Julius Mkumbo

1.9K posts

Julius Mkumbo

Julius Mkumbo

@jmkumbo199

Statistician (Research design, Implementation and Evaluation)

Katılım Ocak 2012
1.8K Takip Edilen586 Takipçiler
Julius Mkumbo
Julius Mkumbo@jmkumbo199·
@_bli4 Miezi 12 ijayo Software engineering itakuwa replaced kwa kiwango kikubwa. Usipingane na ukweli, cybersecurity ndiyo kazi nyepesi zaidi kuwa replaced.
Filipino
5
0
0
488
Bob Kipara
Bob Kipara@_bli4·
Kuna mtu alisema Al itachukua kazi za developers na programmers, Aliniambia ame-build system nzima kwa kutumia Al na akaiuza kwa kampuni iliompa hio project. Nilimpongeza kwa sababu ni kweli, Al inaweza kusaidia kujenga system haraka. But guess what......👇👇👇
Polski
13
13
186
18.6K
Vliandro
Vliandro@vliandro_gerald·
@Balyx_ Basketball Dar es Salaam League... ✍️ imekua sana na ni vile tu hatuna proper infrastructures ila zikiwepo aisee tuna watu wanatalent na itavutia ata sponsors na kuongeza visibility....
Suomi
1
1
11
942
Balyx
Balyx@Balyx_·
Whoever is behind Dar City. Afanye namna pia awatafute wanae waiweke basketball ya Tz kwenye ramani Anzisheni league flani inayoeleweka
Indonesia
7
8
286
9.6K
Julius Mkumbo
Julius Mkumbo@jmkumbo199·
@chapo255 Angalia gharama za usajiri wa wachezaji. Kuna watu kutoka USA.
Indonesia
0
0
0
53
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Watu wana hela kmmk!🙌 Kuisafirsha timu ya basketball🇹🇿 to 🇿🇦 Wachezaji,bechi la ufundi,chawa na wasanii plus waandishi wa habari hapo jumlisha malazi,serikali tu inakaaga chini kupitisha bajeti dokezo la mwezi😂 Ukiambiwa safririsha watu na Abood kwenda Arusha tu kamzozo😂😂
Indonesia
41
53
1.1K
66.5K
Pedro Domingos
Pedro Domingos@pmddomingos·
People who speak only one language have a lower-dimensional view of the world.
English
200
187
1.3K
57.6K
Adekunbi🌹❤️
Adekunbi🌹❤️@Adhekunbi·
Any man without 1m in his account is a fish!!!!
English
2K
293
1.8K
368.5K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Askari wa jeshi la anga la Marekani aliyejifunza kupigana akapata mkanda mweusi kwenye Karate, Taekwondo, jiu-jitsu na judo. Akaanzisha urafiki na Bruce Lee akaanza kuigiza movie. Gwiji wa Movie na mwandishi mzuri, Chuck Norris amefariki na miaka 86. Unamkumbuka kwa Movie ipi?
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
30
91
1.2K
22.2K
Julius Mkumbo
Julius Mkumbo@jmkumbo199·
@NMweusi85571 Hawa wanauza utamaduni, wanatumia sanaa kutangaza utamaduni na mtindo wa maisha. Bongo hakuna wabunifu.
Indonesia
1
0
0
16
عبدُل
عبدُل@NMweusi85571·
Hii series ya ottoman aisee hawa jamaa kwenye misosi walitia hela maana kila scene wakiwa wanakula unaona kuku tu misosi ya kwenda ila ukija bongo ukutane na hiyo inaitwa dunia unaona wakilala tu kula sijui wanakulaga mda gani 😂
عبدُل tweet media
Indonesia
19
6
212
13.8K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Klabu inayoshiriki Ligi Kuu Misri, Pharco FC imetangaza kususia kwa muda usiojulikana Mashindano yote yanayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Klabu hiyo imethibitisha kwamba imesusia michuano yote ya CAF, ikiwa ni pamoja na Ligi ya Mabingwa Afrika, Kombe la Shirikisho la CAF, Kombe la CAF Super Cup, na Mashindano yoyote chini ya Shirikisho la soka Afrika. Msimamo huu mkali unakuja kutokana na uamuzi wenye utata baada ya CAF kuitangaza Morocco kuwa washindi wa Kombe la Mataifa ya Afrika la 2025. Hata hivyo, kauli hiyo tangazo hilo limeibua hisia kwa sababu Pharco FC si washiriki wa mashindano ya CAF, maelezo ambayo yamesababisha wengi kuona tangazo hilo kama lililojaa ucheshi. #KitengeSports
Maulid Kitenge tweet media
Filipino
23
29
532
39.7K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Kama wewe ni mtembezi hapa ni Mbeya sehemu Gani..?
kasesco☆ tweet media
Indonesia
40
27
194
8.9K
