Sabitlenmiş Tweet
𝐘𝐆 𝐌𝐄𝐃𝐋𝐀𝐁™
1K posts

𝐘𝐆 𝐌𝐄𝐃𝐋𝐀𝐁™
@kanielou_tis
🔬 Medical Laboratory Professional 🧪 Health & Science Educator 📍 Accurate Tests. Better Health.
Katılım Eylül 2025
374 Takip Edilen251 Takipçiler

Bro to bro: let's connect below here 👇
ONYEKA V ™@Sironyeka
Bro to Bro: Please Build Your X Account 🙏 Just Say "Hi" and Gain 1,500+ Mutuals Below 👇🏽
English
𝐘𝐆 𝐌𝐄𝐃𝐋𝐀𝐁™ retweetledi

Mimi umenifanyaje? 1k tu umeanza maringo ukiwa 10k itakuaje asa
Wordweaver@wordweaver254
Mimi hua sibagui watu either verified or not. Ukinifollow nafika kwa account yako siaka kama nimekuchangamkia na engagements videadly
Indonesia

Hivi vijiwe bhana kuna watu wamepitia mengi sana kuna mwanetu mmoja anaitwa Chollo kwa sasa yeye ni mabaga fresh🧑🦽
Mwamba kapita 92 anatwambia ndio wale makomandoo wa enzi hizo wanajifunza uchawi wa kupotea kama Nsyuka.
Anasema siku ya kwanza tu ameenda kuripoti kwenye hiyo kambi walianza zoezi la kukimbia kutokea Morogoro hadi Tanga hapo mikimbio ilianza saa nane usiku.
Anadai hakutaka mambo mengi walivoanza kuitafuta Chalinze tu jamaa akapotelea machakani na ndoto ya ukomandoo ikaishia hapo.
Kiufupi kijiweni wote tumemsapoti maamuzi hayo maana Moro hadi Tanga kwa kukimbia si jambo rahisi kabisa.
Indonesia
𝐘𝐆 𝐌𝐄𝐃𝐋𝐀𝐁™ retweetledi
𝐘𝐆 𝐌𝐄𝐃𝐋𝐀𝐁™ retweetledi











