Joesef
1.1K posts


Tuliachia kazi katikati😂😂😂wera ilikua ya pirahna mathe akaanza highlights,na ivo ndio niliacha gari haijaisha kupigwa rangi ju sikua na mshande ya apo nmefika😂😂
wine@shabadooooooo_
@joesef_nganda Hapo Kwa Praise ni mwene hakufika bei ama kulienda aje😂😂😂
Filipino

@shabadooooooo_ Akiteta ndio kesho yake nisiingie alikua anasema ako nayo but ile kivumbi designers wamemuonesha hio anataka ikue ya uniform😂😂😂
Indonesia




@YungEtherChild x.com/i/status/19356…
Ilikuanga unexpected guest kabla kuuzwa kwa spirit of faith
Joesef@joesef_nganda
Pale California ukitembea kidogo unapatana na UNEXPECTED GUEST😂😂😂 Ya matirries...former SKI MASK
Filipino

Hii statement imefanya uncs wakuje wote kunimaliza. 😂😂😂
Kitua@_Kitua_
Old gen photographers hamwezi fikia hawa new gen.
Nairobi, Kenya 🇰🇪 Polski

Methusela's Na Kina Noah Wa MIR Wameanza TBT Zao,
Leo Space Tuta ambiwa vitu za stone age zenye zinatushinda ku relate😂😂😂
Gaii Mwathani🥱
Matatu Industry Reborn@matatuindustry
ukiwa uliza Mambo ya karrymart wanasema wewe ni Methuselah 😭
Nairobi, Kenya 🇰🇪 Polski

Eish🤦🏾😂😂unajua hii model ndio ilikua na stock bumper inaongezwa lip tu na inakua mboko...hii model ya sai bila kuundiwa grill haiwezi iva
Benah™@Benah_17
Hii old model ya NQR ilikuwa inakaa vibaya if we're being honest
Indonesia
Joesef retweetledi

Joesef retweetledi

@matatuindustry Unasema ade santos ndio alipass ama joshua wanjohi...ju joshua wanjohi sai ni photographer mzii
Filipino

Mambo ya AI ilikua pia 😂
Tom🖤@itsjerryke
Alafu kuna hizi pia. Mwenye ako na pic ya bad and boujee alete buana that thing was dope
Indonesia

@notthepopee @_Kitua_ @matatuindustry @slammed_inc @T0onnie Gari ya mose..interior zilikuanga kwa izi gari zilikuanga fiti,akina 3D na kuna ile ilikuanga christiano💥
Indonesia

@_Kitua_ @matatuindustry @joesef_nganda @slammed_inc @T0onnie Hio gari unaona apo pioneered WiFi kwa gari ndogo , 🤭 nikikushow walikuwa wanashindana ni nani atakuwa na best WiFi Tamiko ?

Filipino

uki imagine @joesef_nganda with his 4" self alikua ana inama for angles bana 😂 @notthepopee na @T0onnie ndio winners of the 2 competitions we held
el gaviria@slammed_inc
@_Kitua_ Nikama haukupata kukiwa na challenge flani ya tisho Maaahn sai fotografas tuko wengi lakini creativity hanaku Ile group ilienda na pikchas mzuri mamae
English

Hidden gem ya @IddiAdzmin karibu waniekee fork ya steel kwa foil😭😭😭😭nashindwa mbona watoe na vile niko on quest ya home utensils....
Karibu niiname kama sio @RashidWPainter

Filipino









