Jino Ukucha
29.1K posts

Jino Ukucha
@JinoUkucha
Diploma holder in animal health AND production. ||brother || friend || Chelsea ⚽|| Real Madrid ⚽ || follow back immediately ✌🏻 ||. 🇰🇪&🇹🇿
Katılım Ekim 2024
3.7K Takip Edilen4.5K Takipçiler

@GilbertPaul095 Kuna mwana kesho akiamka atailaumu sana Manchester united maana ilibaki hiyo tu kesho amkie Zanzibar 😂😂
Filipino
Jino Ukucha retweetledi
Jino Ukucha retweetledi

Madem Wa Marekani most of them wapo happy kwanza wazuri wakipewa salamu wanaitikia kwa bashasha kubwa mno.
Nimegundua huku Tanzania umasikini wa uchumi umewafanya madem kuwa watu wa hovyo mnoo.
Hawana raha Wala Amani , Na nimeona Masela wa marekani hawana shida madem zao kutoa kiss kwa wapita njia.
Eti unampa Dem salamu anakaa kimya kweli hii nchi haina Madem that way watu wanakufa masikini✍️😀Mamaee
Na nimebaini Kwamba Bongo watu wengi wanapitia changamoto nyingi sana especially Madem , ugumu WA maisha ,Vikoba ,kausha Damu ,michezo ,vidonda vya tumbo na kutelekezwa unawafanya washindwe kumaintain peace kwenye maisha yao .
Kuna report ilitoka na kuelezea Tanzania ni miongoni mwa nchi inayoongoza kwa idadi kubwa zaidi ya watu kutokua na furaha ya kudumu .
Nafikiri Tanzania iliwekwa kwenye top ten ya unhappiest country in the world Kwa sababu ya Madem Wana makasiliko mno.

Filipino

🤣🇺🇸 BREAKING: Trump claims the photo he posted depicting him as Jesus, was actually depicting him as a "Doctor"
"I did post it. I thought it was me as a doctor. I thought it had to do with The Red Cross, which I support. Only the Fake News could come up with that. It's supposed to be me as a doctor."


English
Jino Ukucha retweetledi
Jino Ukucha retweetledi
Jino Ukucha retweetledi

@akilnyingi Ulipokua una ambiwa ndoa inahitaji uvumilivu ulijua wahenga wanakupanga😂😂
Indonesia























