Ivan Massawe
84 posts



Nilikuomba mkopo wa mwezi mmoja tu ukashindwa kutoa pamoja na kujinasibu kuwa wewe ni bilionea. Kama ulishindwa kunikopesha pikipiki 25 kwa mwezi mmoja tu, utaweza kulipa bilioni 20 za Simba? Naishukuru Corona event yangu iliahirishwa nikapata hela nikaja kununua KWAKO kwa cash!




Hii ni ‘kanuni ya mafao’. Kanuni hazitungwi na Bunge. Zinatolewa na Waziri mwenye dhamana. Na hii inanipa picha kwamba watu wengi wameingia kwenye mjadala wa mafao bila hata kuuelewa chimbuko lake, bali moja kwa moja wameamini maneno ya wapinzani! Bila kuchuja wala kuchambua!

Captain Richard Shaidi-Mkurugenzi wa uendeshaji na ufundi wa Shirika la Ndege Tanzania @AirTanzania ameeleza kuwa ni nchi 3 pekee Afrika (Morocco, Kenya & Ethiopia) zinamiliki ndege za kisasa aina ya Boeing 787-8 Dreamliner. Tanzania inakuwa ni nchi ya 4 kumiliki ndege hiyo

















