
Kuna kitu kinachonisumbua sana kuhusu biashara za Tanzania. Unaweza kupita mtaani, kuona duka zuri, chakula kitamu, huduma nzuri... Ukitafuta Google — HAIPO. 😶 🧵Uzi... 👇
Innogh
12.9K posts

@innosgram
AI Enthusiast | Creative Designer | 3D Artist

Kuna kitu kinachonisumbua sana kuhusu biashara za Tanzania. Unaweza kupita mtaani, kuona duka zuri, chakula kitamu, huduma nzuri... Ukitafuta Google — HAIPO. 😶 🧵Uzi... 👇












Hapana sio kitu kile kile. Kwa namna naijua AI inavyofanya kazi ni anaangalia data ilizokuwa trained on na kutambua possible patterns zinazounganisha hizi data (hiyo ndo prediction) ndipo ikupe output. Haina awareness wala uelewa ni inatambua tu patterns kulingana na namna imekuwa trained. Binadamu tunatambua patterns, lakini kwa kuelewa context ya kile kilichopo kisha tuna evaluate context ipi ni sahihi. Usahihi tunaupata kwa kujiuliza kama assumptions na uelewa tulio nao ni sahihi. Judgement yetu iko based na uncertainty. AI inaiga reasoning ila binadamu tunafanya actual reasoning na kufanya rvaluation ya hizo reasons. Ndiyo maana unakuta mara nyingi AI zinafanya halkucination. Sababu pattern prediction yake haiwezi kujudge reasoning kwa usahihi. Binadamu pia anakosea ila sio kwa namna hiyo sawa na AI. AI ni kama mwanafunzi ambaye amesoma kwa memorization ya maswali mengi anatoa majibu ya haraka NECTA na anafaulu. Ila kwenye uhalisia akipewa real world scenario anashindwa tumia alichokisoma. Wakati binadamu ni mwanasayansi ambaye anajua kupima nadharia (hypothesis), kuhoji matokeo na kubadili hypothesis kulingana na evidence ya matokeo.