
@Ian_San254 Kuna time nimeitwa meeting ya job Nairobi, kufika nilipata nimengonjewa na hadi director,, meeting akakua heated wakaamua kunifuta
After kutoka kwa ofisi the only place nilifikiria nikatulie ilikua jevanjee,, nikiwa hapo nikaona jamaa unaona ni homeless nikapata nguvu ya kuhime
Filipino






























