ChogoTz

6.5K posts

ChogoTz

ChogoTz

@issatimbe2

Katılım Ocak 2023
483 Takip Edilen199 Takipçiler
ChogoTz retweetledi
Kizimkazi
Kizimkazi@MamaSamia2025·
Kiongozi wa kweli kweli ni huyu. MchaMungu Mpenda Haki.
Kizimkazi tweet media
Indonesia
1
6
9
136
ChogoTz retweetledi
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Waziri wa Idara ya Kimataifa ya Chama cha Kikomunisti cha China Mhe. Liu Haixing, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Mei, 2026.
ikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet media
Indonesia
3
22
69
2.3K
ChogoTz retweetledi
Kizimkazi
Kizimkazi@MamaSamia2025·
Tanzania imepata bahati ya kuwa na kiongozi mchaMungu anayependa kweli na haki. Ana Hofu ya Allah yaani M/Mungu ni nguzo imara ya maisha ya kila mtu, ikiongoza maamuzi, vitendo, na mtazamo wetu kwa heshima na adabu
Kizimkazi tweet media
Indonesia
1
7
12
102
ChogoTz retweetledi
Nyani Ngabu
Nyani Ngabu@NNgabu_·
Tanzania🇹🇿 meets Ghana🇬🇭 Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan amempokea na kufanya mazungumzo na mgeni wake, Rais wa Jamhuri ya Ghana, Mh. John Dramani Mahama mkoani Arusha.
Nyani Ngabu tweet mediaNyani Ngabu tweet mediaNyani Ngabu tweet mediaNyani Ngabu tweet media
Indonesia
1
10
9
282
ChogoTz retweetledi
Magogoni Daily
Magogoni Daily@magogonidaily·
📍 Arusha | 𝐃𝐈𝐏𝐋𝐎𝐌𝐀𝐒𝐈𝐀 Mazungumzo na Rais wa Ghana, John Mahama.
Suomi
2
11
11
583
ChogoTz retweetledi
Dira Ya Samia
Dira Ya Samia@DiraYaSamia·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt @SuluhuSamia amempokea Mgeni wake, Rais wa Jamhuri ya Ghana, Mhe John Dramani Mahama, alipowasili katika Ikulu Ndogo ya Arusha leo 02 Machi 2026. Katika tukio hilo, Viongozi hao wawili wamefanya mazungumzo rasmi yaliyojikita katika kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia na masuala ya kimkakati yenye manufaa kwa nchi mbili. Rais Mahama yupo Mkoani Arusha kwa Ziara ya Kikazi, ambapo anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, pamoja na Sherehe za Kumbukizi ya Miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Mahakama hiyo mwaka 2006. Ziara hii inaakisi dhamira ya pamoja ya kuendeleza haki, utawala bora na mshikamano barani Afrika. @ikulumawasliano #KaziNaUtuTunasongaMbele #TabasamuLaUtu #MaendeleoEndelevu #DiraYaSamia
Dira Ya Samia tweet mediaDira Ya Samia tweet mediaDira Ya Samia tweet mediaDira Ya Samia tweet media
Indonesia
13
29
28
869
ChogoTz retweetledi
Ngadu
Ngadu@1ngadu1·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha alipompokea Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ghana Mhe. John Dramani Mahama alipowasili Ikulu Ndogo Mkoani Arusha leo Machi 02 Machi 2026.
Ngadu tweet mediaNgadu tweet mediaNgadu tweet mediaNgadu tweet media
Indonesia
0
12
13
88
ChogoTz retweetledi
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
ZXX
8
28
41
2.5K
ChogoTz retweetledi
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Mapema leo jijini Arusha nimemkaribisha na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Ghana, Mheshimiwa John Dramani Mahama ambapo tumejadili juu ya kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika mageuzi ya kiuchumi, kuongeza thamani ya rasilimali zetu, ajira kwa vijana na maendeleo ya uchumi wa kidijitali. Dhamira ya waasisi wa mataifa yetu haya mawili ilikuwa ni kuiunganisha Afrika, nasi kwa pamoja tumepongeza kuanzishwa kwa safari za moja kwa moja za ATCL kati ya Dar es Salaam na Accra (Ghana) ambazo zitarahisisha mwingiliano wa watu, kukuza biashara na utalii. Tanzania na Ghana zitaendelea kushirikiana katika usimamizi wa rasilimali ili kujenga uchumi shindani na jumuishi, unaolenga kufungua fursa zaidi za biashara, uwekezaji na ajira kwa wananchi wetu.
Samia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet media
Indonesia
47
89
240
16.8K
ChogoTz retweetledi
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Ikulu Ndogo, Arusha Jioni ya baraka na shukrani kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu, niliposhiriki futari na watoto yatima na makundi mbalimbali.
Samia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet media
Indonesia
87
108
433
39.8K
ChogoTz retweetledi
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Keep a Child Alive, Antonio Ruiz-Giménez Jr. na Ujumbe wake pamoja na Mkurugenzi wa Taasisi ya Doris Mollel Foundation Bi. Doris Mollel, tarehe 1 Machi, 2026 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Pamoja na masuala mengine mazungumzo hayo yalijikita kuimarisha ushirikiano baina ya Serikali na Taasisi hiyo katika kuboresha huduma za uzazi na afya ya mama na mtoto nchini.
ikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet media
Indonesia
14
43
89
6.6K
ChogoTz retweetledi
Matokeo ChanyA+
Matokeo ChanyA+@matokeochanya·
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) inaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kusheherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kupanda miti ikiwa ni sehemu ya kuenzi malengo yake ya kulinda utu wa mtanzani kwa kuhakikisha jamii yetu inakuwa na mazingira rafiki kwa maendeleo endelevu ya Taifa. Mazingira ni utu na uzalendo wa kweli unaanza na kulinda mazingira yetu Mti wa leo ni maisha ya kesho, ni mvua ya kesho, ni maji ya kesho, na ni ardhi salama ya kesho. Anza sasa, mhimize na mwingine! “Uzalendo ni Kutunza Mazingira, Shiriki Kupanda Miti” #MazingiraNiUtu
Indonesia
0
8
14
199