
Zawadi
3.6K posts

Zawadi
@itzgiftie
Peasant, living a simple life in a complicated way.



Mnaosema hii acc ni parody ujumbe wenu huu hapa🌚



Nimeshangaa rafiki yangu kanialika chakula cha usiku lakini vituko anavyovifanya mtoto wake nimebaki nimeshangaa sana ila sasa wazazi wake wako comfortable kabisa. Just imagine mtoto anakuja anakwapua kijiko cha mgeni Kisha wazazi wanamuagiza Binti wa kazi akalete tena kijiko kingine Mara mtoto anamshika mama yake mkono asile , mara amwage chakula ,mara achukue sahani ya chakula ajitwishe kichwani aanze kuzunguka sebleni na wazazi wake wala hawamfanyi chochote wanamuangilia tu hawamkanyi wanaendelea kumbembeleza aje kula Mtoto anaamka usiku kama saa kumi hivi anaamrisha apewe simu acheze game na kuangalia cartoon na wazazi wake wanatii. Alafu cha kusikitisha zaidi hyo mtoto ni wa kiume first born miaka kama mitatu hivi.