Julius Mkumbo
Julius Mkumbo@jmkumbo199·
@MabalaMakengeza Ok, Mfano, upper second inaanzia 3.5 na 3.4 ni lower second. Je kuna tofauti gani kati ya 3.5 na 3.4?
Indonesia
0
0
0
2
Richard Mabala
Richard Mabala@MabalaMakengeza·
Ktk mjadala wa GPA majumuisho (generalisations) yamezidi. Yategemea. Lakini kipaumbele cha waajiri siku hizi si ujuzi wala cheti bali stadi/mahiri 4, critical thinking, creative.thinking, teamwork na flexibility. Tujiulize mfumo wetj wa elimu unafundisha stadi hizi kiasi gani?
Indonesia
25
75
327
12.4K
Julius Mkumbo
Julius Mkumbo@jmkumbo199·
@MankindUwezo Kama GPA ni kipimo kizuri kuna tofauti gani kati ya GPA ya 3.5 na 3.4?
Indonesia
2
0
3
26
Julius Mkumbo
Julius Mkumbo@jmkumbo199·
@Adventure_36 Mbwaduke anatumia taaluma ya takwimu (statistics) kuchambua mpira, nyembera yeye anasema uchumi.
Indonesia
0
0
0
26
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Yule mchambuzi wa michezo Ramadhani Mbwaduke anasema Advance alisoma na Mh Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba wakati wako form five Mh Mwigulu alifanya mock ya Form six tena Math mzee akaongoza mkoa mzima uku akiwa yeye form five wakati huo mtihan ni wa form six. Source: AzamSports 1
Indonesia
50
38
795
47.6K
Julius Mkumbo
Julius Mkumbo@jmkumbo199·
@k_mjege Kwanza GPA zinatofautiana, mfano top tier US Universities, A>=90, A- = 88,89.99, B+ = 86,87.99, B= 83-85.99, B-= 80-82.99. C=70-79.99, D= 60-69.99. Je ni sawa na vyuo vya Tanzania? NB: Kwa STEM sunject, weekly assignment ni sawa na PhD thesis ya vyuo vya Tanzania.
0
0
0
9
Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿
Kama mfumo wa Elimu umepangwa vizuri hususani kwenye eneo la upimaji; GPA ni kipomo cha mahiri nyingi ikiwemo Taaluma; ujuzi (skills) na tunu. Kwa hiyo, shida sio GPA yenyewe bali inavyopatikana. GPA inapatikaje kweye mfumo wako wa Elimu? Je, inajumuisha mahiri zote muhimu?
Indonesia
10
15
37
2.5K
Julius Mkumbo
Julius Mkumbo@jmkumbo199·
@Adventure_36 Mfano: unahitaji agentic AI Engineer, je utaangalia GPA au cv na potfolio(relevant project)?
0
0
0
1
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Kwa soko la ajira lilivyo saiv wahimizeni vijana wasome watengeneze hizo GPA nzurii uku nje mchuano ni mkali mno. GPA inatengenezwa kwa muda mrefu ila skills mtu anajifunza kwa muda mfupi. Watu saiv wanafanya kazi ambazo hawajasomea hizo skills wanajifunza hukohuko.
Indonesia
11
35
229
6.6K
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Hawa VIBAKA wanahisi hela tunaokota?
SATIVA tweet media
Indonesia
30
20
611
19K
NC
NC@NewCountryFC·
I just created the best football player in history: Pace⚡️Thiery Henry Passing 💯 Lionel Messi Dribbling🕺Neymar Jr Finishing 🎯 Ronaldo Nazario Physicality 💪 Zlatan Ibrahimovic Weak Foot 🦵 Ousmane Dembele Defending 🧱 Paolo Maldini Football IQ … See more
English
248
41
3.7K
1.8M
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Taarifa za vyombo vya habari vya Israeli zinasema kuwa Mojtaba Khamenei, mwana wa Kiongozi wa zamani wa Iran, amejeruhiwa baada ya mashambulizi ya hivi karibuni yaliyolenga Viongozi wa ngazi za juu wa Iran. Haijathibitishwa rasmi hali yake, lakini ripoti hizi zinasema huenda alinusurika mashambulizi hayo na anatibiwa. Vyanzo vingine vya kimataifa pia vinaripoti kuwa Mojtaba ameshuhudiwa akiishi na anaweza kuchukuliwa kuwa Kiongozi anayetarajiwa kuchukua nafasi ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Iran, baada ya kifo cha baba yake katika mashambulizi hayo mapema wiki hii. Kwa sasa, taarifa hizi hazijathibitishwa rasmi na serikali ya Iran au vyombo vya habari vinavyothibitisha hali yake ya afya, na hali halisi inabaki kuwa hakuna uhakika kamili. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
12
7
213
21.1K