Kamcheer

15.3K posts

Kamcheer

Kamcheer

@kamcheer

Arusha Katılım Şubat 2013
7.9K Takip Edilen13.7K Takipçiler
Kamcheer retweetledi
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
Breaking News: Wanaharakati wa mitandaoni Innocent Paul Chuwa (Kiduku) na Farida Mikoroti muda mfupi uliopita leo, Jumatano Oktoba 01.2025 wameachiwa kwa dhamana kutoka Kituo Kikuu cha Polisi cha Kati (Central Police) Dar es Salaam walipokuwa wanashikiliwa takribani juma moja tangu walipokamatwa, wakituhumiwa kutenda makosa ya mtandao Licha ya kwamba wamepatiwa dhamana, lakini sasa watalazimika kuripoti kituoni hapo kila siku asubuhi, ikielezwa kuwa muda wowote wanaweza kufikishwa Mahakamani kujibu tuhuma zinazowakabili, Mawakili Kulwa William Maduhu kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC @humanrightstz), Paul Kisabo kutoka Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC @THRDCOALITION) na Fredrick Msaki kutoka Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS @TanganyikaLaw) ndio waliokuwa mstari wa mbele kufuatilia dhamana hiyo kwa muda wote huo. Jambo TV itakuletea taarifa zaidi kuhusiana na hilo.
Jambo TV tweet media
Filipino
37
108
687
27.9K
Kamcheer retweetledi
M A G I R I
M A G I R I@Kiganyi_·
Apewe uDC.
Polski
58
56
331
83.2K
Kamcheer retweetledi
millardayo
millardayo@millardayo·
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Muliro Jumanne, amesema mbali na Mabasi ya Mwendokasi na Vituo vinne vya Mabasi hayo kupigwa mawe usiku wa jana, baadhi ya Wananchi hao walifanya fujo katika Vituo viwili vya Polisi ambavyo ni Kituo cha Polisi Magomeni Usalama na Kituo cha Polisi Magomeni Kagera. Kamanda Muliro amenukuliwa akieleza yafuatayo "Inadaiwa baadhi walifanya fujo kwenye maeneo yale ya Kituo cha Polisi cha Usalama pale na Kagera na kwenye fujo hizo baadhi ya magari yaliharibiwa vioo vyake lakini pia baadhi ya Vituo vile vya eneo lile vilipata madhara ya fujo zile" "Kwahiyo Polisi walifika na kuweza kudhibiti hali ile pale Maeneo ya Kagera kwasababu Mabasi yalikua yanapandisha kuja Ubungo mpaka kule Kimara, kusema ukweli pamoja na sababu nyingine mbalimbali ambazo zimekuwa zikielezwa lakini swala la kuharibu miundombinu hii ya usafiri ni kosa kisheria kwahiyo hata ukitoa sababu nyingine mbalimbali sisi Wasimamizi wa sheria tunaangalia usalama unaimarika namna gani, kama kuna jambo lolote zipo taratibu zinatakiwa kufuatwa" ——— Kamanda Muliro. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
हिन्दी
83
33
669
87.4K
Kamcheer retweetledi
LYENDA
LYENDA@IamLyenda·
Humphrey Polepole, Mwenezi wa zamani wa CCM na Mbunge wa JMT, ameomba radhi hadharani kwa makosa aliyoyatenda wakati akiwa kiongozi Mwandamizi wa CCM ikiwemo kutengeneza mifumo ya kuiba kura na kuchakachua matokeo. Tumsamehe? Weka maoni yako tafadhali ✍️
LYENDA tweet media
Indonesia
61
54
383
7.6K
Kamcheer retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
BADO SIKU 3. Kwenye ile countdown ya siku 10, sasa zimebaki siku 3. “Utatoka moshi watashindwa kufumbua MACHO”. Mithali 29:1 “aonywae mara nyingi akashupaza shingo yake itavunjika atakosa dawa” TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SIR TIVA tweet media
Indonesia
22
127
906
12.5K
Kamcheer retweetledi
BANTU MEDIA
BANTU MEDIA@BantuMTZ·
Mtu amekuwa kwenye system, na amekaa karibu na viongozi wa nchi zaidi ya miaka 7 na ushee mnataka tusimwamini?
BANTU MEDIA tweet media
Indonesia
10
36
300
3.9K
