Brandit10
338 posts

Brandit10
@jBrandit10
Football ⚽️ Movie/series 🎬 Fan of @manutd 🏴 @realmadrd 🇪🇸
somewhere 🌍 Katılım Mayıs 2025
44 Takip Edilen95 Takipçiler

@udsm_ikoni Kuna ile action ya yule bondia nigga, na gerezani kwa yule Albino mtoa bolo 😁🙌
Filipino


@Sativa255 Jamaa kwa mtazamo wa kawaida wana asilimia kubwa za kubeba ila ukija kutazama latiba mimi naona bado wanamazingira magumu ana mechi muhimu na ngumu hapa katikati FA, UEFA, EPL tar 4,7,11,15,tar 19 na City.. Man City ana mechi tar 4, 12,19 na asino 😀
Filipino

@Sativa255 Wabongo tunapenda kitonga et mzunguko buku tatu, tena iyo mechi ni ya Rayo valecano imagen El clasco 😂
Filipino

Jana Creez Favors alikuwa akiangalia game ya BARCELONA live na alikata tiketi ya €252 (750,000TSH).
Naona vijana wengi wanashangaa na kuona kwamba bora waendelee kuangalia soka lao la KWASU KWASU LUPASO. Hizi ni mentality za kukosa “Exposure”.
Uwanja wa CAMP NOU ni miongoni mwa viwanja vyenye historia ya SOKA DUNIANI, huduma utakayo kutana nayo ni level za kidunia. Huduma zenyewe ni pamoja na kuiona Barcelona na wakina LAMINE YAMAL.
Sasa wewe unataka kuingia uwanja wenye level na huduma za kidunia kwa bei sawa na NJUKA? Hata ukija life style ya BARCELONA kama jiji maisha yake lazima yawe ghali sana kulingana na utakayo yakuta huko.
Tunaposifia “ULAYA IMEENDELEA” hizo huduma utakazopata kwanzia usafiri, hotel na vyakula utakavyokula lazima viwe gharama kwasababu ya hayo maendeleo. Unataka ulipie CHAKULA ULAYA sawa na utakacholiipia ukiwa NJUKA HUKO GONGO LA MBOTO?
Nchi yeyote ile ambayo imeizidi nchi yako maendeleo tegemea maisha kuwa juu kuliko NJUKA. Kwahiyo unapofikiria kuenda nchi za watu hasa hizi zilizoendelea hakikisha unayo pesa na kichwani mwako unajua unaenda kutumia pesa.
Ndiomaana ukiwa TUKUYU kitimoto kilo moja unapewa na ndizi mbili bure za kuminya—hii huduma haipo kabisa DAR, kwanza hata kitimoto chenyewe bei na ndizi utauziwa kwanzia nusu mpaka nzima.
Hii ni kutokana na maendeleo yaliyofanywa DAR hayafanani na TUKUYU— Ukiwa Dar kila kitu unalipia isipokuwa PUMZI, ila Tukuyu unaweza kupata vingi vya bure na ukaishi labda uwe unachagua vya kupewa.
Hizi mentality za KIMASKINI za kutaka kulinganisha gharama za mambele na PESA MADAFU ni kukosa akili. Tutafute hela NJUKA tuache kushangaa shangaa utakula BANZI la mgongo.

Indonesia
Brandit10 retweetledi

@Rakeem0101 Kwa luke shaw uko sijui ila Watuletee ile RB ya sporting Ivan fresneda dalot hamna kazi pale

Nitakua wamwisho kuamin kuwa hii soda inae gesi
Doctor Mishy🇷🇺@SharonMontana20
Mungu akulinde wangu mwana 💚 @Noedson_tz
Indonesia
























