Wanufaika wa mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na Halmashauri ya Manispaa ya Tabora Mkoani Tabora, wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kubadilisha maisha yao kiuchumi pamoja na kutimiza ndoto zao za kuwa wafanyabiashara
kujenga miundombinu ya usafiri na usafirishaji ili kukuza uchumi Vijijini, kurahisisha upatikanaji wa huduma za kijamii pamoja na kuimarisha ustawi wa jamii.
Wananchi wa Iramba Mkoani Singida wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa zaidi ya shilingi Bilioni sita kutekeleza mradi mkubwa wa ujenzi wa daraja la Nkonkilanga, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa dhamira yake ya
Wanachama wa Vikundi vya Vijana, wanawake na Watu wenye ulemavu Manispaa ya Singida Mkoani Singida, wamemshukuru Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia na kutoa Jumla ya Shilingi Bilioni Moja na Milioni Mia sita na nane ili kuwezesha Vikundi zaidi ya
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi ya Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania - TAHLISO Ndugu Geofrey Kiliba, ametoa ufafanuzi juu ya hali ya uchumi nchini, akibainisha kuwa kupanda kwa bei ya mafuta na gharama za maisha si tatizo la Tanzania pekee, bali ni changamoto inayoyakabili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kipindi chake cha miaka minne madarakani ameiwezesha Halmashauri ya Wilaya ya Bahi kuwa na Hospitali ya Wilaya kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwake mwaka 2007 suala ambalo limepokelewa kwa furaha
Mafanikio hayo yameiwezesha TRA kukamilisha robo ya tatu ya mwaka wa fedha (Januari hadi Machi 2026) kwa kukusanya jumla ya shilingi trilioni 9.31, ikiwa ni ongezeko la asilimia 23.6 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka uliopita.
#Jarida
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeweka rekodi mpya kwa kukusanya shilingi trilioni 3.58 katika mwezi wa Machi 2026 pekee, ikiwa ni sawa na ufanisi wa asilimia 107.6 ya lengo lililowekwa.
Ameyasema hayo Aprili 01, 2026 wakati wa kikao kazi cha watumishi wa Bodi kinachoendelea katika Ukumbi wa Chuo Cha Kilimo Sokoine (SUA), mkoani Morogoro, Prof. Msalya alisisitiza umuhimu wa kuwa na mikakati madhubuti inayotekelezeka kwa vitendo,
Msajili wa Bodi ya Maziwa Tanzania, Prof. George Msalya, amewataka watumishi wa Bodi hiyo kuongeza uwajibikaji, ubunifu na weledi katika kutekeleza majukumu yao ili kuimarisha ukuaji wa sekta ya maziwa nchini.
Wakulima wa Mpunga wanaofanya shughuli zao katika Bonde la Bahi katika Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, Mkoani Dodoma wanatajwa kunufaika na uwekezaji mkubwa wa zaidi ya Shilingi Bilioni 3.6, zilizotolewa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwaajili ya ukarabati wa skimu za
Jumla ya Shilingi Bilioni 14 za Kitanzania zimetolewa na serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kutekeleza mradi wa ujenzi wa Daraja la Nzali, Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma na kuondoa adha ya kukatika kwa mawasiliano pamoja na mafuriko
programu hiyo wameendelea kunufaika zaidi na kilimo pamoja na kuondokana na umaskini wa kipato licha ya ukame unaoshuhudiwa katika Mkoa huo wa Katikati mwa nchi.
Katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi nchini Tanzania, Wakulima wa Mkoa wa Dodoma wamemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa maono yake katika uasisi wa Programu ya Jenga Kesho iliyobora maarufu kama (Building Better Tomorrow- BBT), wakisema kupitia