANO yetu GEN Z nchi nzima yapo karibu tujiandae wanangu.
Indonesia
43
161
2.1K
50.6K
Chriss Walker TZA
Chriss Walker TZA@Chrisswalker18·
@mangekimambi Kwaiyo unajiskia mtu ametuma picha matatizo wanapata watu wengine ? Huoni pia ni Usenge huo? Yani we ipo siku yako 1 tu.
Filipino
5
0
0
7.1K
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
Cha kusikitisha walimchukua mtu ambae sio muhusika. Yani muhusika ndio alikuwa ananihadhithia jinsi walivyovamiwa pale airport na mtu waliembeba. Hata zile picha za nyumbani kwa Abdul , wafanyakazi kibao walikamatwa mpaka ambao walikuwa washaacha kazi except jamaa alietuma mzigo. Hata zile document za wizara ya fedha kutoa pesa kwa kina Lugumi na kutoa pesa kwa usalama wa taifa kwa akili ya ‘kazi maalum’, walikamata watu kibao wizarani kasoro alietuma mzigo. Yani haya majamaa hayana intelligence yoyote ya maana ndo maana walishindwa kumpata Gwajima na huku alikuwa hapo hapo Dar. Polepole waliweza kumpata sababu ya betrayal tu ila sio kwamba walimpata kwa ujuzi wao.
Hasta La Victoria Siempre@Oktoba29

Hivi Yule dogo aliyepiga picha gari ya Dully na dully akaamua kumteka hivi dully alimuachia?

Indonesia
28
195
1.7K
129.2K