Kiga

6.3K posts

Kiga

Kiga

@kiga255

Vehicle Inspector &Drivers Examiner .....I've always loved the idea of not being what people expect me to be

Dodoma, Tanzania Katılım Eylül 2015
4.9K Takip Edilen1.1K Takipçiler
Kiga retweetledi
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Congratulations to Professor Mohamed Yakub Janabi for being elected the World Health Organization Regional Director for Africa, for the term 2025-2030. With decades of expertise and experience in the health sector, I have every confidence that you have all that it takes to serve our continent, and steer us all to greater heights. The United Republic of Tanzania is thankful to every member state that believed in your skills, experience and vision for our continent. Professor, you have my warmest wishes for a successful tenure.
Samia Suluhu tweet media
English
929
636
3.2K
265.6K
Kiga retweetledi
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
1. Huyo jamaa tall mwenye aliyevaa raba na shati la mistari amepiga JKT Orjoro mwaka 2008 (Operation Kilimo kwanza) Alifahamika pale jkt kwa jina la NYANG'AU na alikuwa kombania B (B Coy) Mwaka 2009 akaajiriwa na jeshi la polisi na urefu wake ndio uliombeba. Mwaka 2021 aliumizwa akiwa ametoka kwenye moja ya kazi kama hizi mkoni Kilimanjaro Akaenda kutibiwa hospitali ya Midowel iliyoko Mpakani, maili moja, Kibaha. Tetesi ni kwamba, alikuwa sehemu ya timu iliyoenda kuwakamata walinzi wa WeMbo mkoani Arusha kipindi kile Huyu anaunda timu ya watu watano ambaye mmoja wake (namfahamu lakini simtaji hapa kwa kuwa si sehemu ya swala hili) Initials za majina yake ni E. K Yeye hukaa pale uwanja wa ndege JKNIA akijicamouflage kama muuza maua. 2. Mwenye Kapelo tayari amefahamika kama Evarist. Pdf lake la "Know Your Client" lipo njiani x.com/ExMayorUbungo/…
Fortunatus Buyobe tweet mediaFortunatus Buyobe tweet media
Indonesia
248
465
3.1K
482.1K
Kiga retweetledi
Kamala Dickson
Kamala Dickson@ItsKamala·
Kuna namna @JMakamba alitufanya tufuatilie sana Wizara ya Mambo ya Nje, Ghafla unaona kavideo ka analysis ya ziara unaona viongozi usiowajua unaanza kuwafuatilia, Bilateral meetings na Mawaziri wa Mambo ya Nje, Nakumbuka campaign ya Ndugulile na Tulia alifanya Wizara kuwa kiGez
Kamala Dickson tweet media
Indonesia
89
42
827
104.1K
Kiga retweetledi
MTANZANIA 🇹🇿
MTANZANIA 🇹🇿@GilbertPaul095·
Raia wa kawaida tunaruhusiwa Kuoa WANAJESHI?😄
MTANZANIA 🇹🇿 tweet media
Indonesia
173
67
1.9K
188.2K
Kiga retweetledi
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza tarehe 12 Oktoba, 2024.
ikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet media
Indonesia
21
38
155
7.4K
Kiga retweetledi
Glory
Glory@Gloryjobeg·
@EduTalkTz Aiseee matapel.waadhabahu wamekuwa wengi sana
हिन्दी
0
1
7
291
Kiga retweetledi
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
UTEUZI
ikulu_Tanzania tweet media
67
60
463
49.9K
Kiga retweetledi
Police Force TZ
Police Force TZ@tanpol·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura pamoja na Makamishna wa Jeshi hilo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 20 Septemba, 2024.
Police Force TZ tweet mediaPolice Force TZ tweet mediaPolice Force TZ tweet media
Indonesia
91
29
266
31K