Kamcheer retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Hili ndio kanisa la kweli la MUNGU. Kanisa linalia na wanaolia. Asante sana KANISA KATOLIKI. Haya maombi naamini hayataenda BURE. MUNGU tusikie watoto wako.🙏🏿 TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Filipino
27
396
1.7K
28.2K
Kamcheer retweetledi
millardayo
millardayo@millardayo·
Baraza la Wazee wa CHADEMA (BAZECHA) limeomba Wananchi kufika kwa wingi Mahakamani kufuatilia kesi muhimu inayomkabili Kiongozi wa Chama hicho Tundu Lissu ambapo Baraza hilo limesisitiza mshikamano wa Wanachama na Wananchi katika kuhakikisha haki inatendeka huku likitaja umuhimu wa kushuhudia hatua zote za kesi kwa ukaribu.   Akizungumza na Waandishi wa Habari Suzan Lyimo, Mwenyekiti wa Baraza hilo ameeleza “Tunawaomba Wananchi wote, Wanachama na Wapenzi wa haki, kufika Mahakamani kwa wingi ili kuonyesha mshikamano wetu na kuunga mkono Tundu Lissu, mshikamano huu ni ishara ya nguvu na ujasiri wetu, kila mmoja afike ampe nguvu Kiongozi wetu na tushirikiane kuonyesha kuwa hatutaruhusu haki ichukuliwe kama haina thamani" #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
13
116
1.2K
38K
Kamcheer retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️SIKIKIZENI KWA UMAKINI ALICHOSEMA POLEPOLE‼️ Hii ni subversion of the Constitution 🤯 Ni kupindua Katiba maana Mamlaka ni ya wananchi - si ya kikundi kidogo kinachoitwa CCM This is a crisis! Kipilimba anajua mfumo wote atafutwe! Na hiyo cable inayounganisha NIDA, NEC na CCM ichunguzwe! Wazalendo wangapi wamebaki ktk mfumo? 😓 Si jambo dogo hili! Jamani tunahitaji nchi ikae sawa! Mnaona raha gani kuendeshwa na kakikundi cha kifisadi?? Polepole asikilizwe! #NoReformsNoElection
Filipino
35
244
969
31.3K
Kamcheer retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Polepole : ACT Wazalendo na CHAUMMA ni vyama mbadala vya wana mtandao, Nilisema hii watu wakanifuata mbona unawasema ACT, mimi ni raia nina haki ya kusema hivi VYAMA Narudia, ACT ni project walianzisha wana mtandao na huu ndio ukweli.
SIR TIVA tweet media
Indonesia
25
138
990
39.6K
Kamcheer retweetledi
Mnyawami
Mnyawami@jacksonmnyawam2·
Mtumishi mmoja alinitafuta kuniambia Polepole nataka kufanya kongamano la kuombea Uchaguzi, nikamuuliza umeongea vizuri na Mungu wako? unaombea uchaguzi gani wakati ACT na CCM ni chama kimoja na CHAUMMA na CCM ni Chama kimoja na hivyo vingine 13 vyote ni vyama vya CCM
Mnyawami tweet media
16
116
842
25.6K
Kamcheer retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Polepole : Kiongozi wa DINI ambaye anaombea uchaguzi anakuwa na maana gani? CCM imejipanga kuiba uchaguzi kwa kusimamiwa na wana Mtandao Kama mimi leo niimetoa siri ya Namna wamejipanga kuiba kupitia NIDA maana mifumo yote imeungana unaombea UCHAGUZI FAKE ? Unakuwa kiongozi wa DINI wana namna gani kuombea WIZI ? Kama walikuwa awajui sasa nimesema ukweli wa mambo, waache kuombe wizi maana Mungu apendi mambo ya namna hii tunatakiwa kumwachia Tundu Lissu, sisi tubomoe na kujenga upya n mifumo ya uchaguzi tujenge upya, Kuingie kwenye mazungumzo tuwe na uchaguzi bora
Think Different tweet media
Indonesia
5
106
624
12.5K
Kamcheer retweetledi
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Klabu ya Yanga imetangaza kuwa sherehe za kilele cha WIKI YA MWANANCHI itafanyika ljumaa ya Septemba 12, 2025 katika dimba la Benjamin Mkapa ikiwa ni siku mbili baada ya Tarehe ya SIMBA DAY 2025 iliyopangwa kufanyika Septemba 10, 2025. #KitengeSports
