Kanakamwi 46

44 posts

Kanakamwi 46

Kanakamwi 46

@kanakamwi

Katılım Ekim 2018
523 Takip Edilen107 Takipçiler
Simba Sports Club
Simba Sports Club@SimbaSCTanzania·
Mazoezi ya mwisho tayari kwa kazi tuliyotumwa na Wanasimba na Watanzania kuiwakilisha nchi yetu kimataifa 💪🏽 #NguvuMoja
Simba Sports Club tweet mediaSimba Sports Club tweet media
Béchar , Algeria 🇩🇿 Filipino
65
41
453
0
Simba Sports Club
Simba Sports Club@SimbaSCTanzania·
Kikosi leo asubuhi kinaondoka mkoani Morogoro kuelekea Iringa ambako siku ya Jumanne kitacheza mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Lipuli FC. #NguvuMoja
Simba Sports Club tweet media
Indonesia
23
26
389
0
Simba Sports Club
Simba Sports Club@SimbaSCTanzania·
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Mohammed Dewji na Mwenyekiti wa Simba SC, Swedi Mkwabi katika mkutano na waandishi wa habari.
Simba Sports Club tweet mediaSimba Sports Club tweet media
Indonesia
6
11
102
0
Kanakamwi 46
Kanakamwi 46@kanakamwi·
@SimbaSCTanzania Eemungu tusadie sisi wanasimba tuweze kutoanuksi namikosi ilitufike kule tunakotaka kufika natwaa ubigwa ahsante
Indonesia
0
0
0
0
Kanakamwi 46
Kanakamwi 46@kanakamwi·
@SimbaSCTanzania Simba tripo 3 jana3 leo3 kesho3 wata2 samehe2 hutujapenda kuwafanyia hivo tumetumwa na baba mafanikio ilatusichukiane nakutoana roho
Indonesia
0
0
0
0
Kanakamwi 46
Kanakamwi 46@kanakamwi·
Amani iwenanyii
Kanakamwi 46 tweet media
Indonesia
1
0
0
0
Kanakamwi 46
Kanakamwi 46@kanakamwi·
Niraha sana palebaba anapokwenda sehem kuwatazama wanae wachokifanya halafu mtoto akiangazamacho babayupo hatakama walichoka nguvu inaongezeka mihtiriya digidigi
Kanakamwi 46 tweet media
Filipino
0
0
0
0
Kanakamwi 46
Kanakamwi 46@kanakamwi·
Palemtu unapohisi goli halafu halipatikani
Kanakamwi 46 tweet media
Latviešu
0
0
0
0
Simba Sports Club
Simba Sports Club@SimbaSCTanzania·
Kikosi cha Mabingwa wa Nchi Simba SC kesho Jumapili majira ya saa 12 asubuhi kitaondoka nchini kwenda Johannesburg, Afrika Kusini kisha kuunganisha ndege na kuelekea Manzini, eSwatini kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mbabane Swallows.
Simba Sports Club tweet media
Filipino
25
15
197
0
Kanakamwi 46
Kanakamwi 46@kanakamwi·
@SimbaSCTanzania Kikubwa kazikaz sisihatutaki masihara mm najua ubora uwanjani nasiopichani ahsante
Indonesia
0
0
0
0
Simba Sports Club
Simba Sports Club@SimbaSCTanzania·
Zana Coulibaly beki wa kulia raia wa Burkinafaso leo amekamilisha dili la kusajiliwa na Mabingwa wa nchi Simba SC. Pichani akisaini mkataba mbele ya Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Simba Crescentius Magori.
Simba Sports Club tweet mediaSimba Sports Club tweet mediaSimba Sports Club tweet mediaSimba Sports Club tweet media
Filipino
39
43
383
0
Patrick Aussems
Patrick Aussems@PatrickAussems·
Good performance from the team this afternoon but we only made halfway ... We need to finish the job next tuesday ! Thanks to Simba's fans for their support , you are fantastic !!
Patrick Aussems tweet media
English
44
48
362
0
Simba Sports Club
Simba Sports Club@SimbaSCTanzania·
Leo Jumapili Novemba 25 ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mchezaji wetu Adam Salamba. Andika ujumbe wako kumtakia heri katika siku hii muhimu kwake.
Simba Sports Club tweet media
Indonesia
44
19
326
0
Simba Sports Club
Simba Sports Club@SimbaSCTanzania·
Siku ya Ijumaa Novemba 23, 2018 tutashuka dimbani kucheza mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Lipuli. Mchezo huo utachezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuanzia saa 10:00 jioni.
Simba Sports Club tweet media
Indonesia
7
5
87
0