Kiga retweetledi
EastAfricaRadio
EastAfricaRadio@earadiofm·
KOCHA FADLU AFUNGUKA SIMBA KUFANYIWA FUJO | KIWANGO KINARIDHISHA | KAPOMBE AWAITA WANASIMBA:>youtu.be/Jr0QDuracNA
YouTube video
YouTube
EastAfricaRadio tweet media
Indonesia
1
1
19
3.3K
Kiga retweetledi
Boniface Jacob
Boniface Jacob@ExMayorUbungo·
Medy uliniambia nisiogope, na kwamba kila mtu ataonja mauti, lakini sikujua mwisho wako utakuwa wa namna hii.! Fikiria mdogo wako uliyekuwa naye na kuishi naye miaka 66 leo ameshindwa Kukutambua kwa kukutizama uso wako. Kama siyo ile alama yako ya mguuni huenda familia yako,ndugu zako na sisi marafiki zako tungekuacha ukazikwe na Jiji. Maharamia wamekuua kweli, wamekuumiza sana, Wamekushambulia sana, Wameharibu uso wako wote ambao mara zote ulijaa tabasamu. Hawakuridhika wakakumwagia tindikali ili Dunia isikutambue tena..! Sasa roho zao zimefurahi nafsi zao zimeridhika kukuona ukiwa mwili mtupu usio na pumzi,Hujawahi kuwatendea baya lolote,kosa lako ni kuwa mwanachama wa CHADEMA. Tutakutana tena Mbinguni Kamanda.
Boniface Jacob tweet media
Filipino
721
798
5.3K
384.6K
Kiga retweetledi
Lady JayDee
Lady JayDee@JideJaydee·
Halafu mnaotumia ugumba sijui tasa sijui ajuza kama tusi. Wapo ambao mnafanya nao harakati na hawana watoto na ni wakubwa kuliko mimi. Kwahiyo nao mnawakebehi? Siku hizi mbona wala sio issue kama una budget ya IVF na hata surrogate. Mko Dunia ya nyuma.
Naples, Campania 🇮🇹 Indonesia
451
173
2.5K
187K
Kiga retweetledi
Peter Msigwa
Peter Msigwa@MsigwaPeter·
Mr Mbowe mwenyekiti uliyekaa Muda mrefu Sana. Tukutane mahakamani .
Peter Msigwa tweet media
Indonesia
662
76
1.6K
199K
Kiga retweetledi
صحيفة الشرق الأوسط
تابوت مصري قديم يحظى بحياة جديدة في بريطانيا بعد فترة من أعمال الترميم #صحيفة_الشرق_الأوسط #صحيفة_العرب_الأولى aawsat.news/y977h
العربية
0
1
8
5.6K
Kiga retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️ABDUL MWANAYE SAMIA NI NANI KATIKA SERIKALI?⁉️ Sikuamini hadi nilienda kutafuta video 👉🏽Taarifa niliyopewa ni kuwa Abdul Hafidh Ameir ana pass ya Ikulu kama mwajiriwa 👉🏽 Abdul calls the shots na ni member of kitchen cabinet ya mama yake 👉🏽Wakati wa kuapishwa Cardinal Rugambwa alienda Vatican na kutaka Balozi wa wakati huo (sasa Waziri wa Mambo ya Nje) Mahmoud Thabiti Kombo amtambulishe kama mwakilishi wa @SuluhuSamia - kitu kilichoshangaza waliokuwepo na kushuhudia hiki! Screenshot ya video huko Italy hii hapa na kama tofauti semeni: 1️⃣ alikuwa hapo kama nani? 2️⃣ alienda kwa pesa za nani? 3️⃣ alikuwa na shughuli gani hadi aambatane na kupenyezwa na Balozi? Bado hiyo ya Museveni Tukiambiwa shughuli za serikali zinaendeshws kifamilia mnatubishia ya nini? TISS, JWTZ mpo tu? Watu milioni 60 hatutakubali kuendeshwa na ukoo! #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
225
258
1.5K
250.7K
Kiga retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Wanachama na wafuasi wa CHADEMA 20 pamoja na dereva na kondakta wamekamatwa eneo la Mikese-Morogoro, wakielekea Mbeya kushiriki kongamano la siku ya vijana Duniani. @SheilaMchamba na dereva wamehojiwa kwa tuhuma za ‘illegal human trafficking’. Wengine wamehojiwa kama mashahidi.
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Indonesia
60
234
1.6K
64.1K