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
2
11
416
12.1K
Kamcheer retweetledi
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Billboard Staff, Imetoa List ya Nyimbo bora za muda wote za Afrobeats, Ambazo zimeleta mapinduzi ya mziki huo kutoka Africa. Ambapo Wimbo wa 2face, "African Queen" (2004) Umeshika nafasi ya kwanza, Ukifatiwa na.. 2. Wizkid, Ojulegba (2014) 3. Mr Flavour, Nwa Baby (Ashawo Remix) 2011 4. Rema Calm Down, 2022 Na zingine Angalia List ya top 50. Video kwa Comments 👇
Latto 𝕏 tweet media
HT
41
28
523
30.9K
Kamcheer retweetledi
millardayo
millardayo@millardayo·
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi (Sugu), ametaka Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa Tundu Lissu aachiwe bila masharti yoyote kwani yeye sio Muhaini. Akiongea na kwa njia ya mtandao leo, Sugu amesema kesi hiyo inamaliza pesa bure pamoja na kuendelea kuleta taharuki kwenye Taifa na kuifanya Tanzania kuandikwa kwenye Vyombo vya Habari vya Kimataifa na kuiwekea doa taswira ya Tanzania duniani. Kwa upande mwingine, Sugu amesema Wananchi wana haki ya kuchagua Viongozi wao kidemokrasia na sio kuwekewa Viongozi wasiowataka na kusisitiza kuwa kitendo cha Wananchi wengi kutokujitokeza kupiga kura katika chaguzi zilizopita ni ishara ya kupinga mfumo wa Kisiasa usiozingatia mageuzi ya kweli. Mbunge huyu wa zamani wa Mbeya Mjini ametoa wito kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kulitilia maanani jambo hili na kufanya mabadiliko ya sheria za Uchaguzi kabla ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 na kusisitiza kuwa sasa ni wakati wa kufanya uchaguzi wa haki na ulionyooka kwa kuwapa nafasi Wananchi kuwachagua Viongozi wanaowataka ili kuendelea kudumisha Amani, Utulivu na kulijenga Taifa kwa ushirikiano wa Watanzania wote. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
35
43
985
47.1K
Kamcheer retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
"Kwenye makaa ya mawe kampuni moja kutoka Australia – Intra Energy Tanzania Limited (IETL) wakimiliki 70% ndiyo ilikuwa mbia wa Serikali kupitia National Development Corporation (NDC) wakimiliki 30%. IETL wamekuwepo tangu 2011 na hivi karibuni wakataka kujitoa. Aliyekuwa mtoa huduma pale mgodini, Rostam Aziz akasema ananunua hisa zilizobaki kwa Sh5 Bilioni. Serikali ikasema hapana kwa ndiyo walikuwa na right of first refusal (ROFR). Wakati pesa inatafutwa ili Serikali kununua hisa za mwekezaji na kumiliki mgodi wa makaa ya mawe (Ngaka Coal Mine) kwa 100%. Simu moja ilipigwa kutoka juu. Pesa zikarudishwa Serikalini. Hivi tunavyozungumza Rostam Aziz ndiye mmiliki wa mgodi huo wa makaa ya mawe. Mkaangalie pale Fair Competition Commission (FCC) kama mnunuzi wa zile hisa 70% za IETL (kampuni ya Rostam Aziz, Mirambo Mining) imelipa hata kodi. Nchi yetu inabagazwa sana" – Balozi Humphrey Polepole
Indonesia
57
311
1.5K
48.7K
Kamcheer retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Kuna mambo mengi POLEPOLE alishiriki na anaomba watanzania MUMSAMEHE maana hayo mambo ndio yanawapa viburi CCM. Kesho jioni atazungumza mambo hayo. Bora CCM ivunjike Tanzania ipone , kutoka mikononi mwa WAHUNI wachache. Sisi watanzania tunajua ulishiriki ndugu POLEPOLE na sisi TULIKUSAMEHE tangu siku ya kwanza ulipoamua kusimama upande wa HAKI. #TUMEKUSAMEHE #KataaWahuni #TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Indonesia
42
235
1.3K
31.2K